Mabus Ya CCM yawa Kivutio Barabarani. David Silinde atabasamu njia nzima na kujutia kupoteza muda wake CHADEMA

Hizi ni zama za kuringishiana mabasi kweli?? Duh.. Chadema hoyee
 
Luca nletee shati langu niingie ukumbini, nipo huku nyuma ya jengo
 
Acheni wivu ,uzushi uongo, fitina na umbeya.

Kama siyo Dubai na Wajomba zinatoka wapi? CCM hawana hiyo pesa, tusidanganyane. Yale yale ya Mkapa, wakaiba $ 100 million kufanyia kampeni 2005.

Serikali yenyewe hajawahi kununua mabasi mengi hivyo kwa mkupuo.
 
Nchi ya kijinga sana hii. Bora tungebakia tu na Tanganyika yetu. Lissu, ukiingia madarakani, kitu cha kwanza kufanya ni kukifilisi hiki kikundi cha ufisadi na utakatishaji wa fedha haram nchini.
Mdugu yako Lissu kashayatimba huko mabichi.
 
Kama nchi Ina wajinga kama wewe wanaofikiria mabasi kupendezesha ili hali nchi IPO kwenye umasikini mkubwa. Toka uhuru mpaka Leo hatuna umeme wa uhakika,hakuna maji safi na salama, hakuna miundo mbinu Bora ya afya, barabara mbovu, hakuna manufacturing industry za uhakika. Halafu jinga moja linajiita litanzania et. Shetani mkubwa. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa na mama yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…