Chama kina vyanzo vipi vya mapato kununua hayo mabus wewe kunguni wa mama Abdul?Pesa ya chama haijawahi kuwa Kodi Yako na chama hakipangiwi matumizi.
Mjinga ni aina yako wewe Lumumba buku 7 usiyejua vipaumbele vya nchi na chama kukomba pesa za walipa kodi!Nyie wajinga wa huko chama Cha matapeli si.huwa mnakodi chopa?
Inawezekana wewe ni mhamiaji haramu.maana sisi watanzania sote ni ndugu.Nani ndugu yako hapa we chawa?
Unajua Ruzuku ya CCM ni shilingi ngapi kwa Mwezi? Unafahamu CCM Ina vitega uchumi vingapi na miradi mingapi hapa Nchini?Chama kina vyanzo vipi vya mapato kununua hayo mabus wewe kunguni wa mama Abdul?
Mjinga ni aina yako wewe Lumumba buku 7 usiyejua vipaumbele vya nchi na chama kukomba pesa za walipa kodi!
Taja vitega uchumi 10 vya CCM .Unajua Ruzuku ya CCM ni shilingi ngapi kwa Mwezi? Unafahamu CCM Ina vitega uchumi vingapi na miradi mingapi hapa Nchini?
Wahamiaji haramu ni wale wanaojipanga barabarani kushangaa mabasi ya mafisadi...Inawezekana wewe ni mhamiaji haramu.maana sisi watanzania sote ni ndugu.
Na huo ni mwanzo tu au waweza sema ni mvua za rasha rasha tu.Wahamiaji haramu ni wale wanaojipanga barabarani kushangaa mabasi ya mafisadi...
Wewe ni mmoja wao wakimbizi haramu
Mumejaza furushi la uozo kichwani kwako.Chama kina vyanzo vipi vya mapato kununua hayo mabus wewe kunguni wa mama Abdul?
Mjinga ni aina yako wewe Lumumba buku 7 usiyejua vipaumbele vya nchi na chama kukomba pesa za walipa kodi!
You are right Mr mkimbizi, endelea kushangaa mabasi ya kijani maana hayapo kwenu....Na huo ni mwanzo tu au waweza sema ni mvua za rasha rasha tu.
Ni kiasi gani?Mumejaza furushi la uozo kichwani kwako.
CCM Ina vyanzo vifuatavyo
-Ada za wanachama
Rushku ni nini?-Rushku ya serikali
Yamejengwa na pesa zipi na yapo mangapi?-Majengo ya biashara ya kupangisha
Hivi vilijengwa kwa pesa za walipa kodi 1970's na kuendelea pengine hukuwa umezaliwa tukuhadithie-Viwanja vya Michezo
Yamejengwa kutokana na mapato kutoka wapi na yako mangapi?-Magorofa ya nyumba za Makazi
Zipo ngapi na zimejengwa kwa mapato kutoka wapi?-Shule
Ziko ngapi na zimejengwa na mapato kutoka wapi?-Kumbi za mikutano
Magazeti, Radio, n.k vimerithiwa toka chama kimoja TANU hivyo tulipokuwa vijana ukizaliwa basi unakuwa ni mwanaTANU na unapofikisha umri wz kushiriki siasa ungepata kadi ya uanachama wa TANU huko na shughuli nyingine za chama pamoja na kodi za wananchi ndio zilianzisha hivyo vyombo kabla ya CCM kujimilikisha.-Vyombo vya habari
ππππNi kiasi gani?
Rushku ni nini?
Yamejengwa na pesa zipi na yapo mangapi?
Hivi vilijengwa kwa pesa za walipa kodi 1970's na kuendelea pengine hukuwa umezaliwa tukuhadithie
Yamejengwa kutokana na mapato kutoka wapi na yako mangapi?
Zipo ngapi na zimejengwa kwa mapato kutoka wapi?
Ziko ngapi na zimejengwa na mapato kutoka wapi?
Magazeti, Radio, n.k vimerithiwa toka chama kimoja TANU hivyo tulipokuwa vijana ukizaliwa basi unakuwa ni mwanaTANU na unapofikisha umri wz kushiriki siasa ungepata kadi ya uanachama wa TANU huko na shughuli nyingine za chama pamoja na kodi za wananchi ndio zilianzisha hivyo vyombo kabla ya CCM kujimilikisha.
Watuwekee na abiria wanavyokaa kwenye mwendokasi piaπ€£π€£π€£π€£
Ana uahakika wa milo mitatu kwa siku na marupurupu kibao.. Ccm mbele kwa mbele π«£π no njaa kama alipotoka
Kazi iendeleee
Jibu maswali yangu wewe kunguni wa mama Abdul acha kujichekesha .ππππ
View: https://www.instagram.com/reel/DE8I4pCNYZ0/?igsh=MWpueXc5NzE3Nmhheg==
My Take
Sina nafasi ya kubeba ujinga wako,nimetoa Elimu na vyanzo kama huelewi nenda Kwa kibaraka wako akakielimishe
Hawezi jibu hayo maswali huyo ni kiroboto wa mazaJibu maswali yangu wewe kunguni wa mama Abdul acha kujichekesha .
Alimuachia au aliona hawamtaki? subiri uone October sio hapo tu, Tunduma hapo amshukuru Magufuli?Nani wa kumtoa Sasa pale Tunduma? Yule mjinga asiye na shule mda wote amefura kama kameza chura au? ππ
Momba alimuachia dada Condester.
Huyo hata ukimueleza vipi hawezi kukuelewa maana akili yake ni ndogo kama punje ya uleziMumejaza furushi la uozo kichwani kwako.
CCM Ina vyanzo vifuatavyo
-Ada za wanachama
-Rushku ya serikali
-Majengo ya biashara ya kupangisha
-Viwanja vya Michezo
-Magorofa ya nyumba za Makazi
-Shule
-Kumbi za mikutano
-Vyombo vya habari
Huku Mpigamiti ,Ngongoya Mpoku, Murusagamba, Kiraracha na Ihembe,hatuna dawa, maji na watoto wetu wamerundikana madarasani!Naona mnaumia sana mnapoona Mheshimiwa akiendelea kufanya vizuri kabisa akiwa ndani ya CCM chama kubwa na kiongozi Barani Afrika