Hilo song la chadema ayayaaa nalipataje wakuu. Ngoma inaitwaje na kaimba nani nipakue
Kweli nyimbo iko vzr
ina hamsha hamsha
Nimeona hapo jamab wanamzuka hatasi
safi sana
Hilo song la chadema ayayaaa nalipataje wakuu. Ngoma inaitwaje na kaimba nani nipakue
Fita ni fita muraWaingize na Jeshi kabisa tujue moja.
Sijakusoma japo nimehisi unachomanisha.Fita ni fita mura
Zinanikumbusha nyimbo za ukombozi za waafrika kusini dhidi ya makaburuKweli nyimbo iko vzr
ina hamsha hamsha
Nimeona hapo jamab wanamzuka hatasi
safi sana
We fala tu unaagiza unadhani matako yako hayoNaliagiza jeshi la polisi Heche awekwe mahabusu kwa usalama wake kutokana na vurugu hizo zilizotokea.
Polis wanaogopa kusindikiza msafara wa heche na wananchi kuogopa lawama za ccm..Na mkutano ulishakwisha, wananchi wanaelekea majumbani kwa furaha na amani kwanini Polisi wanawashambulia kwa mabomu?
Nimeitafuta online nimekosaKweli nyimbo iko vzr
ina hamsha hamsha
Nimeona hapo jamab wanamzuka hatasi
safi sana
Na iwe hivyo tu,huyu mtu ni mbaya mara 100 zaidi ya Magufuli,anapenda uraisi zaidi ya kitu chochote kileSamia atakufa vibaya Sana
Ni ajabu sana,yaan chogoless tena mwanamke anaamlisha mtanganyika ampige mwenzieSamia anaitawala Tanganyika kwa mkono wa chuma halafu ni Watanganyika wenzetu wanaomsaidia kuitawala hivi Tanganyika.
Saa100 kaona wivuWakuu!
Jeshi la Polisi Mkoani Mara limelipua mabomu ya machozi na kutawanya maelfu ya wananchi waliokua wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, John Heche mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Musoma.
Wanadai wananchi kumsindikiza Heche kwa umbali mrefu ni sawa na kufanya maandamano bila kibali na hivyo kuhatarisha hali ya usalama.!
VIDEO: Jambo TV
Hii 'slogan' itafutie" Hati Miliki" mkuu; imekaa vizuri sana.Samia usituumize watanzania
Peleka ujinga wako maporini ulipotoka kenge weeKwenye vibali vinavyotolewa hua kuna masharti yanatolewa hua hamsomi???
Kuliko hata UHAI wa waTanzania. Ninakubaliana na wewe 100%.Na iwe hivyo tu,huyu mtu ni mbaya mara 100 zaidi ya Magufuli,anapenda uraisi zaidi ya kitu chochote kile
Unakuja kulalamika humu so what? Utasaidiwa nini? Acheni upumbavu mkatii sheriaWakuu!
Jeshi la Polisi Mkoani Mara limelipua mabomu ya machozi na kutawanya maelfu ya wananchi waliokua wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, John Heche mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Musoma.
Wanadai wananchi kumsindikiza Heche kwa umbali mrefu ni sawa na kufanya maandamano bila kibali na hivyo kuhatarisha hali ya usalama.!
VIDEO: Jambo TV
Zinanikumbusha nyimbo za ukombozi za waafrika kusini dhidi ya makaburu