SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wa kulaumiwa ni CCM kwani ndiyo wanang'ang'ania huu Muungano kwa mfumo huu uliopo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inapofikia hatua watu wanakosa adabu wazi wazi ni vema kuaddress hiyo changamoto wazi wazi.Tusifike huko tutakuwa tunakosea sana. Maana tunaweza kuanza kuuliza maswali ya hovyo kama:- huyu mama ni wa wapi vile?
Halafu tutaanza kusema urais wa Tanzania ni fursa ya watanganyika tutakuwa tunakosea Sana.
Mama yupo labda hali iwe mbaya!Tusifike huko tutakuwa tunakosea sana. Maana tunaweza kuanza kuuliza maswali ya hovyo kama:- huyu mama ni wa wapi vile?
Achana nae huyo ubaguzi huko uko juu sana harafu na sisi wabara ni nn kinatufanya tuwaone wanamuhimu watu wenye dharau km haoAiseee, jamaa wabaguzi sana wakati wao wapo huku bara. Kuna dogo mmoja wa kipemba kaja kupanga karibu na kwangu huku Rungwe anapambana kutafuta ardhi anunue ila apande parachichi. Jamaa ananipita tu hapa kwangu wala hanisalimii wala hasalimii mke wangu na watoto kwani ninafuga Nguruwe ila mimi ni mtaalamu wa ardhi so akikwama ananipigia simu.
Ndo sisiUmenichekesha sana. Wewe ndio wale vijana wa hovyo ninao wasikiaga.
...Hatukosei ChochoteTusifike huko tutakuwa tunakosea sana. Maana tunaweza kuanza kuuliza maswali ya hovyo kama:- huyu mama ni wa wapi vile?
Halafu tutaanza kusema urais wa Tanzania ni fursa ya watanganyika tutakuwa tunakosea Sana.
Nataka twende Kama kumi tuvae tishet zinapicha ya nguruweIkumbukwe wabara ndio wanaong'ang'ania muungano, sio wazanzibar.
Huu undugu wa kuwalazimisha wazanzibari umefanya wazanzibar waongeze chuki zaidi kwetu wabara, yani ukienda huko Zanzibar unaweza kubaguliwa lakini Mkenya anafanya shughuli zake bila tatizo
....Elimu...Elimu....Elimu...Elimu!!!Cha ajabu wahusika ni boxers unashangaa hawajui faida ya pambano kufanyika zanzibar.
1. Kuitangaza zanzibar
2. Kuifungua zanzibar boxing
3. Kiuchumi-wageni watashuka zenj kushuhudia pambano.
4. Ongea mengine
Mwakinyo asipopigana hiyo nafasi haiendi kwa mwingine itapotea.
Mola alijalie pambano hilo wajifinze kutafuta fursa.
Huna akili1 Ikiwa unafikiria Wazanzibari wamejaa Bara nakushauri upande boti uende Zanzibar halafu uje uandike tena.
2. Nashangaa watu wanatoka povu sababu tu Mwakinyo kaandika alivyoandika bila ya watu kujaribu kutafuta ukweli uko wapi? Who the fck is Mwakinyo? Huko UK na kwengineko alikokwenda kupigana kwani tumeungana nao. You dont need to be united to fight in a country. Its strictly business.
Wacheni kubweka jaribuni kutafuta undani wa sababu ya yeye kukataliwa ku fight in Zanzibar if ever thats the case!
Hao mbwa wajinga sana uwezo wenyewe hawana chuki zikizidi unakua pumbavu ndio hali waliyonayo hao kengeYaani kwenda kucheza pambano moja kisha kurudi zake Tanga
Wazanzibar wamejaa choyo husuda nongwa hadi kuandika barua kupinga mtanganyika kucheza pambano lake Huko Zanzibar
Wanasema hiyo ni fursa ya Wazanzibar pekee sio watanganyika!!!
Tukiwaambia Zanzibar hakuna MUUNGANO muwe mnaelewa.
Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar
Kwa mujibu wa kanuni taratibu na sheria za SMZ na Zanzibar
Kila kitu cha Zanzibar ni kwa Wazanzibar pekee yao
Kuna Kocha mmoja tu wa bara amepewa kufundisha timu inaitwa KVZ lakini anabaguliwa kupita maelezo
Huku Zanzibar aende mgeni kutoka Kenya, Uganda, Burundi, Urusi, China, Ulaya ataheshimika lakini sio kutoka Tanganyika
Atabaguliwa kwa kila hali
Mfano Mdogo tu Mwakinyo kupeleka pambano lake Zanzibar wakati SMZ imetoa kibali na rukhusa
Wazanzibar wanasema rukhusa hiyo ni ya Wazanzibar peke yao. Watanganyika hawahusiki hivyo wacheze michezo huku kwao Tanganyika.
Haya hapa malalamiko ya mwakinyo mpaka anajiuliza huo na kinachoitwa muungano upo wapi ??
Kwa ufupi Wazanzibar wanataka waendelee na utaratibu wa kudumu wa CHAO CHAO cha Watanganyika pia CHAO mazima
View attachment 2449693
1. Kwanza nani kakwambia kama mimi ni Mzanzibari?Nyie huku mnazaaana kama nguruwe na mnamiliki Hadi aridhi na mashamba.
Watanganyika wangapi wanaomiliki aridhi Zanzibar . ?
Acheni roho mbaya
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Chuki za Watanganyika baina ya wao kwa wao (si kikabila) na kutokuwa na huruma kwa mwenzake ndio zinazofanya Watanganyika wengi wanyonge wakimbilie.Zanzibar kujitafutia riziki zao.Huna point yoyote, naona unabweka tu kwa chuki zako dhidi ya Watanganyika.
Aiseee, jamaa wabaguzi sana wakati wao wapo huku bara. Kuna dogo mmoja wa kipemba kaja kupanga karibu na kwangu huku Rungwe anapambana kutafuta ardhi anunue ila apande parachichi. Jamaa ananipita tu hapa kwangu wala hanisalimii wala hasalimii mke wangu na watoto kwani ninafuga Nguruwe ila mimi ni mtaalamu wa ardhi so akikwama ananipigia simu.
Nani ataithibitisha hiyo hali mbaya?Mama yupo labda hali iwe mbaya!
Kwahiyo unafurahia..hivi kipi kinaujaza moyo wenu dhidi ya chuki mliyo nayo kwa watanganyika.?Zanzibar hiyo michezo ya kitwana haikuwahi kuwepo na ilikatazwa na serikali. Niliwahi kusema na ntaendelea kusema Watanganyika msiokua na kazi maalumu kule Zanzibar mtaendelea kunyooshwa mpaka museme nini hiki. Na kama huamini nenda kule Zanzibar alafu angalia mtanganyika akifanya kosa hata kwa bahati mbaya wanavyomfakamia [emoji23][emoji23]
Wanasema faida yake kubwa ni za kiusalama kwa Tanganyika....Hatukosei Chochote
Kwani Muungano una Faida Gani?... Tuache Unafiki...
Na kwa nini asitumie Zanzibar?.Kwa nini asitumie Uwanja wa Tanga?Akaitangaza Tanga?Na kupata watu wa Tanga,fursa za kibiashara?