Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakuu!
Jeshi la Polisi Mkoani Mara limelipua mabomu ya machozi na kutawanya maelfu ya wananchi waliokua wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, John Heche mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Musoma.
Wanadai wananchi kumsindikiza Heche kwa umbali mrefu ni sawa na kufanya maandamano bila kibali na hivyo kuhatarisha hali ya usalama.!