PreGE2025 Mabomu ya Machozi yarindima Musoma kusambaratisha Wafuasi wa CHADEMA wakisindikiza msafara wa Heche

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
..Na mkutano ulishakwisha, wananchi wanaelekea majumbani kwa furaha na amani kwanini Polisi wanawashambulia kwa mabomu?
Polis wanaogopa kusindikiza msafara wa heche na wananchi kuogopa lawama za ccm
 
Kwenye vibali vinavyotolewa hua kuna masharti yanatolewa hua hamsomi???
 
Saa100 kaona wivu
 
Unakuja kulalamika humu so what? Utasaidiwa nini? Acheni upumbavu mkatii sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…