Maboresho Mkataba wa Bandari Yazingatie Maoni ya Wananchi
Yaani mtu anayependa mipasho na kusutana anitilie mimi mashaka kwasababu nimemwambia ukweli ?
Ukweli gani uliousema hapa wewe mpuuzi? Angalia comment yangu uliyoiquote mwanzo kabisa ili ujione jinsi ulivyo huna akili.
 
Ukweli gani uliousema hapa wewe mpuuzi? Angalia comment yangu uliyoiquote mwanzo kabisa ili ujione jinsi ulivyo huna akili.
Narudia tena kukwambia, wewe ni mtoto wa kiume haya mambo ya kukasirika hovyo na mipasho waachie wanawake. Mtoto wa kiume ukisema HAPANA au NDIYO wenzako tunakulewa na kama kitu hupendi tunaacha, A STOIC WAY. Hizi pigo unazoleta hapa za vijembe, hisia na mihemko kwenye kitu kidogo mara kuniita mpuuzi, mjinga au kiingereza cha google yanakudhalilisha ustaadh. Watoto wa kiume huwa tunajadiliana hata mambo tusiyokubaliana.
 
Wewe choko jibu swali acha kunitingishia kiuno.
Mazee kuniita mimi choko unadhani ndiyo itafanya niache kukwambia ukweli kwamba wewe una vijitabia vya kike-kike ambavyo matoto wa kiume hatakiwi kuwa navyo ? Haya leta matusi na mipasho mingine basi, hayo unayotumia ya kizamani.​
 
Kaa pembeni wewe huna hoja,akili zikikurudi jibu swali nililokuuliza uliponiquote comment #9 upunguze na kujitongozesha.
 
Ustaadh, ukipata matusi mapya yalete tuyaone! Haya unayotumia hapa ya kizamani sana....
Nyie wabaguzi wa udini na ukabila nitawapokea kama mnavyokuja na mtanyooka tu,nitawatembezea bakora angle zote,

Kitendo chako cha kuandika neno "Ustaadh" kinaonyesha kabisa kua wewe unateswa na Islamophobia,nitakunyoosha mpaka uache kujipendekeza kwangu.
 
Nyie wabaguzi wa udini na ukabila nitawapokea kama mnavyokuja na mtanyooka tu,nitawatembezea bakora angle zote,

Kitendo chako cha kuandika neno "Ustaadh" kinaonyesha kabisa kua wewe ni Islamophobia,nitakunyoosha mpaka uache kujipendekeza kwangu.
Hahaha, wewe jamaa nilikuwa nakuona unajielewa sana kumbe ni mwepesi hivi!
Umeishiwa matusi na misuto unaanza kuleta hoja za udini ambazo hazipo hapa.
Haya tuendelee, mimi wala sina makasiriko yoyote yale.

NB: By the way mtu hawezi kuwa Islamophobia BALI Islamophobic, hiki ndiyo kiingereza sahihi.
 
Hujui kitu wewe kituko cha JF,hivi mpaka hapa hujajishtukia tu jinsi unavyouanika upumbavu wako? Acha kujipendekeza kwangu choko wewe,unajifanya kukwepa issue ya udini huku unatingisha kalio na kuita watu sijui Ustaadh! Huna akili wewe.
 
Hahaha! naona ustaadhi umepaniki, vizuri sana!
Umeishiwa matusi, ukaleta vihoja vya dini vikabuma, sasa naona unatoa mapovu makali sana.
Umejificha sana lakini mwisho ukaamua kumwaga yale ya moyoni mbele za hadhara, leo nimekuweza.

Haya tuendelee, sasa hivi uje na matusi mengine mapya basi. Halafu uache kulia-lia hivi bwana.
 
shida inaanzia kwenye sababu za kubinafsisha bandari.
Shida ipo kwenye kuwaamini wabinafsisha bandari maana ni wale wale waliowahi kubinafsisha vingine vikashindwa kuleta matokeo.
DP world wana migogoro sehemu nyingi duniani hasa nchi ambazo political and economical stability ni ndogo.
 
nchi masikini na suala zima la ubinafsishaji ni kaa la moto maana sababu kubwa ya ubinafsishaji ni kupenda burebure na watu kukosa accountabiliy kwenye majukumu yao.

Sera ya ubinafsishaji kwa mataifa makubwa na watu wanaojielewa inawork maana inactual fact ubinafsishaji kwao ni kuongeza ufanisi na kuleta mapato mengi.
 
tulipaswa kwanza kuirun bandari katika highest peak sisi wenyewe na kuondoa kila vijisababu vya kijinga kwanza.

sasa unabinafsisha bandari huku shida kuu ni ya watu wako, poor management ambayo mwisho wa siku inaleta ufanisi duni kila mahala.

Shida kuu ya nchi hii ni watawala na mifumo wanayoiongoza, sababu hii maana yake hata huo ubinafsishaji utaleta shida pia.
 
Hahaha! naona ustaadhi umepaniki, vizuri sana!
Umeishiwa matusi, ukaleta vihoja vya dini vikabuma, sasa naona unatoa mapovu makali sana.
Umejificha sana lakini mwisho ukaamua kumwaga yale ya moyoni mbele za hadhara, leo nimekuweza.

Haya tuendelee, sasa hivi uje na matusi mengine mapya basi. Halafu uache kulia-lia hivi bwana.
Wewe choko acha kuniita mimi bwana,mimi sio bwana yako,
Umeniweza nini zaidi ya kuuonyesha ujinga wako hapa? Ngonjera nyingi coz umeshindwa kujibu kwa nilichokuuliza coz ya comment yako #9
 
Wewe choko acha kuniita mimi bwana,mimi sio bwana yako,
Umeniweza nini zaidi ya kuuonyesha ujinga wako hapa? Ngonjera nyingi coz umeshindwa kujibu kwa nilichokuuliza coz ya comment yako #9
Daah, sasa mazee unatoa povu lete hili kisa kukwambia umekosea kuandika kiingereza ?
 
Daah, sasa mazee unatoa povu lete hili kisa kukwambia umekosea kuandika kiingereza ?
Hivi una akili timamu kweli wewe? Unajua hata unachokijadili hapa? Kasome comment #14 halafu njoo unijibu hapa,uje na jibu usiniletee njonjera zakichoko hapa.
 
Ningekuwa karibu na Rais Samia ningemshauri aufutulie mbali huo mkataba kwa manufaa ya Umma.
 
Kwani hatuwezi Ku agree to disagree??
Lazima kitu akiongea Shivji ndo kiwe msahafu wa Taifa??
Lazima tusiokubaliana na kina Shivji tunyamaze?tusiweze sema hatukubaliani??
Hiv kumbe ishu ni shivj. Mi nikafikir ni hoja zake. Hiv wewe na akili zako kabisa unaona huo mkataba upo sawa kabisa
 
Back
Top Bottom