Mabraza mliofanikiwa, tupeni michongo ya madili makubwa

Una akili Sana unaweza quadratic equation ukiwa darasa la sabaa.

Kuna kipindi o-level Mimi nilikua nasoma hesabuu kama nasoma history inashangaza Mimi hesabu kama MATRICS nilijifundisha mwenyewe.
Hahaha,

hesabu ni nzuri hasa ukiielewa aseeh ni moto ukiwa unapiga calculations

Kuna wazee wa calculus humtomreyson min -me
 
Hakuna aliefanikiwa atakaekuja kukuandikia hapa abadani landa hawa wana duka moja la nguo na car wash anatembea na ndinga moja amei pimp ionekane nzuri cheni nyingi hao wanaweza kuna kuandika tu story za motivation

Lakini waliotoboa hasa ni ngumu ila jambo moja nakumbuka alinambia mjomba angu

“ukitaka kufanikiwa kwa namna yoyote ile fanya kazi na serikali” mwisho wa kunukuu kazi kwako mleta Mada. Rejea rugumi, rostam nk
 
Una akili Sana unaweza quadratic equation ukiwa darasa la sabaa.

Kuna kipindi o-level Mimi nilikua nasoma hesabuu kama nasoma history inashangaza Mimi hesabu kama MATRICS nilijifundisha mwenyewe.
Katika maisha yangu ya O-level sijawahi kupata 30+ hadi namaliza.

Nilikuwa nacheza kwenye 5, 10, n.k hadi nilipomaliza.
 
Asante sanaa mkuu yaan huwa una madini Sana na yanasaidia wengi na for sure michango yako mingi watu Wana I admire Sana for suree
Mkuu pia kuwa na mipango mizuri ni muhimu Sana .

Huwa nasema tuwe na utamaduni wa kuandika hata Kama hauna pesa kwa wakati huo Ila ni muhimu kuandika mipango yako kipindi hauna pesa hii inasaidia kwako na familia generally.

Kwakuwa ukipata pesa na ukawa hauna mipango mizuri ni ngumu Sana kuleta manadiliko .

Mfano Baba yangu alinunua Nyumba laki tatu mwaka 1993 eneo ambalo ni very potential .

Ila alinunua gari used mil 2+ kutoka nje mwaka 1995.

Ila Leo ile Nyumba aliyonunua 300K ndo inaendesha maisha yake kwa 60% Ila lile Gari halikuleta faida .

Kwahiyo ile 2M angeingiza katika kununua nyumba au ardhi it could make sense .

Kwahiyo pesa ni muhimu Sana Ila mipango ni muhimu Sana kwakuwa ukiwa na good plan unaweza kufanikiwa Sana hata Kama unaingiza kipato cha kawaida.

So utamaduni wa kuandika ni mzuri Sana hata watoto wako wafundishe hii kitu wakue nayo.

itawajenga sana .

Maana ukipata mil 100 na ukiwa na mipango ya mil 200 bado utakuwa na utulivu mkubwa kwakuwa utaona kuwa unahitaji kupamabana zaidi na hautokuwa Complacent easily in life and you will keep show up and not show off
 
Hakuna aliefanikiwa atakaekuja kukuandikia hapa abadani landa hawa wana duka moja la nguo na car wash anatembea na ndinga moja amei pimp ionekane nzuri cheni nyingi hao wanaweza kuna kuandika tu story za motivation

Lakini waliotoboa hasa ni ngumu ila jambo moja nakumbuka alinambia mjomba angu

“ukitaka kufanikiwa kwa namna yoyote ile fanya kazi na serikali” mwisho wa kunukuu kazi kwako mleta Mada. Rejea rugumi, rostam nk
Ila wadosi huwa wanaogopaga tenda za SERIKALINI Maana pesa zako zinaweza zika be RUINED.

USHAHIDI WA SERIKALI KUCHELEWESHA MALIPO UPO SANA KWENYE TENDA ZAKE MAANA WADHABUNI HULALAMIKA REFERS

TENDA ZA CHAKULA MASHULENI BOARDING SCHOOL PIA HATA MAMBO YA AFYA NHIF NAONAGA KUNA USUMBUFU MKUBWA SANA SANAAAAAA
 
Mkuu pia kuwa na mipango mizuri ni muhimu Sana .

Huwa nasema tuwe na utamaduni wa kuandika hata Kama hauna pesa kwa wakati huo Ila ni muhimu kuandika mipango yako kipindi hauna pesa hii inasaidia kwako na familia generally.

Kwakuwa ukipata pesa na ukawa hauna mipango mizuri ni ngumu Sana kuleta manadiliko .

Mfano Baba yangu alinunua Nyumba laki tatu mwaka 1993 eneo ambalo ni very potential .

Ila alinunua gari used mil 2+ kutoka nje mwaka 1995.

Ila Leo ile Nyumba aliyonunua 300K ndo inaendesha maisha yake kwa 60% Ila lile Gari halikuleta faida .

Kwahiyo ile 2M angeingiza katika kununua nyumba au ardhi it could make sense .

Kwahiyo pesa ni muhimu Sana Ila mipango ni muhimu Sana kwakuwa ukiwa na good plan unaweza kufanikiwa Sana hata Kama unaingiza kipato cha kawaida.

