CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Uumie wewe unayekesha kumsifia Samia halafu yeye anakukaushia tu,utateseka sana wewe kapukuNaona mnaumia sana mnapoona Mheshimiwa akiendelea kufanya vizuri kabisa akiwa ndani ya CCM chama kubwa na kiongozi Barani Afrika
Huyo aliyevaa jezi ya uto ni mdogo wake Lucas Mwashambwa
Wewe huna tofauti na gigy moneyNdugu zangu Watanzania,
Unaweza kusema kuwa Nchi nzima ni kijani kwa sasa,kila eneo ni kijani na njano tu.kila ukifungua vyombo vya habari unaona kijani na njano ndio vimetawala na kutamalaki,ukiingia mitandaoni ni kijani na njano ndio vimeshika kasi na ukipita mitaani ni mijadala ya CCM ndio imeteke na kutawala maongezi ya wananchi wa rika na makundi mbalimbali.
Ukisimama na kuingia barabarani ni kijani ndio imepamba barabarani kwa magari mazuri na tulivu sana ya CCM. ambayo mtu ukiwa ndani ya magari hayo ni kama umepanda AirForce One ndege inayotumiwa na Rais wa Marekani.
Mheshimiwa David Silinde Mbunge wa Tunduma ameonekana kuwa mwenye tabasamu na furaha kubwa sana katika uso na paji la uso wake .pale alipokuwa ameingia na kukalia siti za gari hizo zenye ubora wa hali ya juu sana.
Akiwa na wajumbe wenzake kutoka mkoani Songwe imeonyesha ni kama moyoni alikuwa anajutia ni kwanini alipoteza Muda wake kukaa CHADEMA.Maana tangia ameingia CCM amebadilika sana na kuonekana sasa ni kiongozi.tofauti na alivyo kuwa uhamishoni kule CHADEMA.
Kwa hakika CCM ni chama kiongozi Barani Afrika, CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu, CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM na kamwe huwezi kuitenganisha CCM na Taifa hili na Itaendelea kuongoza Taifa hili mpaka Mwisho wa Dunia.View attachment 3204727
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wote watu wa MboziWewe huna tofauti na gigy money
Ko hizo basi nimaendeleo kwa taifa?Ndugu zangu Watanzania,

🤣🤣🤣🤣
Ana uahakika wa milo mitatu kwa siku na marupurupu kibao.. Ccm mbele kwa mbele 🫣😄 no njaa kama alipotoka
Kazi iendeleee
Na wewe nenda Mwamba akununulie na kukupeleka Mirembe.Huyo mshamba hata nguo za kufanyia kampeni alinunuliwa na Mbowe alikuwa ananuka umasikini
Kumng'oa nini? CHADEMA mnahangaika na kuteseka sana kwa wivu mnapoona Mheshimiwa Silinde akiendelea kung'ara tu...Silinde amekatwa mkia.
..wenye chama chao wanakwenda kumng'oa.
Kumng'oa nini? CHADEMA mnahangaika na kuteseka sana kwa wivu mnapoona Mheshimiwa Silinde akiendelea kung'ara tu.
Maji yapo kila mahali serikali imepeleka na inaendelea kupeleka kwa kusambaza mabomba kila Sehemu kwa kadri mahitaji yanavyoongezekaHuyo Silinde si ndio ile ID yake inafanya uchawa humu kwa kusaidiana na wewe.
Watu wa akili hizo mtasumbua wasiojitambua, yaani watu hawana maji vijijini nyie mnachukua pesa za walipa kodi kwenda kununua mabus.
Na wewe ukitaka kung'ara unaweza tu .kikubwa acha uvivu na kushinda ufipa ukipiga umbeya na Majungu tu kutwa nzima...Ccm kazi yenu kung'ara huku wananchi wakipauka.
Mimi nina maisha wewe kibwengo ndiyo maana nataka nikununulie dera kama alilovaa Samia leo nawewe utingishie hilo kalio lakoNa wewe nenda Mwamba akununulie na kukupeleka Mirembe.
Nani kasema Tanzania ni maskini.kwani hujui kuwa tupo uchumi wa kati.Tuombe Mungu sn ,this is not fair
Halafu tunasema nchi masikini😭😭😭hii sio sawa jmn , duh
Una Maisha yapi wewe mvivu uliyekalia umbeya tu.Mimi nina maisha wewe kibwengo ndiyo maana nataka nikununulia dera kama alilovaa Samia leo nawewe utingishe hilo kalio lako
Maza anachukulia poa sanaTuombe Mungu sn ,this is not fair
Halafu tunasema nchi masikini😭😭😭hii sio sawa jmn , duh
Wee jamaa wewe!Ndugu zangu Watanzania,
Unaweza kusema kuwa Nchi nzima ni kijani kwa sasa,kila eneo ni kijani na njano tu.kila ukifungua vyombo vya habari unaona kijani na njano ndio vimetawala na kutamalaki,ukiingia mitandaoni ni kijani na njano ndio vimeshika kasi na ukipita mitaani ni mijadala ya CCM ndio imeteke na kutawala maongezi ya wananchi wa rika na makundi mbalimbali.
Ukisimama na kuingia barabarani ni kijani ndio imepamba barabarani kwa magari mazuri na tulivu sana ya CCM. ambayo mtu ukiwa ndani ya magari hayo ni kama umepanda AirForce One ndege inayotumiwa na Rais wa Marekani.
Mheshimiwa David Silinde Mbunge wa Tunduma ameonekana kuwa mwenye tabasamu na furaha kubwa sana katika uso na paji la uso wake .pale alipokuwa ameingia na kukalia siti za gari hizo zenye ubora wa hali ya juu sana.
Akiwa na wajumbe wenzake kutoka mkoani Songwe imeonyesha ni kama moyoni alikuwa anajutia ni kwanini alipoteza Muda wake kukaa CHADEMA.Maana tangia ameingia CCM amebadilika sana na kuonekana sasa ni kiongozi.tofauti na alivyo kuwa uhamishoni kule CHADEMA.
Kwa hakika CCM ni chama kiongozi Barani Afrika, CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu, CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM na kamwe huwezi kuitenganisha CCM na Taifa hili na Itaendelea kuongoza Taifa hili mpaka Mwisho wa Dunia.View attachment 3204727
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ninataka nikupe maisha naona unateseka sana kuwasifia sifia watu halafu wanakuona kama kinyesi tu njoo upumzike unateseka sana dada.Una Maisha yapi wewe mvivu uliyekalia umbeya tu.