Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Tupeni ushauri wa mishe zinazoweza kumtoa mtu angalau faida milion 3 kwa mwezi tujifunze sisi tuliokomea huku chini𤣠mimi huwa naheshimh sana mtu anayeweza kutafuta pesa mwenyewe , mtu mwenye uwezo wakutafuta kuanzia milion 500 mwenyewe nimtu wa kuheshimu sana . Tupeni mawazo niasisi tupatepo