JUKUMU LA ELIMU NI KUMFANYA MHITIMU KUTUMIA UJUZI WAKE KUPAMBANA NA MAZINGIRA UKIONA ELIMU HAIKUSAIDII JUA HIYO ELIMU NI SCAM.Nikujitambua TU. Kwanza Mimi pamoja na ELIMU kubwa siogopi kusukuma mkokoteni hapo mbagala rangi 3 terminal or kariakoo,tandika or elsewhere.
Usipo kua na aibu unatoboa mbiu yangu kwa vijana ELIMU ibakie KUA NGAO NA CHACHU YA KUWASUKUMA KUFIKIA MALENGO YAO.
DAR ES SALAAM UKIJI ADJUST VIZURIIII NAONA PESA IPO NI JINSI YA KUITEGA/ KUI TRAP WATU NI WENGI PIA MONEY CIRCULATION NI KUBWA SO NIKUANZA KU BADILISHA ZILE A ZAKO KUWA PESA HAPO NDIPO WASOMI HUSHINDWA
KUNA RAFIKI ZANGU WANAUZA MITUMBA NA WANA DEGREE NOW WANA NYUMBA,VIWANJA NA BIASHARA KUBWA TU TRUST ME MAFANIKIO HUANZIA NDANI
NANI ALIAMINI SIKU MOJA GWAJIMA ANAWEZA KUMILIKI MEGA CHURCH HAPA DUNIANI UNAJUA ILI MTU AWE MFUASI WAKO LAZIMA U WIN MOYO WAKE SO
JUKUMU LA ELIMU NI KUMFANYA MHITIMU KUTUMIA UJUZI WAKE KUPAMBANA NA MAZINGIRA UKIONA ELIMU HAIKUSAIDII JUA HIYO ELIMU NI SCAM.
Usijichanganye kwa wazee wa kazi. Utaishia mapema usitimize hata moja...Tafta kazi kwenye ofc zamiamala ya kifedha Jenga uaminifu wakikuamini pigaa kibunda tembea chimbo ila baada ya mwaka rudisha pesa 😂😂😂
Sahihi mkuu.JUKUMU LA ELIMU NI KUMFANYA MHITIMU KUTUMIA UJUZI WAKE KUPAMBANA NA MAZINGIRA UKIONA ELIMU HAIKUSAIDII JUA HIYO ELIMU NI SCAM.
Siongezi neno hapo.🫡
Good 👍Mpaka hapa nimeshafaulu mkuu.
Mkuu, wewe sio miongoni mwa mabraza wenye michongo?
Karibu...Mkuu, wewe sio miongoni mwa mabraza wenye michongo?
Ila umeniamulia aisee😁
🙏🏽🙏🏽🤝Karibu...
Huku siko kabisa, bora uolewe utulie maana jela ile 😁Mtaji 200,000
1 pc of mjiti = 500
200,000 una pcs zako 400
Mauzo kwa pc 1 = 3000
3000 X 400
1,200,000
Kazi kutuwekea tu biashara za matikiti😁
Watoe michongo isiyooza.
😁😁, mkuuHuku siko kabisa, bora uolewe utulie maana jela ile 😁
Mstari ni mwembamba mno, sasa we jichanganye waka kunyoe kipara na tumacho twako😁😁😁, mkuu
😁😁😁Mstari ni mwembamba mno, sasa we jichanganye waka kunyoe kipara na tumacho twako😁
vizuri,Uko fresh lakini!😁😁😁
Mkuu, nimechelewa kuiona hii comment.
Siwezi kufanya biashara ya kurisk usalama na maisha yangu.
Niko salama kabisa rafiki🙏🏽vizuri,Uko fresh lakini!
Badi hujalala sasa watoto si wataiga kwa mama yao mchezo wa kugeuka walinzi kisa movie 😁Niko salama kabisa rafiki🙏🏽
😁😁😁Badi hujalala sasa watoto si wataiga kwa mama yao mchezo wa kugeuka walinzi kisa movie 😁
Si mbaya maana weekend ndio hii, japo sisi tusio penda vurugu tume tulia ndani.😁😁😁
Naona nimechelewa kulala mkuu.