Hili nalo neno maboss nao mapepeTatizo lenu maboss mnaendesha tàasisi kiloko sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo neno maboss nao mapepeTatizo lenu maboss mnaendesha tàasisi kiloko sana
S kweli hapa nakupinga Yan hii ipo kwa watu wa umri wote haina cha mtu. Wa 1960 wala 2000Gen Z wanajua kuwahi kazini mpaka boss awepo. Pumbavu, kama unaweza kuepuka kuajiri hawa watu usiwape kazi
Mbona unanitisha Sasa maana Nina mpango wa kuoa binti asiyezidi miaka 22 mimi naelekea 36 mwaka huu🤔Wasiwasi wako tu!
Huyo 30+ chukulia hajaolewa kwasababu Mungu amekuekea wewe.
Gen Z hapa kua makini ukimuonyesha una kazi nzuri, unajiweza basi atakuigizia umuoe kisha anachepuka na mtoto mwenzake. (Japo sio wote)
Muoe tu mkuu kuna Gen Z wana tabia njema, huenda huyo wako ni mmojawapoMbona unanitisha Sasa maana Nina mpango wa kuoa binti asiyezidi miaka 22 mimi naelekea 36 mwaka huu🤔
Huna tofauti na Gen Z wewe!Hahaha sasa Gen z mmetoka shule juzi, huna experience ya kazi then unajuaje kama maboss wanaendesha ki local? Halafu hili neno local naona kama linatafsirika tofauti na wengi. Anyway, tuyaache hayo; binafsi pia sipendi sana kutumia au kutumiwa neno BOSS, ni kama kujipendekeza au kutafuta sifa tu. Anyway, tulitawaliwa na Uingereza, sawa tu na wana siasa, mtu hana heshima yoyote, haheshimiki lakini eti "mheshimiwa" stupid.
Mfikirie yule aliyemtumbukizia chupa ya soda yule dogo, mtu kama yule anakuaje mheshimiwa?
Kabisa yaaniHuna tofauti na Gen Z wewe!
Tumeiga kila kitu from UK; zamani wana siasa kuanzia wabunge, wakuu wa mikoa nk tulikua tunawa address kama ndugu, ulivoanza mfumo wa vyama vingi sasa; khaa. Mheshiwa, boss, Reverend, engineer fulani, sasa hvi utasikia tena, CPA fulani, yaani upuuzi tu mradi ujitofautishe na wengineBoss ni neno la kitumwa, ulimwengu wa sasa hauna hio una family au team work na office zipo mtindo wa panel yaani boss na staff mnakaa room moja.
Mkuu haina maana wewe ni mkubwa sana Ila point kubwa ya kuitana jf nadhani pia ni kwasababu huwezi jua unaechat nae ni umri gani ama jinsia gani lakini pia ni katika Ile hali ya kuonyesha tu usawa jf hakuna mashindano humu JF ni watu wamojaKusema boss ni kupiga magoti kivipi Mkuu, sijaelewa hapo! Si kama hapa unavyoita wengine Mkuu au?
Hao ndio Gen Z, misimamo kama yote hata kama itamgharimuKuna Dogo alikuja Field...Eti Site akawa anakuja na Jeans kubwaa na mayeboyebo makubwaa kichwani kanyoa kiduku
Nikamwambia Dogo peleka Ujinga huko nisikuone na mavazi hayo.
Hakurudi asee sjui alienda kupatia wapi field.
Kuna graduate ni vilaza sana,mwaka 2017 nilipokea vijana wa field kutoka chuo bora tu lakini unafundisha jitu kubwa kitu kimoja kidogo wiki mbili na bado halijui sasa wa nini mtu wa hivyo,wanachojua wapate wifi waingie insta tu umbea umbeaHiyo ni roho mbaya. Utamuondoa vp mtu sehemu anayopatia rizki yake ilhali ni fresh graduate na hajui chochote??
Na ukimaliza masomo ukajiajiri,sasa kama ulisoma kozi isiyo na msaada na wewe ndo utaelewaSio kazini tu, picha linaanzia field bado mtu nipo chuo nachagua field station, napata na naripoti mimi Gen Z.
Nalipa ada ya mafunzo sawa na bili ya miezi miwili msosi chuo, naona nitachojifunza ni kizuri hasa nakuwa mpole.
Basi, Hosts wangu ni watu wazima tu, ila wanataka niwaite dada na kaka zangu khaa! Hawataki hata salamu za kuonyesha heshima kwao na wana utani mwingi sana.
Kutoka hapo ndani mpaka saa moja kasoro jioni tangu saa moja asubuhi, no posho wala nini na utaratibu ni mtoke saa kumi alasiri.
Mnatoka hapo ndani zile chemicals zimewalevya unaona njia tu ya kuelekea maskani.
ukichelewa kidogo kuingia station asubuhi kesi hiyo, nikaanza hesabu siku sasa za kuripoti maana tulikuwa tunawasaidia wao kazi pia baada ya kupata uzoefu.
Gen Z hatunyenyekei mtu hata kidogo..
Ndio maana kama utumishi wako serious na Hiyo sector suala la umri wa mhusika ni muhimu sana mtu kamaliza miaka Karibu kumi au zaidi wanaingia usaili then anaajiriwa dogo wa juzi katoka chuo unadhani matokeo yatakuwaje? Anaachwa mtu ana miaka Karibu arobaini. End of the day watumishi wa umma unakuta ombwe la watu utadhani wako kijiwe Cha Pombe au kitamba cheupe.🥲Hahaha sasa Gen z mmetoka shule juzi, huna experience ya kazi then unajuaje kama maboss wanaendesha ki local? Halafu hili neno local naona kama linatafsirika tofauti na wengi. Anyway, tuyaache hayo; binafsi pia sipendi sana kutumia au kutumiwa neno BOSS, ni kama kujipendekeza au kutafuta sifa tu. Anyway, tulitawaliwa na Uingereza, sawa tu na wana siasa, mtu hana heshima yoyote, haheshimiki lakini eti "mheshimiwa" stupid.
Mfikirie yule aliyemtumbukizia chupa ya soda yule dogo, mtu kama yule anakuaje mheshimiwa?
Umezaliwa mwaka gani tuanzie hapo?🤔Mbona mi sio Gen Z lakini hayo mambo ninayo
Yaani sijipendekezi kwa Boss au mtu yeyote, najitenga sinaga story za simba na yanga sijui pakome kafanyaje, Sina shobo nikikusalimia mara Moja usipoitikia hutokaa upate salamu yangu milele, wale wapenda sifa egoist ndo sinaga habari nao na wananichukia kinyama,
Ni kweli vitoto vya elfu 2 vina mapungufu yao ila mengine mnawasingizia
Sema wabongo mnapenda kusujudiwa mkiwa kwenye nyadhifa fulani niwakumbushe tu huo ni ushamba
Ni nzuri mkuu, ni kupambania nipate mtaji tu kuajiriwa siku hizi mpaka kujuanaNa ukimaliza masomo ukajiajiri,sasa kama ulisoma kozi isiyo na msaada na wewe ndo utaelewa
Sema kuna kitu kimoja nadhani nyie wa kujiita "Gen Z" hamjakijua.Fresh graduates watii pia wapo, na bullying bosses pia ni wengi sana
I was born in 1985Sema kuna kitu kimoja nadhani nyie wa kujiita "Gen Z" hamjakijua.