Mabosi waeleza kwanini wanawafukuza kazi Gen Z miezi michache baada ya kuajiriwa. Gen Z chukua notes

Mabosi waeleza kwanini wanawafukuza kazi Gen Z miezi michache baada ya kuajiriwa. Gen Z chukua notes

Ndio maana nimekwambia hao bado ni watoto kazini, fresh from college. Usitumie lugha za ukali. Don't take advantage of your maturity and working experience to start bullying or scolding at the them.
Hayo ni matatizo yake, hakuna mtoto hapo. Mbona sisi tulikuwa na utii na adabu kwa wote kazini. Kwani shule na chuo alijifunza nini, alijifunza kiburi?
 
Hayo ni matatizo yake, hakuna mtoto hapo. Mbona sisi tulikuwa na utii na adabu kwa wote kazini. Kwani shule na chuo alijifunza nini, alijifunza kiburi?
Utii ni nini?? Unataka junior cashier akupe pesa pasipo kuandika katika kitabu na sahihi ya signatory na akigoma ndio useme kuwa hana utii??..
 
Hahaha sasa Gen z mmetoka shule juzi, huna experience ya kazi then unajuaje kama maboss wanaendesha ki local? Halafu hili neno local naona kama linatafsirika tofauti na wengi. Anyway, tuyaache hayo; binafsi pia sipendi sana kutumia au kutumiwa neno BOSS, ni kama kujipendekeza au kutafuta sifa tu. Anyway, tulitawaliwa na Uingereza, sawa tu na wana siasa, mtu hana heshima yoyote, haheshimiki lakini eti "mheshimiwa" stupid.
Mfikirie yule aliyemtumbukizia chupa ya soda yule dogo, mtu kama yule anakuaje mheshimiwa?
Boss ni neno la kitumwa, ulimwengu wa sasa hauna hio una family au team work na office zipo mtindo wa panel yaani boss na staff mnakaa room moja.
 
Kuna Dogo alikuja Field...Eti Site akawa anakuja na Jeans kubwaa na mayeboyebo makubwaa kichwani kanyoa kiduku
Nikamwambia Dogo peleka Ujinga huko nisikuone na mavazi hayo.
Hakurudi asee sjui alienda kupatia wapi field.
Acha kufokea watoto wadogo kwa lengo la kuwajengea hofu. Wafundishe kazi kama ambavyo wewe ulifundishwa.
 
Hakuna kitu, ni ujinga wa mabosi vilaza wanaogopa kushindwa maarifa
Hii ni timu ya Elon Musk inayofanya kazi na serikali ya US.....

1739011978506.png
 
Atafunzwa na Ulimwengu angetaka kuelekezwa angerudi kesho yake.
Na ww ni wale vijana mnaopenda kuonewa huruma itakuwa.
Imagine mpaka unamaliza chuo hujui dress code za fani yako. Mtu aliyeelimika kabla ya kwenda anadodosa kwanza utaratibu wa vitu vidogo vidogo
 
Back
Top Bottom