Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Kivutio cha ufisadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subutu, tunza hiiHaina shida itakuwa ni Sehemu ya uwekezaji na miradi ya chama.
Ndiyo m adanganywa hivo na ninyi mnaamini Hivyo?pesa zote Huwa ni za ummaCCM inatumia pesa zake . CCM inaweza kununua hata helkopta ya kuwabeba wajumbe kutoka kila mkoa.
Hizi ni zama za kuringishiana mabasi kweli?? Duh.. Chadema hoyeeNdugu zangu Watanzania,
Unaweza kusema kuwa Nchi nzima ni kijani kwa sasa,kila eneo ni kijani na njano tu.kila ukifungua vyombo vya habari unaona kijani na njano ndio vimetawala na kutamalaki,ukiingia mitandaoni ni kijani na njano ndio vimeshika kasi na ukipita mitaani ni mijadala ya CCM ndio imeteke na kutawala maongezi ya wananchi wa rika na makundi mbalimbali.
Ukisimama na kuingia barabarani ni kijani ndio imepamba barabarani kwa magari mazuri na tulivu sana ya CCM. ambayo mtu ukiwa ndani ya magari hayo ni kama umepanda AirForce One ndege inayotumiwa na Rais wa Marekani.
Mheshimiwa David Silinde Mbunge wa Tunduma ameonekana kuwa mwenye tabasamu na furaha kubwa sana katika uso na paji la uso wake .pale alipokuwa ameingia na kukalia siti za gari hizo zenye ubora wa hali ya juu sana.
Akiwa na wajumbe wenzake kutoka mkoani Songwe imeonyesha ni kama moyoni alikuwa anajutia ni kwanini alipoteza Muda wake kukaa CHADEMA.Maana tangia ameingia CCM amebadilika sana na kuonekana sasa ni kiongozi.tofauti na alivyo kuwa uhamishoni kule CHADEMA.
Kwa hakika CCM ni chama kiongozi Barani Afrika, CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu, CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM na kamwe huwezi kuitenganisha CCM na Taifa hili na Itaendelea kuongoza Taifa hili mpaka Mwisho wa Dunia.View attachment 3204727
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Luca nletee shati langu niingie ukumbini, nipo huku nyuma ya jengoNdugu zangu Watanzania,

Uwe na subiraWewe upo siti gani bwana Mnyiha?
CCM hawachangishwi sababu wakitaka hela tu wanapiga simu hazina zinatumwa fasta.Kule CHADEMA muda wote alikuwa anachangishwa michango tu.
Acheni wivu ,uzushi uongo, fitina na umbeya.
Mdugu yako Lissu kashayatimba huko mabichi.Nchi ya kijinga sana hii. Bora tungebakia tu na Tanganyika yetu. Lissu, ukiingia madarakani, kitu cha kwanza kufanya ni kukifilisi hiki kikundi cha ufisadi na utakatishaji wa fedha haram nchini.
Kama nchi Ina wajinga kama wewe wanaofikiria mabasi kupendezesha ili hali nchi IPO kwenye umasikini mkubwa. Toka uhuru mpaka Leo hatuna umeme wa uhakika,hakuna maji safi na salama, hakuna miundo mbinu Bora ya afya, barabara mbovu, hakuna manufacturing industry za uhakika. Halafu jinga moja linajiita litanzania et. Shetani mkubwa. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa na mama yakeNdugu zangu Watanzania,
Unaweza kusema kuwa Nchi nzima ni kijani kwa sasa,kila eneo ni kijani na njano tu.kila ukifungua vyombo vya habari unaona kijani na njano ndio vimetawala na kutamalaki,ukiingia mitandaoni ni kijani na njano ndio vimeshika kasi na ukipita mitaani ni mijadala ya CCM ndio imeteke na kutawala maongezi ya wananchi wa rika na makundi mbalimbali.
Ukisimama na kuingia barabarani ni kijani ndio imepamba barabarani kwa magari mazuri na tulivu sana ya CCM. ambayo mtu ukiwa ndani ya magari hayo ni kama umepanda AirForce One ndege inayotumiwa na Rais wa Marekani.
Mheshimiwa David Silinde Mbunge wa Tunduma ameonekana kuwa mwenye tabasamu na furaha kubwa sana katika uso na paji la uso wake .pale alipokuwa ameingia na kukalia siti za gari hizo zenye ubora wa hali ya juu sana.
Akiwa na wajumbe wenzake kutoka mkoani Songwe imeonyesha ni kama moyoni alikuwa anajutia ni kwanini alipoteza Muda wake kukaa CHADEMA.Maana tangia ameingia CCM amebadilika sana na kuonekana sasa ni kiongozi.tofauti na alivyo kuwa uhamishoni kule CHADEMA.
Kwa hakika CCM ni chama kiongozi Barani Afrika, CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu, CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM na kamwe huwezi kuitenganisha CCM na Taifa hili na Itaendelea kuongoza Taifa hili mpaka Mwisho wa Dunia.View attachment 3204727
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Marekani wanavyofanya midahalo kwa wagombea urais huwa wanawashushia heshima?Ni kumshushia heshima Mwamba kushiriki mdahalo na watu aina ya lissu
Sasa wewe kwa akili yako lissu ndio afanye mdahalo na Mwamba? Lissu anapaswa kufanya mdahalo na waropokaji wenzake.Marekani wanavyofanya midahalo kwa wagombea urais huwa wanawashushia heshima?
Mwamba gani unayemaanisha hapa wewe kidampa wa Lumumba?Sasa wewe kwa akili yako lissu ndio afanye mdahalo na Mwamba? Lissu anapaswa kufanya mdahalo na waropokaji wenzake.
Mwambie ukweli huyu chawa!Chadema ndiyo ilimng'arisha bila Chadema huyo mwovu wa chato angemuona wapi? Tumia akili wewe juha