Ni kawaidaINTRODUCTION.
Haloo mpoooo ....
Wotee tusemee watumishi wa umma msiwe mabwege wa kudanganywa na increament za 50k, MAMA HAFAI na HAFAI KABISAA.
Vingapi ni haki zenu tena zipo kisheria na HAWAJATEKELEZA??
Kwanini watudanganye na kipande cha mti walichotupa wakati haki yetu ni saizi ya mbuyu..???
SAY NO TO BIBI CHURA...!!!
Twende kwenye mada...
SCENARIO:
Mabraza wenyewe mkajiona(ga) mna mapenzii na wake zenu na kuwaruhusu waende Marathon, si ndio...!!!
Basi woteee tuseme igweeeee..!!
Eti hamtaki wapate vitambi..!!!
Poleni sanaa.
THE PROBLEM:-
1. Kuna wajuba huko mnawajua?
2. Kuna ma-ex zao huko mnawajua?
3. Kuna "baby dady" zao huko (kwa mlioa singo maza) mnawajua?
4. Kuna wahuni huko mnawajua?
5. Kuna masela huko mnawajua?
6. ..... 10 List ni ndefu aisee ila point ni kwamba ""MNAWAJUA??""
Sasa kwa kifupi kabisa mkeo huko HULIWA SANAA..!!!
View attachment 3420428
CONCLUSION
Tena masela siku hizi wajanja wanapima kwanza kama yaliyomo yamo ili msiwaue ...!!!
View attachment 3420430
Anyway.
Tuendelee kutafuta hela.
Karibuni kwenye biashara, Lets encourage RISK LOVERS and dis-courage RISK AVERSERS.
THE END:
Nikiwa na akili zangu TIMAMU na miaka yangu 35.
OCTOBER SIPIGI KURA NG'OOOOO
NIMEMALIZA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ukimaliza nipasie na mimi😋Her number please 🙏
I beg
Imeisha hiyoUkimaliza nipasie na mimi😋
Kuna watu wapo katika open marriages mke anapigwa nje na mume anapiga nje wao wenyewe wanaelewana.INTRODUCTION.
Haloo mpoooo ....
Wotee tusemee watumishi wa umma msiwe mabwege wa kudanganywa na increament za 50k, MAMA HAFAI na HAFAI KABISAA.
Vingapi ni haki zenu tena zipo kisheria na HAWAJATEKELEZA??
Kwanini watudanganye na kipande cha mti walichotupa wakati haki yetu ni saizi ya mbuyu..???
SAY NO TO BIBI CHURA...!!!
Twende kwenye mada...
SCENARIO:
Mabraza wenyewe mkajiona(ga) mna mapenzii na wake zenu na kuwaruhusu waende Marathon, si ndio...!!!
Basi woteee tuseme igweeeee..!!
Eti hamtaki wapate vitambi..!!!
Poleni sanaa.
THE PROBLEM:-
1. Kuna wajuba huko mnawajua?
2. Kuna ma-ex zao huko mnawajua?
3. Kuna "baby dady" zao huko (kwa mlioa singo maza) mnawajua?
4. Kuna wahuni huko mnawajua?
5. Kuna masela huko mnawajua?
6. ..... 10 List ni ndefu aisee ila point ni kwamba ""MNAWAJUA??""
Sasa kwa kifupi kabisa mkeo huko HULIWA SANAA..!!!
View attachment 3420428
CONCLUSION
Tena masela siku hizi wajanja wanapima kwanza kama yaliyomo yamo ili msiwaue ...!!!
View attachment 3420430
Anyway.
Tuendelee kutafuta hela.
Karibuni kwenye biashara, Lets encourage RISK LOVERS and dis-courage RISK AVERSERS.
THE END:
Nikiwa na akili zangu TIMAMU na miaka yangu 35.
OCTOBER SIPIGI KURA NG'OOOOO
NIMEMALIZA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ndoa ni UBATILI.Aisee wanaume WA Africa bwana
Kwaiyo mwanamke akifanya Tu kitu flani ni Malaya?
Kutombew(a) sio kitu cha kawaida, ndio manaa watu hufikia mpaka kujinyonga.Ni kawaida
Ndoa kama hii sidhani kama ipo.Kuna watu wapo katika open marriages mke anapigwa nje na mume anapiga nje wao wenyewe wanaelewana.
Wewe mpitanjia unashupalia ndoa za watu hujui wenye ndoa wamekubaliana nini.
Ni uhainiNdoa ni UBATILI.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nakumbuka siku moja nilikutana na pisi Marathon sikujua kama ni mke wa mtu. Baada ya gemu anasema ameolewa na ana watoto wawili. Cha ajabu akasema mara ya mwisho amesex na mme wake mwezi mmoja na zaidi uliopita. Dhambi hii nilitubuHamkutumwa muoe.
Mtagongewe hasaaa
"They Dont play games those niggass, Bitch has no Chance""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sikufanikiwa kulelewa na wazazi hivyo sikulelewa kwenye ndoa.Wa kwanza NINAYEMJUA ni wewe
Pole sana dyadya.....kwa kulelewa kwenye familia yenye migogoro ya ndoa.
Ongeza Sauti Mkuu wasikie Mkuu
karibuni kwenye biashara
natengeneza picha mbao size zote A1,A2,A3,A4
Napatikana Temeke-DSM
Mawasiliano 0615321080
Delivery popote inakufikia
View attachment 3420491
Tatizo unaangalia kudhani sehemu unapotakiwa kujua.Ndoa kama hii sidhani kama ipo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Matumaini ya kukuta bikira kwenye wodi ya wazazi ndo haya sasa.Kama ulioa Malaya, kuwa na wasiwasi. Kama umeona mwanamke anayejielewa, usitishwe na thread za mitandaoni. Hakuna anayebakwa kule. Akigongwa kaamua tu na angeweza kuamua vivyo hivyo hata bila ya kwenda marathon.
Hiyo kaka ni kujitia moyo tu.Ukiwakuta pale waswanu pub mkuu MHHH inshort kama MKE WAKO anakunywa tungi, marafiki zake NDO wale. HAYA marathon anaenda na wafanyakaz wenzake waliomtongoza akawaambia ameolewa. huko ni machinjioni JAPO SI KILA mwanamke mgawaji, kama VIPI sepa NAE ILA mwanamke hachungwi no way out . Ni kumuomba MUNGU TU akulindie 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 wahuni hawanaga show mbovu..... Utasikia TU kijiweni ALISEMA niichape MPAKA ikomeeee
Kwishaaaaa