Mabus Ya CCM yawa Kivutio Barabarani. David Silinde atabasamu njia nzima na kujutia kupoteza muda wake CHADEMA

Si alikuwa anatimiza majukumu yake ndugu yangu.au ulitaka asitekeleze majukumu yake ya kufanya ukaguzi kwa sababu tu umemzidi Umri. Au umri ndio ulitaka iwe sababu ya kufumbia kila kitu kilicho kinyume na maelekezo na utaratibu mzima? Katika uongozi hakuna hizo habari za umri katika utekelezaji wa majukumu.
 
Huyo harudi tena, kwao Momba walimkataaa na hawamtaki akakimbilia kugombea Tunduma napo amshukuru Magufuli
Nani wa kumtoa Sasa pale Tunduma? Yule mjinga asiye na shule mda wote amefura kama kameza chura au? 😁😁

Momba alimuachia dada Condester.
 
Hujanielewa. Very sad!
 
Unaweza jiuliza kikao cha kupitisha budget ya kununua haya mabasi kilikaliwa na kina nani? Hii nchi ina ufujaji mkubwa sana wa fedha za umma kwa ajili ya siasa wakati hospitali hazina hata vipimo muhimu
Punguza ujinga,ukitaka kununua chupi ya mkeo Huwa mnaweka kikao Cha familia?
 
πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
 
Huyo Silinde si ndio ile ID yake inafanya uchawa humu kwa kusaidiana na wewe.

Watu wa akili hizo mtasumbua wasiojitambua, yaani watu hawana maji vijijini nyie mnachukua pesa za walipa kodi kwenda kununua mabus.
Pesa ya chama haijawahi kuwa Kodi Yako na chama hakipangiwi matumizi.

Nyie wajinga wa huko chama Cha matapeli si.huwa mnakodi chopa?
 
Mkuu, huyo Ndugu kama hangeingia Chadema, nakwapia hangepata nafasi hiyo. Aidha tambua kuwa hadi MAFANIKIO jua kuwa umepita katika njia mbalimbali.
 
Nani wa kumtoa Sasa pale Tunduma? Yule mjinga asiye na shule mda wote amefura kama kameza chura au? 😁😁

Momba alimuachia dada Condester.
Tunduma kamwe haiwezi kuongozwa na darasa la Nne.Mwakajoka sijui kuna vitu anatumia maana mimi huwa simuelewi yule jamaa maana utafikiri amejaa msongo wa mawazo muda wote na mihasira tu utafikiri mgonjwa
 
Mkuu, huyo Ndugu kama hangeingia Chadema, nakwapia hangepata nafasi hiyo. Aidha tambua kuwa hadi MAFANIKIO jua kuwa umepita katika njia mbalimbali.
Mungu akikupatia kibali na kukuinua kiuongozi unaweza kuwa kiongozi na kuonekana bila kujalisha eneo ulilopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…