Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kuna wakati huwa nawaza, kwa nini mtu ni maarufu halafu bado anaishi kwa wazazi? Kwa mfano, Mlelwa kwa umaarufu wako hustahili kuishi kwa mama, Baraka wa 69 records kwa nini bado upo kwa mama? TID, unaishi hananasifu kwa mama hivi kweli unachangia chakula na mama? Yaani mama akufungulie mlango ukitoka kwenye show? Msechu unaishi kwa mama mdogo? Mnanishangaza maceleb wetu...
Lady gaga ,kanye west ( before professor mama yake hajafa) .je labda wao ndio wanatunza wazazi waoKuna wakati huwa nawaza, kwa nini mtu ni maarufu halafu bado anaishi kwa wazazi? Kwa mfano, Mlelwa kwa umaarufu wako hustahili kuishi kwa mama, Baraka wa 69 records kwa nini bado upo kwa mama? TID, unaishi hananasifu kwa mama hivi kweli unachangia chakula na mama? Yaani mama akufungulie mlango ukitoka kwenye show? Msechu unaishi kwa mama mdogo? Mnanishangaza maceleb wetu...
mna uhakika gani kama wanachangia ugali na mama zao??????
What if wao ndo wanawahudu.ia wazazi wao?????
Kwanza hela ya kupanga si heri anunue kiwanja????
ujumbe umewafikia wasanii wetu ambao ni watoto wa mama
Siamini mtazamo huu! Uwiii!
Kama hawajaoa au kuolewa kwa nini wasiishi na wazazi wao na muda gani atapata baraka za wazee na family bond.
Hivi, unafahamu tofauti ya kuishi na mama na kuishi kwa mama? Mnaosema pengine mama zao wana vifafa ni namna ya kujitetea. Kama ni kweli wana vifafa hiyo ni kesi tofauti. Kama mama yako unaishi naye kwako hiyo ni sahihi.... Maana umemtoa huko ambako angekuwa anaishi na unaishi naye wewe. Sasa wewe unaishi kwake na si ajabu anakununulia hadi pafyumu na mavazi ya kufanyia show/maigizo halafu useme ni sawa.... NO SITAKUBALIANA NA HILO...Hakuna ubaya hata chembe wa mtu kuishi na mama yake.
Wengine mama zao wagonjwa, wa akili au kiwili wili hawawezi kukaa mbali nao ili kuwahudumia
Wengine hawamiliki kipato cha kuhudumia nyumba mbili-yake na ya mama yake-huku akijipanga kimaisha kama kujenga au kuwekeza kwenye miradi mengine
MIpango ni kuchagua, binafsi sijaona ubaya wowote