Mabraza Mlioa Njoo NIWASANUE:- Hivi ndivyo mabraza wenzenu wavyowafanyia wake zenu huko Marathon..!!!

Lakini na we braza umeshindwa kuandika ujumbe wako bila kuandika matusi na kuita watu majina mabaya?

Mimi mnanikera sana. Toa ujumbe wako kistaarabu. Msitufanye JFs wote ni wahuni kama nyie. Nakushauri
 
Hilo la wake la watu sifahamu, kama wanagongewa shauri zao.

Lakini tuendelee kusimamia NO REFORMS, NO ELECTION.

Katika kitu kinaudhi na kinaturudisha nyuma kama Taifa ni watumishi wa umma.
 
Ewaaaaa.
Wanangu tuwapelekee moto sana wake za mabroo na tuwape mimba walee watoto wetu kwenye ndoa zao mpaka akili ziwakae
Safi kabisa na ukidakwa toa donati fresh ili akili zikukae sawa
Ni hayo tu
 
Kuhusu kutotiki 100%
Kuhusu wake za watu hiyo unasambaza hofu mkuu .
Nimi drop out wa PhD in Financial Economics (Biashara zilinipenda zaidi kuliko shule) nadhani tunaweza kudiscuss kuhusu "Theory" iliyoapia hapo kwenye comment yako.

Ikiwa unaamini anga ni la Blue basi elewa wapo wanao amini Bahari ni nyeusi.

Hofu ya kujua ukweli ni ngumu ila ina utamu wake.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
PhD za Tz bado ni za kukariri you can't become a Blue Sky thinker

Hofu - MTU anayesambaza hofu anakuwa ni muuaji Kama wauaji wengine na hii ndo imepelekea nchi za Giza like Tz kuwa na watu dhaifu ambao they quiet before they start .

MTU anapokuwa ameoa anabidi kuelekeza akili yake na fikira katika kuwa familia bora , na kujiandaa na future yake .


Kwahiyo MTU ambaye yupo above 30 yrs anahitaji utulivu mkubwa wa akili ili kuruhusu sehemu mbili za ubongo wake kufanya Kazi Left brain and right brain.
 
Nilipata scholarship, ilipofika siku ya kupabda ndege kwenda kumalizia darasa huko nje NIKAGOMA na KUACHANA NA SHULE.

NDOA NI UTAPELI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
sio ndoa hata ukimnunua Malaya ukafanya nae ngono ukampa pesa ni utapeli

Kwakuwa unamfurahisha kupitia nguvu zako na pesa unampa na huku ukijisifu unemkomoa na kusahau lile ni shimo na shimo halimolewi kwa kulichimba kwakuwa utaumia mwenyewe mikono.
Nilipata scholarship, ilipofika siku ya kupabda ndege kwenda kumalizia darasa huko nje NIKAGOMA na KUACHANA NA SHULE.

NDOA NI UTAPELI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Tunaotiki
Msio tiki
Wote tunatom....
Wote tutaendelea kula Raha tutabanana Tu hukuhuku tanganyika
 
Solution ni ipi
Au Tuwaekee mabodyguard (Robots) wakuwasimamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…