Mabosi waeleza kwanini wanawafukuza kazi Gen Z miezi michache baada ya kuajiriwa. Gen Z chukua notes

Hongera sana kijana.
 
Kwa nini usiongee nae kistaarabu na kumwelewesha mavazi anayo takiwa kuvaa?
Hata mimi nilimuuliza swali kama hili lako mkuu. Jamaa anapenda sana ubabe wa kijinga kwa vijana wadogo badala ya kuwafundisha na kuwatelekeza kwa upendo.
 
Pole kwa yaliyokusibu 😅Ila ikifika wakati wako ukawa na uwezo wa kuhonga iPhone kama pipi nawewe wamegee madogo wa 2010 mademu zao, ndio hivo ilivo
 
Kizazi lia lia...Kazi ipo
 
Pole kwa yaliyokusibu [emoji28]Ila ikifika wakati wako ukawa na uwezo wa kuhonga iPhone kama pipi nawewe wamegee madogo wa 2010 mademu zao, ndio hivo ilivo
Hamna iyo sio kuna watu wanashida sana mkuu we ukipata nafasi ya kumsaidia mtu we msaidie tu, kuna mdada ni barmed aliwahi kunipa story yake daaah kateseka sana yule mwanamke nilikuwa nampampa sana hela hela za kula kipindi iko mpaka anarudi mkoani kwao tunawasilana ila sahiv sijui yupo wapi Mungu amsaidie yule dada
 
Hapo sina kusema Ila kizazi cha 2000 wengi. Hawajitambui
 
Ninapenda sana kufanya kazi na watu niliowazidi umri. I love teaching my young brothers and sisters ways of life..
Mungu akuweke mkuu, Mara nyingi mazingira yanachangia sana mabadiliko ya mwenendo wa mtu. Tupo tayari kujifunza, tunawategemea mlio mbele yetu on our achievements and improvements.
 
Hapo sina kusema Ila kizazi cha 2000 wengi. Hawajitambui
Umegeneralize mkuu kuna walio smart na wasiojitsmbua pia kikubwa wewe kama mkubwa wao ulipaswa uwe part ya mabadiliko, nyakati mbaya uwa hazidumu.
 
Ninapenda sana kufanya kazi na watu niliowazidi umri. I love teaching my young brothers and sisters ways of life..
Hivi ndo inatakiwa me nimeishi na uyo meneja wangu kanifundisha vitu nilielewa vizuri hadi staff wapya alinipa kazi ya kuwafundisha na pia nilienda extra nikawa namuelekeza pale akisahau baadhi ya vitu.
 
Tatizo limeanzia kwenye malezi huko kwenye familia zetu. Halafu pia tabia ya kuajiri kwa kujuana (connection).
 
Umegeneralize mkuu kuna walio smart na wasiojitsmbua pia kikubwa wewe kama mkubwa wao ulipaswa uwe part ya mabadiliko, nyakati mbaya uwa hazidumu.
Nikutolee mfano kuna dogo nimempa bajaji wewe ananiletea hela ndogo 15k just imagine hela anapata anaenda kucheza kamari na ni 24 years, ana mtoto wa miaka 8 hvi mtu kama huyu unaweza kumsaidiaje?
 
Kuna mmoja nilimkuta washroom anakatika huku anakenua kenua kwny kioo....
Hawa madogo usasa unawapeleka puta..
Ngoja wazalishwe wtt w2 watatu watatulia...
 

Tatizo lianazia huko wanakoandaliwa.wanaandaliwa na Magenz wenzao.yaana Gen z anamuandaa Genz kuingia sokoni
 
Tumewalisha sana mayai ya kuku wa kisasa ndio shida imeanzia hapo
 
Ni kwel ila sababu kubwa ni wakufunzi au walimu wamejisahu kuwafundisha wahitimu wa gen Z hvy vitu kama maadili ya kazi na mengi neyo tusiwalaum sana wao tuangalie wanapozalishwa ili kuingia makasin✊️✊️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…