Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Kweli kabisa.Si mbaya maana weekend ndio hii, japo sisi tusio penda vurugu tume tulia ndani.
Kutulia ndani ni vyema kuliko kupuyanga usiku usiku.
Kweli kabisa.Si mbaya maana weekend ndio hii, japo sisi tusio penda vurugu tume tulia ndani.
Naam ila sio vibaya, maana kila mmoja na mtazamo wake.Kweli kabisa.
Kutulia ndani ni vyema kuliko kupuyanga usiku usiku.
Sahihi ksbisa.Naam ila sio vibaya, maana kila mmoja na mtazamo wake.
Leo nimekatiza kona moja hivi ghafla bin vuuu nakutana na watu wa kazi wanakula ndumu, nikasema fursa si ndo hii😁😁…..Nikaikumbuka hii comment yako😁Mstari ni mwembamba mno, sasa we jichanganye waka kunyoe kipara na tumacho twako😁
nisha kwambia kitu pekee una paswa kuvishwa ni Pete, uki jichanganya uvishwe pingu mi simo 😁😝Leo nimekatiza kona moja hivi ghafla bin vuuu nakutana na watu wa kazi wanakula ndumu, nikasema fursa si ndo hii😁😁…..Nikaikumbuka hii comment yako😁
😁😁😁nisha kwambia kitu pekee una paswa kuvishwa ni Pete, uki jichanganya uvishwe pingu mi simo 😁😝
Sio huo tu, hata wa sigara sija wahi kujaribu.😁😁😁
Mkuu, hata moshi wake tu unanikimbiza balaa, naogopa.
😁😁😁Sio huo tu, hata wa sigara sija wahi kujaribu.
we tengeneza juice tu 😆.
Sema juice zina kufanya uwe 🔥🔥😁😁 😁
Ni lini umeniona?Sema juice zina kufanya uwe 🔥🔥
I'm just portraying an image in my mind.Ni lini umeniona?
Hahaha!I'm just portraying an image in my mind.
Siwezi kufanya biashara ya kurisk usalama na maisha yangu.
Upo sahihi kabisa mkuu, risk takers ndio wanaopeta.Kama uwo ndo mtazamo basi utaendelea kuishi maisha hayo hayo usiyopenda
Nijaribu ku guess 😁Hahaha!
Mchuchu jojo ya mara Moja, isi kufanye usahau uzuri wa viazi 😁Upo sahihi kabisa mkuu, risk takers ndio wanaopeta.
Kwa mawazo yako haya inabidi huyu Intelligent businessman akae pembeni asinitie uoga tena.
Leta mchongo.😁
Mchuchu jojo ya mara Moja, isi kufanye usahau uzuri wa viazi 😁
😁😁😁Mchuchu jojo ya mara Moja, isi kufanye usahau uzuri wa viazi 😁
😁Nijaribu ku guess 😁
haya nakuja na majibu 😁🔥😁
Karibu