Mabosi waeleza kwanini wanawafukuza kazi Gen Z miezi michache baada ya kuajiriwa. Gen Z chukua notes

Mabosi waeleza kwanini wanawafukuza kazi Gen Z miezi michache baada ya kuajiriwa. Gen Z chukua notes

Wasiwasi wako tu!
Huyo 30+ chukulia hajaolewa kwasababu Mungu amekuekea wewe.

Gen Z hapa kua makini ukimuonyesha una kazi nzuri, unajiweza basi atakuigizia umuoe kisha anachepuka na mtoto mwenzake. (Japo sio wote)
Mbona unanitisha Sasa maana Nina mpango wa kuoa binti asiyezidi miaka 22 mimi naelekea 36 mwaka huu🤔
 
Hahaha sasa Gen z mmetoka shule juzi, huna experience ya kazi then unajuaje kama maboss wanaendesha ki local? Halafu hili neno local naona kama linatafsirika tofauti na wengi. Anyway, tuyaache hayo; binafsi pia sipendi sana kutumia au kutumiwa neno BOSS, ni kama kujipendekeza au kutafuta sifa tu. Anyway, tulitawaliwa na Uingereza, sawa tu na wana siasa, mtu hana heshima yoyote, haheshimiki lakini eti "mheshimiwa" stupid.
Mfikirie yule aliyemtumbukizia chupa ya soda yule dogo, mtu kama yule anakuaje mheshimiwa?
Huna tofauti na Gen Z wewe!
 
Boss ni neno la kitumwa, ulimwengu wa sasa hauna hio una family au team work na office zipo mtindo wa panel yaani boss na staff mnakaa room moja.
Tumeiga kila kitu from UK; zamani wana siasa kuanzia wabunge, wakuu wa mikoa nk tulikua tunawa address kama ndugu, ulivoanza mfumo wa vyama vingi sasa; khaa. Mheshiwa, boss, Reverend, engineer fulani, sasa hvi utasikia tena, CPA fulani, yaani upuuzi tu mradi ujitofautishe na wengine
 
Kusema boss ni kupiga magoti kivipi Mkuu, sijaelewa hapo! Si kama hapa unavyoita wengine Mkuu au?
Mkuu haina maana wewe ni mkubwa sana Ila point kubwa ya kuitana jf nadhani pia ni kwasababu huwezi jua unaechat nae ni umri gani ama jinsia gani lakini pia ni katika Ile hali ya kuonyesha tu usawa jf hakuna mashindano humu JF ni watu wamoja
 
Sio kazini tu, picha linaanzia field bado mtu nipo chuo nachagua field station, napata na naripoti mimi Gen Z.
Nalipa ada ya mafunzo sawa na bili ya miezi miwili msosi chuo, naona nitachojifunza ni kizuri hasa nakuwa mpole.
Basi, Hosts wangu ni watu wazima tu, ila wanataka niwaite dada na kaka zangu khaa! Hawataki hata salamu za kuonyesha heshima kwao na wana utani mwingi sana.
Kutoka hapo ndani mpaka saa moja kasoro jioni tangu saa moja asubuhi, no posho wala nini na utaratibu ni mtoke saa kumi alasiri.
Mnatoka hapo ndani zile chemicals zimewalevya unaona njia tu ya kuelekea maskani.
ukichelewa kidogo kuingia station asubuhi kesi hiyo, nikaanza hesabu siku sasa za kuripoti maana tulikuwa tunawasaidia wao kazi pia baada ya kupata uzoefu.
Gen Z hatunyenyekei mtu hata kidogo..
 
Hiyo ni roho mbaya. Utamuondoa vp mtu sehemu anayopatia rizki yake ilhali ni fresh graduate na hajui chochote??
Kuna graduate ni vilaza sana,mwaka 2017 nilipokea vijana wa field kutoka chuo bora tu lakini unafundisha jitu kubwa kitu kimoja kidogo wiki mbili na bado halijui sasa wa nini mtu wa hivyo,wanachojua wapate wifi waingie insta tu umbea umbea
Ila graduates wa sasa ni hovyo kabisa,ndio maana wakenya wanatusema kila siku ,soko la ajira katika nafasi kubwa kubwa na hasa katika makampuni binafsi utakuta wahindi na wakenya tu,watz sio competitive kabisa na hawataki kujifunza mambo mapya
 
