Ur more True it selfuPhD za Tz bado ni za kukariri you can't become a Blue Sky thinker
Hofu - MTU anayesambaza hofu anakuwa ni muuaji Kama wauaji wengine na hii ndo imepelekea nchi za Giza like Tz kuwa na watu dhaifu ambao they quiet before they start .
MTU anapokuwa ameoa anabidi kuelekeza akili yake na fikira katika kuwa familia bora , na kujiandaa na future yake .
Kwahiyo MTU ambaye yupo above 30 yrs anahitaji utulivu mkubwa wa akili ili kuruhusu sehemu mbili za ubongo wake kufanya Kazi Left brain and right brain.
Uyu pichan nae atashiriki marathon!?Ongeza Sauti Mkuu wasikie Mkuu
karibuni kwenye biashara
natengeneza picha mbao size zote A1,A2,A3,A4
Napatikana Temeke-DSM
Mawasiliano 0615321080
Delivery popote inakufikia
View attachment 3420491
...Ku Tick ni kuwa Sick ! 😀😀INTRODUCTION.
Haloo mpoooo ....
Wotee tusemee watumishi wa umma msiwe mabwege wa kudanganywa na increament za 50k, MAMA HAFAI na HAFAI KABISAA.
Vingapi ni haki zenu tena zipo kisheria na HAWAJATEKELEZA??
Kwanini watudanganye na kipande cha mti walichotupa wakati haki yetu ni saizi ya mbuyu..???
SAY NO TO BIBI CHURA...!!!
Twende kwenye mada...
SCENARIO:
Mabraza wenyewe mkajiona(ga) mna mapenzii na wake zenu na kuwaruhusu waende Marathon, si ndio...!!!
Basi woteee tuseme igweeeee..!!
Eti hamtaki wapate vitambi..!!!
Poleni sanaa.
THE PROBLEM:-
1. Kuna wajuba huko mnawajua?
2. Kuna ma-ex zao huko mnawajua?
3. Kuna "baby dady" zao huko (kwa mlioa singo maza) mnawajua?
4. Kuna wahuni huko mnawajua?
5. Kuna masela huko mnawajua?
6. ..... 10 List ni ndefu aisee ila point ni kwamba ""MNAWAJUA??""
Sasa kwa kifupi kabisa mkeo huko HULIWA SANAA..!!!
View attachment 3420428
CONCLUSION
Tena masela siku hizi wajanja wanapima kwanza kama yaliyomo yamo ili msiwaue ...!!!
View attachment 3420430
Anyway.
Tuendelee kutafuta hela.
Karibuni kwenye biashara, Lets encourage RISK LOVERS and dis-courage RISK AVERSERS.
THE END:
Nikiwa na akili zangu TIMAMU na miaka yangu 35.
OCTOBER SIPIGI KURA NG'OOOOO
NIMEMALIZA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Pole ila NDOA SIO DILI.Hujawahi kuandika chochote kizuri khs ndoa hivyo bandiko lako ni 🚮
Mtoto wa kiume ...ety "haloooo😏 " aibu naona mm
NRNE
Hawajawahi kuelewa hawa watu.Ewaaaaa.
Wanangu tuwapelekee moto sana wake za mabroo na tuwape mimba walee watoto wetu kwenye ndoa zao mpaka akili ziwakae
Lakini anasema ukweli Ukiwa na Akili timamu hauwezi kumruhusu mkeo aende kwenye hizo marathon ilhali wewe Ukiwa haupo karibu Nae ,Hiyo miaka 35 umejitambua nusu bado nusu nusu iliyobaki ni ile ya kuwajaza watu walioa hofu na nusu ukiyojitambua ni yakukataa kutiki
Her number please 🙏Ongeza Sauti Mkuu wasikie Mkuu
karibuni kwenye biashara
natengeneza picha mbao size zote A1,A2,A3,A4
Napatikana Temeke-DSM
Mawasiliano 0615321080
Delivery popote inakufikia
View attachment 3420491
🤣Wakati Mwingine tunaruhusu waende ili tupate nafasi ya Kupumua na vimichepuko kidogo bila makelele
Ujinga ni kumpeleka mbuzi machinjioni peke yake kwa kuamini mchinjaji hatamchinja.Kama ulioa Malaya, kuwa na wasiwasi. Kama umeona mwanamke anayejielewa, usitishwe na thread za mitandaoni. Hakuna anayebakwa kule. Akigongwa kaamua tu na angeweza kuamua vivyo hivyo hata bila ya kwenda marathon.
Wa kwanza NINAYEMJUA ni wewePole ila NDOA SIO DILI.
Andika chochotee
Tukana vyovyote
Kejeli kivyovyote ila NDOA kama NDOA ni UTAPELI MTUPU.
Case Study:-
Raia wengi sanaa wanateseka na Ndoa hata wewe UNAWAJUA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
We jamaa mjuaji sana! Hutaki ndoa kaa kimya. Hujaenda scholarship uliyopata kaa kimya. Kuzingumzia mambo uliyoyakataa ikiwa Kuna watu wanayataka inaonekana yanakutesa!Pole ila NDOA SIO DILI.
Andika chochotee
Tukana vyovyote
Kejeli kivyovyote ila NDOA kama NDOA ni UTAPELI MTUPU.
Case Study:-
Raia wengi sanaa wanateseka na Ndoa hata wewe UNAWAJUA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA