Mabwepande bomba zipo maji hamna miaka miwili imepita sasa

Mabwepande bomba zipo maji hamna miaka miwili imepita sasa

Mkoa wa Dsm mfano Mabwepande kuna sehemu bomba zimepita miaka miwili sasa maji hayajaruhusiwa, huku sio kupoteza tu mapato kwa msambazaji ambaye ni Serikali lakini pia haki ya kupata maji kwa mwananchi imedhulumiwa.
Imeshawahi kuripotiwa kwenye mamlaka husika? na je wanasemaje..?
 
Si bora Mabomba yametandazwa ila maji hakuna vip Barabara mashimo si ndio kituko
 
Kama nakuelewa hivi ulichokusudia ila acha nivunge tu.
Pumzika salama Lwabaje
Pole Dr fulani
We have no mercy na huyo mpuuzi wenu aliyesababisha vifo vingi vya wagonjwa hosiptalini. akaifilie mbali huko.
 
Ni aibu Dawasa/Manispaa ya kinondoni maeneo yake kukosa maji tangu Uhuru hasa Madale,Mbopo na Mabwepande kwa ujumla wameweka watu wa kutandaza mabomba lakini naona spidi ni ndogo sana hii itafika hadi 2023 wananchi hawana maji.!
 
Tangu uhuru moyo wa nchi(Dsm yote) haijafikiwa na maji
 
Mwaka wa tatu unaingia
 
Back
Top Bottom