Sio kazini tu, picha linaanzia field bado mtu nipo chuo nachagua field station, napata na naripoti mimi Gen Z.
Nalipa ada ya mafunzo sawa na bili ya miezi miwili msosi chuo, naona nitachojifunza ni kizuri hasa nakuwa mpole.
Basi, Hosts wangu ni watu wazima tu, ila wanataka niwaite dada na kaka zangu khaa! Hawataki hata salamu za kuonyesha heshima kwao na wana utani mwingi sana.
Kutoka hapo ndani mpaka saa moja kasoro jioni tangu saa moja asubuhi, no posho wala nini na utaratibu ni mtoke saa kumi alasiri.
Mnatoka hapo ndani zile chemicals zimewalevya unaona njia tu ya kuelekea maskani.
ukichelewa kidogo kuingia station asubuhi kesi hiyo, nikaanza hesabu siku sasa za kuripoti maana tulikuwa tunawasaidia wao kazi pia baada ya kupata uzoefu.
Gen Z hatunyenyekei mtu hata kidogo..
Na ukimaliza masomo ukajiajiri,sasa kama ulisoma kozi isiyo na msaada na wewe ndo utaelewa
 
Dawa yao kuwafukuza tu kazi "you are fired" akipata tatu atajirekebisha tu. Asiye funzwa na wazazi Dunia Ina mahitaji.
 
Hahaha sasa Gen z mmetoka shule juzi, huna experience ya kazi then unajuaje kama maboss wanaendesha ki local? Halafu hili neno local naona kama linatafsirika tofauti na wengi. Anyway, tuyaache hayo; binafsi pia sipendi sana kutumia au kutumiwa neno BOSS, ni kama kujipendekeza au kutafuta sifa tu. Anyway, tulitawaliwa na Uingereza, sawa tu na wana siasa, mtu hana heshima yoyote, haheshimiki lakini eti "mheshimiwa" stupid.
Mfikirie yule aliyemtumbukizia chupa ya soda yule dogo, mtu kama yule anakuaje mheshimiwa?
Ndio maana kama utumishi wako serious na Hiyo sector suala la umri wa mhusika ni muhimu sana mtu kamaliza miaka Karibu kumi au zaidi wanaingia usaili then anaajiriwa dogo wa juzi katoka chuo unadhani matokeo yatakuwaje? Anaachwa mtu ana miaka Karibu arobaini. End of the day watumishi wa umma unakuta ombwe la watu utadhani wako kijiwe Cha Pombe au kitamba cheupe.🥲
 
Mbona mi sio Gen Z lakini hayo mambo ninayo
Yaani sijipendekezi kwa Boss au mtu yeyote, najitenga sinaga story za simba na yanga sijui pakome kafanyaje, Sina shobo nikikusalimia mara Moja usipoitikia hutokaa upate salamu yangu milele, wale wapenda sifa egoist ndo sinaga habari nao na wananichukia kinyama,
Ni kweli vitoto vya elfu 2 vina mapungufu yao ila mengine mnawasingizia
Sema wabongo mnapenda kusujudiwa mkiwa kwenye nyadhifa fulani niwakumbushe tu huo ni ushamba
Umezaliwa mwaka gani tuanzie hapo?🤔
 
Fresh graduates watii pia wapo, na bullying bosses pia ni wengi sana
Sema kuna kitu kimoja nadhani nyie wa kujiita "Gen Z" hamjakijua.

Kwanza kabisa, kuna vile mnajiona kama nyie ni watu flani special, yani kama vile nyie ni "species" mpya ya binadamu ambao mna "super powers" na kwamba the rules do not apply to you.

Guess what? Nyie ni binadamu kama binadamu wengine, na hakuna kitu chochote special mlicho nacho! Sasa hii "illusion" ambayo wengi wenu mnajijengea, ya kujidai kwamba nyie sijui hamuogopi mtu, mara hamjali, mara hamtaki kushirikiana na mtu, hamsikii la kuambiwa nk.. itakuja kuwatokea puani.

Hii dunia inaendeshwa na mifumo ambayo ina apply kwa binadamu wote equally na usipoifuata, au ukishindwa kuji allign na hiyo mifumo, lazima ikuadhibu!

Nadhani kwavile wengi wenu bado ni wadogo, hamjayaelewa maisha jinsi ambavyo hayana huruma. Kwa sasa mnaona sawa tu mnaweza kufanya mnachotaka ila ipo siku mtatambua kwamba kuheshimu watu, kujali, kushirikiana na wengine nk is the only way to go.
 
Back
Top Bottom