Mabus Ya CCM yawa Kivutio Barabarani. David Silinde atabasamu njia nzima na kujutia kupoteza muda wake CHADEMA

Huyo hata ukimueleza vipi hawezi kukuelewa maana akili yake ni ndogo kama punje ya ulezi
Wewe kunguni usiyejitambua unapelekwa kama bendera hebu msaidie mwenzio kujibu maswali hayo.

Na kwa akili hizo ndio maana hata Mbowe mnayempigia upatu kakimbia mdahalo.
 
Wewe kunguni usiyejitambua unapelekwa kama bendera hebu msaidie mwenzio kujibu maswali hayo.

Na kwa akili hizo ndio maana hata Mbowe mnayempigia upatu kakimbia mdahalo.
Ni kumshushia heshima Mwamba kushiriki mdahalo na watu aina ya lissu
 
Pesa za DP World hizo .... ingawa watadai ni ruzuku.
 
Mbona hujabubujikwa na machozi
 
Mbona wewe hujapanda, au ulikuwa unaendesha? 😀
 
Aya mabasi uchaguzi ukiisha ,mkayaona ccm ,Niiteni mbwa, ayo soon baada ya uchaguzi ayo makaratasi yatabanduliwa, na kuingizwa kwenye makampuni ya mabasi ,au mtashangaa inakuja kampuni mpya ya usafirishaji ,
 
Alishakukusimulia aliokotwa wapi na Mbowe ? Kabudi alishasimulia sasa huyu kijana nae asimulie aliokotwa wapi itapendeza zaidi ?
 
Aya mabasi uchaguzi ukiisha ,mkayaona ccm ,Niiteni mbwa, ayo soon baada ya uchaguzi ayo makaratasi yatabanduliwa, na kuingizwa kwenye makampuni ya mabasi ,au mtashangaa inakuja kampuni mpya ya usafirishaji ,
Haina shida itakuwa ni Sehemu ya uwekezaji na miradi ya chama.
 
Serikali za afrika zinashida sana.wananunua mabasi ambayo yatatumia siku chache tu na kutelekezwa Hadi yaoze.Hapo ni kuchezea Kodi zetu.kulikuwa kunahaja gani Sasa ya kujenga sgr Hadi Dodoma?
 
Serikali za afrika zinashida sana.wananunua mabasi ambayo yatatumia siku chache tu na kutelekezwa Hadi yaoze.Hapo ni kuchezea Kodi zetu.kulikuwa kunahaja gani Sasa ya kujenga sgr Hadi Dodoma?
CCM inatumia pesa zake . CCM inaweza kununua hata helkopta ya kuwabeba wajumbe kutoka kila mkoa.
 
CCM inatumia pesa zake . CCM inaweza kununua hata helkopta ya kuwabeba wajumbe kutoka kila mkoa.
Tuletee picha basi kutoka huko Dodoma kwenye mkutano Ili na sisi tububujike machozi ya Furaha....🤣🤣🤣
 
Siku moja moja uwe unaanzisha na Uzi wa kumsifia na mama yako mzazi.

Yaani mama yako abebe mimba miezi 9 aende leba na ndoo ndogo ya plastiki wewe mwanae kila siku kutwa kucha kumsifia mama wa wengine na watu wengine.
Jitahidi kumsifia hata kidogo mama yako mzazi utapata baraka na uteuzi utaupata.
 
Hata yy anajua kama sio Chadema kumuibua asingefika hapo mpka akanunuliwa na kupata pesa ndefu sana
 
Ukuu wa wilaya naskia unanukia Kwa huyu kada mtiifu wa Chama Cha mapinduz ,, Ndugu Lucas mwashabwa
 
View: https://www.instagram.com/reel/DE9ZecFCxKZ/?igsh=MW1reGdibHlleDZ4ag==
 
Watanzania waliowengi sana milo mitatu kwa siku ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…