PreGE2025 Mabomu ya Machozi yarindima Musoma kusambaratisha Wafuasi wa CHADEMA wakisindikiza msafara wa Heche

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
..Na mkutano ulishakwisha, wananchi wanaelekea majumbani kwa furaha na amani kwanini Polisi wanawashambulia kwa mabomu?
Yaani kuimba nyimbo ni kosa siku hizi. Ukiwatazama hakuna anayevuka nje ya barabara au kufanya uhalifu

Ni wakati Polisi watumie akili za kuzaliwa. Hili halihitaji mafunzo au tafakuri ya amri kutoka juu.
Hili ni fikra ya kawaida ya mtu mwenye akili timamu. Haihitaji hata dk 10 darasani au dk 5 kujadili.

Polisi hili ni aibu ! hakuna msamaha . Ni fedheha sana kwa Jeshi na ninyi kama Wanadamu
 
Wakuu!

Jeshi la Polisi Mkoani Mara limelipua mabomu ya machozi na kutawanya maelfu ya wananchi waliokua wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, John Heche mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Musoma.

Wanadai wananchi kumsindikiza Heche kwa umbali mrefu ni sawa na kufanya maandamano bila kibali na hivyo kuhatarisha hali ya usalama.!

VIDEO: Jambo TV
CCM wanahangaika sana...
Wamepoteza mvuto, kina Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa pumzi zimekata kama Babu yao Wasira alivyotepeta
 
Ukiangalia hiyo video ni thahiri kabisa Police always wamekua chanzo cha vurugu kwenye mikutano ya siasa hasa ya wapinzani

Hi imepelekea watu wengi kuwachukia police na wengi wanaona police siyo mahala ambapo unaweza pata msaada wa kiusalama

kwanza hawana ueledi kwenye kazi zao na pili tatizo la wao kupenda rushwa linawafanya waonekane ni watu wa hovyo sana

Juzi usiku kuna askari polisi wa hapa korogwe alikuwa anamuombea ndugu yake lift vile walinisimamisha nikawambia naelekea Arusha .

Yaani ilinijia jibu la haraka kuwa kwanza nafika lushoto then narudi kuelekea Arusha ili tuu kuwapiga chini .yaani siwapendagi kabisa
 
Ccm waoga sana
Uwezo wao wa kufikiri
Ushafikia mwisho

Ova
 
Wakuu!

Jeshi la Polisi Mkoani Mara limelipua mabomu ya machozi na kutawanya maelfu ya wananchi waliokua wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, John Heche mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Musoma.

Wanadai wananchi kumsindikiza Heche kwa umbali mrefu ni sawa na kufanya maandamano bila kibali na hivyo kuhatarisha hali ya usalama.!

View attachment 3334091

Okay sawa.

The Rise, Shine and Fall of CCM
The Beginning of the End!
 
..Na mkutano ulishakwisha, wananchi wanaelekea majumbani kwa furaha na amani kwanini Polisi wanawashambulia kwa mabomu?
Furaha na anani kwenye barabara katikati ya kutembelea magari?
 
Yaani kuimba nyimbo ni kosa siku hizi. Ukiwatazama hakuna anayevuka nje ya barabara au kufanya uhalifu
Barabara ni kwa ajili ya magari sio watembea kwa miguu huoni wanazuia magari mengine kwenda kasi na kuo overtake.na kupishana

Mkutano umeisha waende kwao badala ya kuruka ruka kama vyura katikati ya Barabara
 
Wakuu!

Jeshi la Polisi Mkoani Mara limelipua mabomu ya machozi na kutawanya maelfu ya wananchi waliokua wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, John Heche mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Musoma.

Wanadai wananchi kumsindikiza Heche kwa umbali mrefu ni sawa na kufanya maandamano bila kibali na hivyo kuhatarisha hali ya usalama.!

View attachment 3334091
Aibu yote kwa Samia
 
Back
Top Bottom