Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Lucas MwashambwaMabomu ya machozi yamerindima Mjini Musoma kuwatawanya wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wanasindikiza msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho John Heche baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara
Huenda likawa agizo la mbunge wa hapoJeshi la Polisi Mkoani Mara limelipua mabomu ya machozi na kutawanya maelfu ya wananchi waliokua wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, John Heche mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Musoma.