Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu

Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu

Wa kulaumiwa ni CCM kwani ndiyo wanang'ang'ania huu Muungano kwa mfumo huu uliopo
 
Tusifike huko tutakuwa tunakosea sana. Maana tunaweza kuanza kuuliza maswali ya hovyo kama:- huyu mama ni wa wapi vile?

Halafu tutaanza kusema urais wa Tanzania ni fursa ya watanganyika tutakuwa tunakosea Sana.
Inapofikia hatua watu wanakosa adabu wazi wazi ni vema kuaddress hiyo changamoto wazi wazi.
 
Aiseee, jamaa wabaguzi sana wakati wao wapo huku bara. Kuna dogo mmoja wa kipemba kaja kupanga karibu na kwangu huku Rungwe anapambana kutafuta ardhi anunue ila apande parachichi. Jamaa ananipita tu hapa kwangu wala hanisalimii wala hasalimii mke wangu na watoto kwani ninafuga Nguruwe ila mimi ni mtaalamu wa ardhi so akikwama ananipigia simu.
Achana nae huyo ubaguzi huko uko juu sana harafu na sisi wabara ni nn kinatufanya tuwaone wanamuhimu watu wenye dharau km hao
 
Tusifike huko tutakuwa tunakosea sana. Maana tunaweza kuanza kuuliza maswali ya hovyo kama:- huyu mama ni wa wapi vile?

Halafu tutaanza kusema urais wa Tanzania ni fursa ya watanganyika tutakuwa tunakosea Sana.
...Hatukosei Chochote
Kwani Muungano una Faida Gani?... Tuache Unafiki...
 
Ikumbukwe wabara ndio wanaong'ang'ania muungano, sio wazanzibar.

Huu undugu wa kuwalazimisha wazanzibari umefanya wazanzibar waongeze chuki zaidi kwetu wabara, yani ukienda huko Zanzibar unaweza kubaguliwa lakini Mkenya anafanya shughuli zake bila tatizo
Nataka twende Kama kumi tuvae tishet zinapicha ya nguruwe
 
Cha ajabu wahusika ni boxers unashangaa hawajui faida ya pambano kufanyika zanzibar.
1. Kuitangaza zanzibar
2. Kuifungua zanzibar boxing
3. Kiuchumi-wageni watashuka zenj kushuhudia pambano.
4. Ongea mengine
Mwakinyo asipopigana hiyo nafasi haiendi kwa mwingine itapotea.
Mola alijalie pambano hilo wajifinze kutafuta fursa.
....Elimu...Elimu....Elimu...Elimu!!!
 
1 Ikiwa unafikiria Wazanzibari wamejaa Bara nakushauri upande boti uende Zanzibar halafu uje uandike tena.

2. Nashangaa watu wanatoka povu sababu tu Mwakinyo kaandika alivyoandika bila ya watu kujaribu kutafuta ukweli uko wapi? Who the fck is Mwakinyo? Huko UK na kwengineko alikokwenda kupigana kwani tumeungana nao. You dont need to be united to fight in a country. Its strictly business.

Wacheni kubweka jaribuni kutafuta undani wa sababu ya yeye kukataliwa ku fight in Zanzibar if ever thats the case!
Huna akili
 
Yaani kwenda kucheza pambano moja kisha kurudi zake Tanga
Wazanzibar wamejaa choyo husuda nongwa hadi kuandika barua kupinga mtanganyika kucheza pambano lake Huko Zanzibar
Wanasema hiyo ni fursa ya Wazanzibar pekee sio watanganyika!!!

Tukiwaambia Zanzibar hakuna MUUNGANO muwe mnaelewa.
Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar
Kwa mujibu wa kanuni taratibu na sheria za SMZ na Zanzibar
Kila kitu cha Zanzibar ni kwa Wazanzibar pekee yao
Kuna Kocha mmoja tu wa bara amepewa kufundisha timu inaitwa KVZ lakini anabaguliwa kupita maelezo
Huku Zanzibar aende mgeni kutoka Kenya, Uganda, Burundi, Urusi, China, Ulaya ataheshimika lakini sio kutoka Tanganyika
Atabaguliwa kwa kila hali

Mfano Mdogo tu Mwakinyo kupeleka pambano lake Zanzibar wakati SMZ imetoa kibali na rukhusa
Wazanzibar wanasema rukhusa hiyo ni ya Wazanzibar peke yao. Watanganyika hawahusiki hivyo wacheze michezo huku kwao Tanganyika.

Haya hapa malalamiko ya mwakinyo mpaka anajiuliza huo na kinachoitwa muungano upo wapi ??
Kwa ufupi Wazanzibar wanataka waendelee na utaratibu wa kudumu wa CHAO CHAO cha Watanganyika pia CHAO mazima


View attachment 2449693
Hao mbwa wajinga sana uwezo wenyewe hawana chuki zikizidi unakua pumbavu ndio hali waliyonayo hao kenge

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nyie huku mnazaaana kama nguruwe na mnamiliki Hadi aridhi na mashamba.

Watanganyika wangapi wanaomiliki aridhi Zanzibar . ?

Acheni roho mbaya

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
1. Kwanza nani kakwambia kama mimi ni Mzanzibari?

2 Ndio maana nikakwam ia uwende Zanzibar ndio utaujuwa ukweli. Nani kakwambia Watanganyila hawamiliki ardhi Zanzibar? Wewe kaa tu kwenu mwituni huko uone Zanzibar ni karibu na Uarabuni!
 
Huna point yoyote, naona unabweka tu kwa chuki zako dhidi ya Watanganyika.
Chuki za Watanganyika baina ya wao kwa wao (si kikabila) na kutokuwa na huruma kwa mwenzake ndio zinazofanya Watanganyika wengi wanyonge wakimbilie.Zanzibar kujitafutia riziki zao.
 
Aiseee, jamaa wabaguzi sana wakati wao wapo huku bara. Kuna dogo mmoja wa kipemba kaja kupanga karibu na kwangu huku Rungwe anapambana kutafuta ardhi anunue ila apande parachichi. Jamaa ananipita tu hapa kwangu wala hanisalimii wala hasalimii mke wangu na watoto kwani ninafuga Nguruwe ila mimi ni mtaalamu wa ardhi so akikwama ananipigia simu.

Sasa hapo shida sio Mpemba, shida ni hao Vitimoto
 
Zanzibar hiyo michezo ya kitwana haikuwahi kuwepo na ilikatazwa na serikali. Niliwahi kusema na ntaendelea kusema Watanganyika msiokua na kazi maalumu kule Zanzibar mtaendelea kunyooshwa mpaka museme nini hiki. Na kama huamini nenda kule Zanzibar alafu angalia mtanganyika akifanya kosa hata kwa bahati mbaya wanavyomfakamia [emoji23][emoji23]
Kwahiyo unafurahia..hivi kipi kinaujaza moyo wenu dhidi ya chuki mliyo nayo kwa watanganyika.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Sheikh Hassan punguza shobo na Zanzibar, Rudi kwenu Bara Kwa machogo wenzio
 
Back
Top Bottom