Mabraza mliofanikiwa, tupeni michongo ya madili makubwa

Mabraza mliofanikiwa, tupeni michongo ya madili makubwa

Kufanikiwa ni Kula na kupata pa Kulala na kuvaa imeisha hiyo vingine vyote tabu tupu
 
Tupeni ushauri wa mishe zinazoweza kumtoa mtu angalau faida milion 3 kwa mwezi tujifunze sisi tuliokomea huku chini🤣 mimi huwa naheshimh sana mtu anayeweza kutafuta pesa mwenyewe , mtu mwenye uwezo wakutafuta kuanzia milion 500 mwenyewe nimtu wa kuheshimu sana . Tupeni mawazo niasisi tupatepo
Shulen unafundishwa kila njia ya kufaulu ila wachache wanafauluu wanatumia njia zipi
Hata biashara unaweza kufundishwa na ukapewa njia ila sasa ni wewe uko tayarii kupata maumivu ya kujifunza bila mafanikio ya haraka..?
 
Janja ukitaka mafanikio makubwa lazima uchague mawili kati ya haya ​
  • Ama ukosane na serikali au Mungu ​
  • Au ukosane na vyote​
Unaweza kuwa Ngamia au Punda?​
 
unaweza kujitoa kwamtu bilamalipo ya uhakika huku ukijijenga kwa kuona mambo yanavyofanyika?

mana mafanikio yanakuja kwakuona wakubwazako wanafanya nini na utulie wakufundishe mbinu kabambe

wengi mnafeli hapo hamjifunzi kwa wababe
 
Hii ni mbinu nzurii Sana Ila vijana wa Leo hawawezi KUBALI kupoteza hata miaka mi 3 kuweza kuchota MAARIFA then na KUYA paste hata kwa udogoo
 
Baada ya ku SPILT THE MIDDLE TERM SIJATOBOA NIKA APPLY ELIMINATION METHOD HOLA AAA

NOW NIPO NA APPLY SUBSTRACTION METHOD..

DECEMBER 2026 INSHALLAH NAOMBA NIRUDI HAPA KUTOA MREJESHO 😁 🤓

TUPEANE UZOEFU

Cc.
min -me
Monetary doctor
secretarybird
MENEMENE TEKERI NA PERESI
DR HAYA LAND
Mshana Jr

E.t.c
Hiyo ni quadratic equation 🤔 hii hesabu nilielewa nikiwa class seven pindi sister anafundshwa na bruh,

Sasa nipo uhindini Leo nikuosha ukuta wa nyumba

Habari yako Dr ?
 
Tupeni ushauri wa mishe zinazoweza kumtoa mtu angalau faida milion 3 kwa mwezi tujifunze sisi tuliokomea huku chini🤣 mimi huwa naheshimh sana mtu anayeweza kutafuta pesa mwenyewe , mtu mwenye uwezo wakutafuta kuanzia milion 500 mwenyewe nimtu wa kuheshimu sana . Tupeni mawazo niasisi tupatepo
Kanuni ni hizi hapa.
1. Badili mtazamo wako.
2. Badili baadhi ya tabia zako ambazo hazitumiki kukuingizia hela badala yake zinatumia hata kile unachopata.
3. Hakikisha unaiweka afya yako katika kipaumbele namba moja cha utajiri.
4. Soma vitabu utapata madini mengi sana kutoka kwenye vitabu.
5. Mwisho acha maisha ya flow yenyewe, ukipata umepata, ukikosa ni kama umepata pia maana pengine ukizipata itakuwa maangamizi yako. Ukinyimwa umeepushiwa janga au kuna wanaoepushiwa majanga kupitia kupata kwako, ukipata muda wako umefika. Tafuta password..........
 
Baada ya ku SPILT THE MIDDLE TERM SIJATOBOA NIKA APPLY ELIMINATION METHOD HOLA AAA

NOW NIPO NA APPLY SUBSTRACTION METHOD..

