Mabraza Mlioa Njoo NIWASANUE:- Hivi ndivyo mabraza wenzenu wavyowafanyia wake zenu huko Marathon..!!!

Ni kawaida
 
Kuna watu wapo katika open marriages mke anapigwa nje na mume anapiga nje wao wenyewe wanaelewana.

Wewe mpitanjia unashupalia ndoa za watu hujui wenye ndoa wamekubaliana nini.
 
Mambo ya mapenzi/ na ndoa ukiyawaza deep Yana mengi Ila no way out!!!!

KIla mtu apambane na mzgo wake,,
 
Kuna watu wapo katika open marriages mke anapigwa nje na mume anapiga nje wao wenyewe wanaelewana.

Wewe mpitanjia unashupalia ndoa za watu hujui wenye ndoa wamekubaliana nini.
Ndoa kama hii sidhani kama ipo.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hamkutumwa muoe.
Mtagongewe hasaaa

"They Dont play games those niggass, Bitch has no Chance""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nakumbuka siku moja nilikutana na pisi Marathon sikujua kama ni mke wa mtu. Baada ya gemu anasema ameolewa na ana watoto wawili. Cha ajabu akasema mara ya mwisho amesex na mme wake mwezi mmoja na zaidi uliopita. Dhambi hii nilitubu
 
Wa kwanza NINAYEMJUA ni wewe

Pole sana dyadya.....kwa kulelewa kwenye familia yenye migogoro ya ndoa.
Sikufanikiwa kulelewa na wazazi hivyo sikulelewa kwenye ndoa.


Tukirudi kwenye mada..
Mifano iko mingi nimeyaonazm chuoni, kazini na mitaani, MBUNY(E) ZA WAKE ZA WATU ZINALIWA SANAAAA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Wa kwangu yupo anafanya usafi kwenye zizi la ng'ombe, ata siwazi ya huko dodoma.
 
Ukiwa na akili fupi ndo utakuwa unatishika na hayo....
Yaani na akili zako timamu ukae unamchunga mwanamke??
Mwanamke au mkeo kama ni wa kupigwa atapigwa tu hata kwenye Public Toilet mkiwa wote stendi.. Huwezi na hutaweza kumzuia mkeo asipigwe, kwasababu hao viumbe hawaeleweki,,,
Are you really sure amekubali kuolewa na wewe kwa sababu hizo anazokwambia?..
Do you think hakuna mwanaume mwingine anayemvutia zaidi yako???
Anayejielewa huwezi ishi akiwa na fikra za kumiliki mtu, yaani mtu azaliwe huko na mama yake, alelewe huko halafu wewe leo ndo uje ujifanye unataka kummiliki? Tumbafu kabisa......
Ndo maana mnauana kila kukicha,,,,
 
Ndoa kama hii sidhani kama ipo.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Tatizo unaangalia kudhani sehemu unapotakiwa kujua.

Mambo ya Ngoswe, nuachie Ngoswe mwenyewe.

Mambo ya ndoa watajuana walio katika ndoa, kuwaingilia ni umbea tu.
 
Kama ulioa Malaya, kuwa na wasiwasi. Kama umeona mwanamke anayejielewa, usitishwe na thread za mitandaoni. Hakuna anayebakwa kule. Akigongwa kaamua tu na angeweza kuamua vivyo hivyo hata bila ya kwenda marathon.
Matumaini ya kukuta bikira kwenye wodi ya wazazi ndo haya sasa.

Unajidanganya
 
Hiyo kaka ni kujitia moyo tu.

Lazima masela wapige. Sio kidogo sana tu. kama yupo siku hatari utaleo mtoto wa lijamaa. Hamna kujifariji sijui inategemea na mwanamke. Kama kaona aende huku, karidhia kwenda, jua tayar masela kawakubali wapige.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…