macerebrity wanaoshi kwa mama/wazazi

macerebrity wanaoshi kwa mama/wazazi

Mkuu unaishi kwa wazazi nini? namaanisha bado unalelewa?

Mimi nimehama nyumbani nikiwa 22.

I got a crib in the city and a crib in the burbs.

In the city nimepangisha Jamaicans wanalipia mortgage huko, mie nakaa kwangu in a leafy burb, do you even know what that means?

Lakini sitamdharau mtu kwa sababu anakaa kwa mama yake.

Why?

Some of the zappiest minds I know on Wall St are Jewish young turks whizzkids still living with their moms, and this is a Jewish tradition, you don't leave home unles you have to, you save the mula and invest as much as possible.

I don't want to generalize a siatuation without knowing the person and his/her specifics. And I don't want to know the specifics unless there is a specific reason.

Umasikini wenu ndo unwafanya muone kila mtu anayekaa na wazazi wake anafanya hivyo kwa sababu za umasikini.
 
Kama umehama umri huo kwa nn unawatetea wanao subiri ugali wa kupikiwa na mama zao wakiwa na age za 30+?

Kwa sababu maisha hayana formula na siwezi kusema kwamba what's best for me is best for everybody.

Mie nilivyohama nyumbani sikukaa sana nikapiga nduki kuondoka nje ya bongo.

Kuna wengine wako Dar hata Arusha hawataki kwenda. Unataka vipi nilazimishe nilichofanya mimi kwa watu ambao hata siwajui?
 
M

Lakini sitamdharau mtu kwa sababu anakaa kwa mama yake.

Why?

Some of the zappiest minds I know on Wall St are Jewish young turks whizzkids still living with their moms, and this is a Jewish tradition, you don't leave home unles you have to, you save the mula and invest as much as possible.

Hapa umebugi meeeeen yaani mmatumbi umfananishe na Jewish yaani Mtanzania milo 3 kwa siku bahati unamfananisha na mtu wa mbele hapa umebugi, Mtanzania aliyeshindwa kwendelea na sekondari akimaliza tu darasa la 7 anaanza kufaiti maisha kivyake mpaka anasimama
 
Kama wewe ulitoka nduki Bongo na kwa wazazi wako nasi tulipo huku ufipani tunawashangaa hao wanao ng'ang'ania kukaa kwa wazazi wao, unajisikiaje kupishana na taulo kwenye velandaa na mama ako mzazi na vyoo vya uswazi umebeba kopo la chooni unaenda kukata gogo mama ako yupo chooni unasubilia atoke wewe uingie! hii si heshima
 
Kati yangu mie ninayesema usimfananishe huyo celebrity usiyemjua na wewe kwa kufuatisha principles zako ambazo hatujui kama anazijali au hazijali.

Nani anayefananisha hapa?

Mie nimekataa kufananisha bila details, ndo maana nikasema waacheni watu waishi maisha yao.

Ukishaanza kufuatilia fuatilia maisha ya watu wengine kwa sana tu unaniambia kwamba yako ama yamekushinda au hayana cha mshiko.

I am too occupied with my life to start thinking "fulani anakaa kwa mama yake au kwake".

Ukishakuwa na muda mchafu wa kufikiria hilo unanionyesha kwamba huna kazi, una muda wa kuwaza mambo idle, mambo yasiyokuhusu.

Mtu celebrity P-Funk hakujui humjui, unataka kumpangia maisha? Mtu mzima?

You contradict yourself, unasema aache kukaa kwa mama kwa sababu mtu mzima.Kusema hivyo ni kumpangia maisha, na kama yeye ni mtu mzima, haifai kumpangia miasha.

Unaona unavyojichanganya sasa?
 
Kosa lipo mama anapo kosa uhuru wa kula bata na mababa wa kambo atawaletaje home na wewe atalalaje guest na wewe au mnafikiri mama/baba hana ashiki ya mapenzi

Hilo huwezi kumpangia mtu na mama/baba yake. Ni mipango ya familia yao. Na mzazi akiishi kwa mtoto ndio ashki zinakuwa hazipo? Au wewe unataka moja kwa moja mtoto na mama yake wasiishi nyumba moja regardless na background zao?

Juu ya hivyo silazima kila wanaoishi pamoja wanyimane uhuru. Mzazi anaweza kuishi ghorofani mtoto akawa chini au mzazi nyumba ya mbele mtoto uani na kila mmoja akawa na faragha yake.