So utamaduni wa kuandika ni mzuri Sana hata watoto wako wafundishe hii kitu wakue nayo.

itawajenga sana .

Maana ukipata mil 100 na ukiwa na mipango ya mil 200 bado utakuwa na utulivu mkubwa kwakuwa utaona kuwa unahitaji kupamabana zaidi na hautokuwa Complacent easily in life and you will keep show up and not show off
Nimechukua hii naishi nayooo
 
Katika maisha yangu ya O-level sijawahi kupata 30+ hadi namaliza.

Nilikuwa nacheza kwenye 5, 10, n.k hadi nilipomaliza.
The same to me. Mimi 3-10 Mimi hata mtaani sikuaga najulikana sababu ya upole na ukimya vice versa kwa mdogo wangu tulie achiana ziwa..

School pia o-level sikua najulikana Ila kwenye MATOKEO ya mitiani ndipo watu huanza kunizingatia na kuanzisha urafiki na Mimi.

Huwaga na uwezo wa KUISHI KAMA SIPO/ UNAISHI KAMA HAUPO
 
Kwa njia hizi wewe zimekuletea mafanikio makubwa ya kiuchumi.
Kanuni ni hizi hapa.
1. Badili mtazamo wako.
2. Badili baadhi ya tabia zako ambazo hazitumiki kukuingizia hela badala yake zinatumia hata kile unachopata.
3. Hakikisha unaiweka afya yako katika kipaumbele namba moja cha utajiri.
4. Soma vitabu utapata madini mengi sana kutoka kwenye vitabu.
5. Mwisho acha maisha ya flow yenyewe, ukipata umepata, ukikosa ni kama umepata pia maana pengine ukizipata itakuwa maangamizi yako. Ukinyimwa umeepushiwa janga au kuna wanaoepushiwa majanga kupitia kupata kwako, ukipata muda wako umefika. Tafuta password..........
 
The same to me. Mimi 3-10 Mimi hata mtaani sikuaga najulikana sababu ya upole na ukimya vice versa kwa mdogo wangu tulie achiana ziwa..

School pia o-level sikua najulikana Ila kwenye MATOKEO ya mitiani ndipo watu huanza kunizingatia na kuanzisha urafiki na Mimi.

Huwaga na uwezo wa KUISHI KAMA SIPO/ UNAISHI KAMA HAUPO
Asilimia kubwa wenye matokeo mazuri ya shule, mtaani ni makapuku wakutupa sahivi....asilimia kubwa
 
Mafanikio yeyote Makubwa unayoyaona kwa mwanadamu mwenye mwili yameanzia rohoni ( kwenye ulimwengu usioonekana ) mchezo wa mafanikio unachezwa kwenye ulimwengu wa roho, humu duniani wanacheza script tu zilizokwisha chezwa rohoni . Mshana Jr atanielewa!

Hakuna ushauri mwingine zaidi ya huo!
 
Asilimia kubwa wenye matokeo mazuri ya shule, mtaani ni makapuku wakutupa sahivi....asilimia kubwa
Nikujitambua TU. Kwanza Mimi pamoja na ELIMU kubwa siogopi kusukuma mkokoteni hapo mbagala rangi 3 terminal or kariakoo,tandika or elsewhere.

Usipo kua na aibu unatoboa mbiu yangu kwa vijana ELIMU ibakie KUA NGAO NA CHACHU YA KUWASUKUMA KUFIKIA MALENGO YAO.

DAR ES SALAAM UKIJI ADJUST VIZURIIII NAONA PESA IPO NI JINSI YA KUITEGA/ KUI TRAP WATU NI WENGI PIA MONEY CIRCULATION NI KUBWA SO NIKUANZA KU BADILISHA ZILE A ZAKO KUWA PESA HAPO NDIPO WASOMI HUSHINDWA

KUNA RAFIKI ZANGU WANAUZA MITUMBA NA WANA DEGREE NOW WANA NYUMBA,VIWANJA NA BIASHARA KUBWA TU TRUST ME MAFANIKIO HUANZIA NDANI

NANI ALIAMINI SIKU MOJA GWAJIMA ANAWEZA KUMILIKI MEGA CHURCH HAPA DUNIANI UNAJUA ILI MTU AWE MFUASI WAKO LAZIMA U WIN MOYO WAKE SO

JUKUMU LA ELIMU NI KUMFANYA MHITIMU KUTUMIA UJUZI WAKE KUPAMBANA NA MAZINGIRA UKIONA ELIMU HAIKUSAIDII JUA HIYO ELIMU NI SCAM.
 
Broh unajua
A developer start growing from inner soul to the global ✨️👌
 
Ila wadosi huwa wanaogopaga tenda za SERIKALINI Maana pesa zako zinaweza zika be RUINED.

USHAHIDI WA SERIKALI KUCHELEWESHA MALIPO UPO SANA KWENYE TENDA ZAKE MAANA WADHABUNI HULALAMIKA REFERS

TENDA ZA CHAKULA MASHULENI BOARDING SCHOOL PIA HATA MAMBO YA AFYA NHIF NAONAGA KUNA USUMBUFU MKUBWA SANA SANAAAAAA
Ukifanya biashara na serikali,kufilisika nje nje
 
Back
Top Bottom