Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Huna ishu mjini afu unakaa na huo mfuniko wako wa shingo unawaza kupata 3M kwa mweziTupeni ushauri wa mishe zinazoweza kumtoa mtu angalau faida milion 3 kwa mwezi
😪😪😪Huna ishu mjini afu unakaa na huo mfuniko wako wa shingo unawaza kupata 3M kwa mwezi
Aisee
Aisee acha manKuna watu wametega mitego hatari pesa zinaflow tu
Dunia 🙌🏾
Sawa MkuuSijafanikiwa
Matajiri hawatoagi code za kutoboa!! Ukweli ni kuwa mpaka mtu anatoboa mara nyingi lazima apige mchongo yaani biashara haramu ikiwemo kukwepa kodi halali za TRA, kupiga mzigo wa wizi, machimboni huko kudhamini wizi wa mifuko ya udongo kwenye mgodi unaotema ratio kubwa, kuhonga na kupata tenda zenye faida kubwa( ku inflate bei ya mauzo). Wachache sana wanafanikiwa kwa njia nyoofu. Bado wazee wa misukule!! ni hatari. Ni ngumu sana tajiri kukupa code za mafanikio cha msingi pambana tu ipo siku nawewe unaweza kutana na fursa huku ukiwa tayari kuitumia hapo sasa ndo huja mafanikio.Tupeni ushauri wa mishe zinazoweza kumtoa mtu angalau faida milion 3 kwa mwezi tujifunze sisi tuliokomea huku chini🤣 mimi huwa naheshimh sana mtu anayeweza kutafuta pesa mwenyewe , mtu mwenye uwezo wakutafuta kuanzia milion 500 mwenyewe nimtu wa kuheshimu sana . Tupeni mawazo niasisi tupatepo
🤣🤣🤣Watakwambia "anza na kidogo ulicho nacho kisha kikuze"
Matajiri hawatoagi code za kutoboa!! Ukweli ni kuwa mpaka mtu anatoboa mara nyingi lazima apige mchongo yaani biashara haramu ikiwemo kukwepa kodi halali za TRA, kupiga mzigo wa wizi, machimboni huko kudhamini wizi wa mifuko ya udongo kwenye mgodi unaotema ratio kubwa, kuhonga na kupata tenda zenye faida kubwa( ku inflate bei ya mauzo). Wachache sana wanafanikiwa kwa njia nyoofu. Bado wazee wa misukule!! ni hatari. Ni ngumu sana tajiri kukupa code za mafanikio cha msingi pambana tu ipo siku nawewe unaweza kutana na fursa huku ukiwa tayari kuitumia hapo sasa ndo huja mafanikio.
Ongea na watu uvae viatu hayo madili ya kulala masikini na kuamka tajiri yapoHuna ishu mjini afu unakaa na huo mfuniko wako wa shingo unawaza kupata 3M kwa mwezi
Aisee