Mbali na yote, hata kama hakuna sababu ya msingi ya ugonjwa au fedha hakuna tatizo la mtu kujipangia maisha yake atakavyo hata Kama ni kuminyana uhuru na mama yake. Ni maisha yake
 
Kati yangu mie ninayesema usimfananishe huyo celebrity usiyemjua na wewe kwa kufuatisha principles zako ambazo hatujui kama anazijali au hazijali.

Nani anayefananisha hapa?

Mie nimekataa kufananisha bila details, ndo maana nikasema waacheni watu waishi maisha yao.

Ukishaanza kufuatilia fuatilia maisha ya watu wengine kwa sana tu unaniambia kwamba yako ama yamekushinda au hayana cha mshiko.

I am too occupied with my life to start thinking "fulani anakaa kwa mama yake au kwake".

Ukishakuwa na muda mchafu wa kufikiria hilo unanionyesha kwamba huna kazi, una muda wa kuwaza mambo idle, mambo yasiyokuhusu.

Mtu celebrity P-Funk hakujui humjui, unataka kumpangia maisha? Mtu mzima?

You contradict yourself, unasema aache kukaa kwa mama kwa sababu mtu mzima.Kusema hivyo ni kumpangia maisha, na kama yeye ni mtu mzima, haifai kumpangia miasha.

Unaona unavyojichanganya sasa?

Ngoma hii tutakesha, ngoja niwahi kupiga jembe
 
Kama wewe ulitoka nduki Bongo na kwa wazazi wako nasi tulipo huku ufipani tunawashangaa hao wanao ng'ang'ania kukaa kwa wazazi wao, unajisikiaje kupishana na taulo kwenye velandaa na mama ako mzazi na vyoo vya uswazi umebeba kopo la chooni unaenda kukata gogo mama ako yupo chooni unasubilia atoke wewe uingie! hii si heshima

No research no right to speak.

Generalization cannot show you counterintuitive memes.

Usitake kupata majibu rahisi kwa maswali magumu.

Usiniambie nini kifanywe, fanya kinachotakiwa kufanywa na watu wataona.

Mie naamini katika vitendo ndo maana sichongi kumwambia mtu asiishi na wazazi, nimefanya kwa vitendo.

Mtu mzima hapangiwi maisha.
 
Ngoma hii tutakesha, ngoja niwahi kupiga jembe

Kwa akili ya ku cram formula hii hata jembe litakushinda. Maana hata unakopiga jembe utakuwa unafikiri habari za upuuzi wa ma celebrity wanaishi kwao au kwa wazazi na upuuzi mwingine wa mambo kama hayo yasiyokuhusu.

Badala ya kufikiria utatokaje kwenye jembe kwenda kwenye trekta.
 
Kuna wakati huwa nawaza, kwa nini mtu ni maarufu halafu bado anaishi kwa wazazi? Kwa mfano, Mlelwa kwa umaarufu wako hustahili kuishi kwa mama, Baraka wa 69 records kwa nini bado upo kwa mama? TID, unaishi hananasifu kwa mama hivi kweli unachangia chakula na mama? Yaani mama akufungulie mlango ukitoka kwenye show? Msechu unaishi kwa mama mdogo? Mnanishangaza maceleb wetu...

Kama wewe ni mwanaume basi jiangalie sana mwenendo wako.

Mlelwa unamjua jukwaani lakini alikotoka hukujui, njia aliyopitia huijui, anakokwenda hukujui lkn tayari umekuwa mwalimu wa maisha yake.

Una hakika gani juu ya kwa nini anaishi kwa mama? Mama yake alikwambia amemchoka hapo nyumbani au ndio umefunguka kwa kukosa cha kuongea? Mama yako ikiwa ni mzee wewe utamuacha peke yake na majirani ukaishi mbali kwa kuwa tu kuna wanaume-wanawake wanaona si sawa bila kujiuliza sababu?

Acheni hizo, ACHA UMBEA. Mipango yake huijui, mwachie mwenyewe. Unaongea kipumbavu kabisa, una hakika gani si TID ndio ananunua chakula mama ale? Watanzania tukiwa wambea hivi hatuwezi kusonga mbele. Huyu anayehubiri maisha ya wenzake hapa usikute ana chupi 2 tu
 
Utashikiaje bango maisha ya mwenzako?

Kama mtu anakaa nyumba yake au ya mama yake wewe inakuhusu nini? Inakuongezea au kukupunguzia nini?

What's next? Utataka kwenda kwenye ja lao upekue uone wamekula nini?

Do you.

Mambo ya kufuatiliana fulani anakaa kwake au kwa mama yake ni kuonyesha tuna muda mchafu tu.

