Mabraza mliofanikiwa, tupeni michongo ya madili makubwa

Mabraza mliofanikiwa, tupeni michongo ya madili makubwa

Bkharesa alianza na kushona viatu...pengine usikie wakatisha tamaa UTAWEZA KULALA NA MAITI😀😀😀
#KufunguliwaCodeNiNgumuSanaKamaKulipaKodi
 
Nilichemka kaka mara vivumishi vikamilifu ikawa ngumu kwangu nikala mswaki .
Nakumbuka darasa liliniona kilaza badala ya kuniita mwamba walau kwa yale mabanda yangu mengine .
Haaahaa kiswahili kukiongea ni rahisi Ila kama somo huwa Lina ugumu wake.
Uchambuzi wa sentensi kwa matawi Mara ELEZEA SABABU ZA KUENEA KWA KISWAHILI KABLA NA BAADA YA UHURU noma Sana..
 
Bado, ila ya kiafya na kitabia niko vizuri. Sasa nipo kwenye vita ya kiuchumi, lakini kwa kipimo cha hiyo 3m kwa mwezi kama aliyosema mleta mada, huko nimevuka, (japo inawezekana kuna anayepata 500k kwa mwezi akawa amenizidi kila kitu mimi ninayepata zaidi ya 3m). ndo maana nikampa hizo njia. Na si lazima zi apply kwa kila mtu. Kila mmoja na fate yake.
Duh hongera mkuu
Nadhani ni nje ya system.
 
Watakwambia "anza na kidogo ulicho nacho kisha kikuze"
Hapo hapo ngoja nijiunge mkono,

Nina mshikaj tullikuwa nae wakat tunajisaka,,,,sawa eeee miaka miwili yy tyr akawa njema kbsa,gar la kumtembelea,quanter ya mizigo,jengo zuri la kisasa,viwanja nyomi,mashamba makubwa ufugaji mkubwa sijui nikuambie nn,,,

Miaaka imakatika huu mwaka wa 10 nimeonana nae Sasa akawa ananionyesha anapandisha ghorofa 3,,,ana kiwanda Cha sembe nk,,,

Lkn ktk story kwa sababu Ni means ndie kanisambia kuwa hata ktk ucunhaji wake anatumia mafuta ya 🦁 ili kukubalika kanisani,na mpk kanionyesha dude limefungwa kweny ghorofa yake hiyo.....ukweli niliishia kuduwaaa nikasema ndio maana mwamba alikuwa anayeya km Hana akili nzuri sisi kila unachoanzisha lzm ukutwe na MISUKO suko uanguke ili usemwe unahonga(maana hata yy alipenda kunisema saana we dogo unapenda mbunye ndio maana hutoboi) kumbeeeee Siri ya mtungi
 
Back
Top Bottom