DECEMBER 2026 INSHALLAH NAOMBA NIRUDI HAPA KUTOA MREJESHO 😁 🤓

TUPEANE UZOEFU

Cc.
min -me
Monetary doctor
secretarybird
MENEMENE TEKERI NA PERESI
DR HAYA LAND
Mshana Jr

E.t.c
Nadhani atumie Muda mwingi hasa akiwa 20-35 katika kujitengenezea thamani .

Nikimaanisha kuwa na Elimu ambayo IPO relevant na mazingira ya kidunia

Kuwa na ujuzi ambao upo relevant na mazingira ya kidunia

Na kuwa na network ambayo IPO Strong.

Kutengeneza pesa nyingi kunategemea zaidi na thamani yako uliyonayo kwa wakati Fulani .

Ukishakuwa na thamani fulani nzuri na ukawa na network ya uhakika hapo unakuwa sasa Kazi zinakutafuta ,deals zinakutafuta na hapo unaingia katika mfumo wa kuitwa Don.

Hii ndo Experience ambayo nimejifunza .

Mfano MTU mwenye mil 100 Ila hana Elimu hana Exposure hana mipango mizuri anaweza kuwa financial broke na akabaki na story za kuadithia kuwa zamani nilikuwa na hela.

ila ukiwa na skills na Elimu ambayo inaeleweka na inahitajika unaweza kupata pesa lifetime.

So to me Kama nashauri vijana wakiwa wanapambana na maisha wafikirie mambo mawili

Self-Investment
Na wafikirie Assets investment.

Maana MTU akitoboa 35 yrs hana Elimu hana skills hana Pesa zinazoeleweka na hana network kuna probability anaweza kuwa someone else's Assets in his or her lifetime. Na hii ni mbaya kwakuwa life has purpose.
 
Nadhani atumie Muda mwingi hasa akiwa 20-35 katika kujitengenezea thamani .

Nikimaanisha kuwa na Elimu ambayo IPO relevant na mazingira ya kidunia

Kuwa na ujuzi ambao upo relevant na mazingira ya kidunia

Na kuwa na network ambayo IPO Strong.

Kutengeneza pesa nyingi kunategemea zaidi na thamani yako uliyonayo kwa wakati Fulani .

Ukishakuwa na thamani fulani nzuri na ukawa na network ya uhakika hapo unakuwa sasa Kazi zinakutafuta ,deals zinakutafuta na hapo unaingia katika mfumo wa kuitwa Don.

Hii ndo Experience ambayo nimejifunza .

Mfano MTU mwenye mil 100 Ila hana Elimu hana Exposure hana mipango mizuri anaweza kuwa financial broke na akabaki na story za kuadithia kuwa zamani nilikuwa na hela.

ila ukiwa na skills na Elimu ambayo inaeleweka na inahitajika unaweza kupata pesa lifetime.

So to me Kama Mashauri vijana wakiwa wanapambana na maisha wafikirie mambo mawili

Self-Investment
Na wafikirie Assets investment.

Maana MTU akitoboa 35 yrs hana Elimu hana skills hana Pesa zinazoeleweka na hana network kuna probability anaweza kuwa someone else Assets in his or her lifetime.
Asante sanaa mkuu yaan huwa una madini Sana na yanasaidia wengi na for sure michango yako mingi watu Wana I admire Sana for suree
 
Hiyo ni quadratic equation 🤔 hii hesabu nilielewa nikiwa class seven pindi sister anafundshwa na bruh,

Sasa nipo uhindini Leo nikuosha ukuta wa nyumba

Habari yako Dr ?
Una akili Sana unaweza quadratic equation ukiwa darasa la sabaa.

Kuna kipindi o-level Mimi nilikua nasoma hesabuu kama nasoma history inashangaza Mimi hesabu kama MATRICS nilijifundisha mwenyewe.
 
Back
Top Bottom