Mabraza Mlioa Njoo NIWASANUE:- Hivi ndivyo mabraza wenzenu wavyowafanyia wake zenu huko Marathon..!!!

Mabraza Mlioa Njoo NIWASANUE:- Hivi ndivyo mabraza wenzenu wavyowafanyia wake zenu huko Marathon..!!!

PhD za Tz bado ni za kukariri you can't become a Blue Sky thinker

Hofu - MTU anayesambaza hofu anakuwa ni muuaji Kama wauaji wengine na hii ndo imepelekea nchi za Giza like Tz kuwa na watu dhaifu ambao they quiet before they start .

MTU anapokuwa ameoa anabidi kuelekeza akili yake na fikira katika kuwa familia bora , na kujiandaa na future yake .


Kwahiyo MTU ambaye yupo above 30 yrs anahitaji utulivu mkubwa wa akili ili kuruhusu sehemu mbili za ubongo wake kufanya Kazi Left brain and right brain.
Ur more True it selfu
 
Ogopa mwanamke ambae hana haya, mwanamke lazima awe na haiba ya kike, mwanamke ana asili ya aibu, unakuta janamke lipo mbele ya wanaume kavaa kitait tu anakimbia na midume, anaenda gym na kiguo cha hovyo, anashikwa shikwa na mwalimu wake wa mazoezi, unakuta kwenye mpira anapiga kelele wee..

Humo hakuna mwanamke, TOMBA TEMBEA...
 
Ni kweli mkuu kwa nILIO yaonaga mhhhhh anyway sheikh wangu ALINAMBIA ukitaka kumhukum MTU yoyote awe mkeo au RAFIKI . Angalia tabia za RAFIKI ZAKE anao tembea NAO



Kwishaaaaaa
 
Ongeza Sauti Mkuu wasikie Mkuu

karibuni kwenye biashara

natengeneza picha mbao size zote A1,A2,A3,A4

Napatikana Temeke-DSM

Mawasiliano 0615321080

Delivery popote inakufikia

View attachment 3420491
Uyu pichan nae atashiriki marathon!?
Kuna mzigo wako hapa mnene endapo nitapata mawasiliano yake.
 
Ukiwakuta pale waswanu pub mkuu MHHH inshort kama MKE WAKO anakunywa tungi, marafiki zake NDO wale. HAYA marathon anaenda na wafanyakaz wenzake waliomtongoza akawaambia ameolewa. huko ni machinjioni JAPO SI KILA mwanamke mgawaji, kama VIPI sepa NAE ILA mwanamke hachungwi no way out . Ni kumuomba MUNGU TU akulindie 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 wahuni hawanaga show mbovu..... Utasikia TU kijiweni ALISEMA niichape MPAKA ikomeeee



Kwishaaaaa
 
...Ku Tick ni kuwa Sick !
INTRODUCTION.
Haloo mpoooo ....

Wotee tusemee watumishi wa umma msiwe mabwege wa kudanganywa na increament za 50k, MAMA HAFAI na HAFAI KABISAA.

Vingapi ni haki zenu tena zipo kisheria na HAWAJATEKELEZA??

Kwanini watudanganye na kipande cha mti walichotupa wakati haki yetu ni saizi ya mbuyu..???

SAY NO TO BIBI CHURA...!!!

Twende kwenye mada...

SCENARIO:
Mabraza wenyewe mkajiona(ga) mna mapenzii na wake zenu na kuwaruhusu waende Marathon, si ndio...!!!

Basi woteee tuseme igweeeee..!!

Eti hamtaki wapate vitambi..!!!
Poleni sanaa.

THE PROBLEM:-
1. Kuna wajuba huko mnawajua?
2. Kuna ma-ex zao huko mnawajua?
3. Kuna "baby dady" zao huko (kwa mlioa singo maza) mnawajua?
4. Kuna wahuni huko mnawajua?
5. Kuna masela huko mnawajua?
6. ..... 10 List ni ndefu aisee ila point ni kwamba ""MNAWAJUA??""

Sasa kwa kifupi kabisa mkeo huko HULIWA SANAA..!!!

View attachment 3420428

CONCLUSION
Tena masela siku hizi wajanja wanapima kwanza kama yaliyomo yamo ili msiwaue ...!!!

View attachment 3420430

Anyway.
Tuendelee kutafuta hela.
Karibuni kwenye biashara, Lets encourage RISK LOVERS and dis-courage RISK AVERSERS.

THE END:
Nikiwa na akili zangu TIMAMU na miaka yangu 35.
OCTOBER SIPIGI KURA NG'OOOOO
NIMEMALIZA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
...Ku Tick ni kuwa Sick ! 😀😀
 
Wanataniana wakiwa wanatizamana makalioni, watumishi wa umma ni washenzi sana😀, wamevalishana vinguo vya kubana alafu wanataniana na kutizamana misambwanda😃🤣...baada ya hapo wamepanga makutanio tayari for next trip
 
Hujawahi kuandika chochote kizuri khs ndoa hivyo bandiko lako ni 🚮

Mtoto wa kiume ...ety "haloooo😏 " aibu naona mm

NRNE
Pole ila NDOA SIO DILI.
Andika chochotee
Tukana vyovyote
Kejeli kivyovyote ila NDOA kama NDOA ni UTAPELI MTUPU.

Case Study:-
Raia wengi sanaa wanateseka na Ndoa hata wewe UNAWAJUA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hiyo miaka 35 umejitambua nusu bado nusu nusu iliyobaki ni ile ya kuwajaza watu walioa hofu na nusu ukiyojitambua ni yakukataa kutiki
Lakini anasema ukweli Ukiwa na Akili timamu hauwezi kumruhusu mkeo aende kwenye hizo marathon ilhali wewe Ukiwa haupo karibu Nae ,


Ni sawa na kumuweka chui na mbuzi katka zizi Moja
 
Kama ulioa Malaya, kuwa na wasiwasi. Kama umeona mwanamke anayejielewa, usitishwe na thread za mitandaoni. Hakuna anayebakwa kule. Akigongwa kaamua tu na angeweza kuamua vivyo hivyo hata bila ya kwenda marathon.
Ujinga ni kumpeleka mbuzi machinjioni peke yake kwa kuamini mchinjaji hatamchinja.
Say halaaa
 
Pole ila NDOA SIO DILI.
Andika chochotee
Tukana vyovyote
Kejeli kivyovyote ila NDOA kama NDOA ni UTAPELI MTUPU.

Case Study:-
Raia wengi sanaa wanateseka na Ndoa hata wewe UNAWAJUA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Wa kwanza NINAYEMJUA ni wewe

Pole sana dyadya.....kwa kulelewa kwenye familia yenye migogoro ya ndoa.
 
Pole ila NDOA SIO DILI.
Andika chochotee
Tukana vyovyote
Kejeli kivyovyote ila NDOA kama NDOA ni UTAPELI MTUPU.

Case Study:-
Raia wengi sanaa wanateseka na Ndoa hata wewe UNAWAJUA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
We jamaa mjuaji sana! Hutaki ndoa kaa kimya. Hujaenda scholarship uliyopata kaa kimya. Kuzingumzia mambo uliyoyakataa ikiwa Kuna watu wanayataka inaonekana yanakutesa!
 
Back
Top Bottom