Maisha hayana formula, usitake kujifanya unaijua formula ya kufuatwa na kila mtu.
Hivi umesahau hili ni jukwaa gani? Ulitegemea jukwaa hili wajadiliwe PAKA au MBWA? Ukiwa CELEB ndugu jukwaa hili litakuhusu kivyovyote vile.... kuanzia namna unavyoishi (a.k.a UKIOO WAKO KWA JAMII UKOJE), mabaya kwa mazuri yako, tabia, unavyoishi na unakoishi, unakukojirusha, kama ni MALYOOO unawekwa hapa ... etc ect. Kwa kifupi jukwaa hili ni la kuwajadili watu mashuhuri kwa namna moja ama nyingine...
 
Kwa akili ya ku cram formula hii hata jembe litakushinda. Maana hata unakopiga jembe utakuwa unafikiri habari za upuuzi wa ma celebrity wanaishi kwao au kwa wazazi na upuuzi mwingine wa mambo kama hayo yasiyokuhusu.

Badala ya kufikiria utatokaje kwenye jembe kwenda kwenye trekta.

Thank you!

Mijitu mingine sijui ikoje, halafu mwenyewe anaona anaongea poiiiiint, mtu humjui alikoanzia unajadili kuishi kwake kama sio upumbavu ni nini!
 
Anae ishi kwa shemeji je? Yaani kwa mme wa dada ake hapo vp?
Kiranga yeye anaona sawa tu.... sasa kuna siku dada atachelewa kwenye mishe mishe zake ndo utaambiwa ukamuwekee maji shem...
 
Hahahaha au dada akipigwa talaka wewe nawe ndo hivyo unafungasha kwenye box pamba zako gafla
 
Mimi nimehama nyumbani nikiwa 22.

I got a crib in the city and a crib in the burbs.

In the city nimepangisha Jamaicans wanalipia mortgage huko, mie nakaa kwangu in a leafy burb, do you even know what that means?

Lakini sitamdharau mtu kwa sababu anakaa kwa mama yake.

Why?

Some of the zappiest minds I know on Wall St are Jewish young turks whizzkids still living with their moms, and this is a Jewish tradition, you don't leave home unles you have to, you save the mula and invest as much as possible.

I don't want to generalize a siatuation without knowing the person and his/her specifics. And I don't want to know the specifics unless there is a specific reason.

Umasikini wenu ndo unwafanya muone kila mtu anayekaa na wazazi wake anafanya hivyo kwa sababu za umasikini.
Kumbe wewe unawaongopea wenzio... I hate this kind of people. Yaani unatetea mtu kukaa kwa mama wakati mtetezi wao hukai kwa mama yako..??
 
Thank you!

Mijitu mingine sijui ikoje, halafu mwenyewe anaona anaongea poiiiiint, mtu humjui alikoanzia unajadili kuishi kwake kama sio upumbavu ni nini!

Wewe hapa ndo umezungumza point ehee? :clap2:
 
Mtajuaje kama mdau anaishi ktk nyumba yake??!!!!

Sent via EyePhone
 
Hivi umesahau hili ni jukwaa gani? Ulitegemea jukwaa hili wajadiliwe PAKA au MBWA? Ukiwa CELEB ndugu jukwaa hili litakuhusu kivyovyote vile.... kuanzia namna unavyoishi (a.k.a UKIOO WAKO KWA JAMII UKOJE), mabaya kwa mazuri yako, tabia, unavyoishi na unakoishi, unakukojirusha, kama ni MALYOOO unawekwa hapa ... etc ect. Kwa kifupi jukwaa hili ni la kuwajadili watu mashuhuri kwa namna moja ama nyingine...

Kwa nini unafikiri celeb ni lazima awe kioo cha jamii?

P-Funk kama kaamua kuwa mtu wa majani unawezaje kusema ni kioo cha jamii? Unajuaje kama mnyamwezi wangu anataka kuwa kioo cha jamii? Kwa nini awe kioo cha jamii? Hii cliche ya kioo cha jamii unaijua falsafa yake, mwanzo wake, weakness yake na criticism yake?

Unajua arguments za individualism vs. collectivism zinazohusika hapa?
 
Kwa sababu maisha hayana formula na siwezi kusema kwamba what's best for me is best for everybody.

Mie nilivyohama nyumbani sikukaa sana nikapiga nduki kuondoka nje ya bongo.

Kuna wengine wako Dar hata Arusha hawataki kwenda. Unataka vipi nilazimishe nilichofanya mimi kwa watu ambao hata siwajui?
Kwa nini usiwashauri cha kufanya, ambacho wewe ulipitia kuliko kuwatetea waendelee kukaa kwa mama?
 
Back
Top Bottom