macerebrity wanaoshi kwa mama/wazazi

macerebrity wanaoshi kwa mama/wazazi

Do you my ninja.

Do you.

Mtu akikwambia mama yake ana kifafa na anataka awe karibu kumhudumia muda wowote atakaohitajika utamwambia nini?
Nitamwambia akakae na huyo mama yake kwenye nyumba aliyoijenga huyo mtu..... walio wengi wa wanaoishi kwa wazazi, siku wazazi hao wakitoweka dunia ndo inakuwa balaa.... Na nyie manaodhani mnawatetea mnawadanganya.
 
mna uhakika gani kama wanachangia ugali na mama zao??????

What if wao ndo wanawahudu.ia wazazi wao?????

Kwanza hela ya kupanga si heri anunue kiwanja????
Walio wengi hata hivyo viwanja hawana. Wao huwa wanafanya vitu ambavyo vitazidisha umaarufu wao, au vile vitakavyovuta hisia za watu wengi, mfano mavazi, magari etc etc
 
Kwani kuishi nyumbani ndo nn? Mbona chid anaishi ilala kwa mama\bibi nae mtoto wa mama??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Huyo naye wale wale... Mara king-kong mara sijui nini kumbe anaishi kwa bibi?
 
Ahahahaha, duuuh! Sasa hizo milioni, na kuna mswahili analipwa na sirikali yake take home ya laki 3, amepanga nyumba iswazi na ana nyumba ndogo uchafuni! Maisha ni kujikaza aisee. Unakaa home ili usave kodi ujenge? Seriously? Kama kigezo ni kuwa na mahala pa kuishi bila kodi wengine tusingehitaji hata kuwaza viwanja. Nyumbani kwa baba kuna makao mengi, lmao!

Aisee mie naamini kwenye independence. Hata kiwanja cha kupewa nyumbani wala nyumba ya mzee ya buree siitaki kuishi. Napenda feeling ya kuota mabawa na ku-fly away kutoka kiotani!
ndo uuamini sasa......

Mambo ya ndani ya familia hakuna ajuae isipokuwa alovaa hicho kiatu...........

Kwanza hawa wasanii wana kipato gani?
Hizo milioni 5-6 za kuoanga nyumba mbagala si bora wakanunue miguu 20 kwa 20 vikindu wapachuke tofali waishi humo?????
Ukizingatia usupastaz bongi ni wa msimu? Muda wako ukipita tu umeumia....

La sivyo kesho na keshokutwa wakija kuomba msaada kwenye tv msiwanyanyapae...
 
Na huyo mama kifafa chake kina mkataba na promota? Kuwa siku nimesafiri nje ya mji hakimpigi? Muhimu ni kufanya arrangement tu ya kumsaidia. Na kama ni muhimu basi najipanga kuishi karibu na mama.
Do you my ninja.

Do you.

Mtu akikwambia mama yake ana kifafa na anataka awe karibu kumhudumia muda wowote atakaohitajika utamwambia nini?
 
Ahahahaha, duuuh! Sasa hizo milioni, na kuna mswahili analipwa na sirikali yake take home ya laki 3, amepanga nyumba iswazi na ana nyumba ndogo uchafuni! Maisha ni kujikaza aisee. Unakaa home ili usave kodi ujenge? Seriously? Kama kigezo ni kuwa na mahala pa kuishi bila kodi wengine tusingehitaji hata kuwaza viwanja. Nyumbani kwa baba kuna makao mengi, lmao!

Aisee mie naamini kwenye independence. Hata kiwanja cha kupewa nyumbani wala nyumba ya mzee ya buree siitaki kuishi. Napenda feeling ya kuota mabawa na ku-fly away kutoka kiotani!
kuna watu hapa duniani kazi yao ni kutetea ujinga.... Sasa ukute mtu anaishi kwa wazazi halafu wazazi wanatoweka duniani, sasa ndugu waliobaki wakianza kugombea urithi ndo inakuwa balaa kabisa
 
Na huyo mama kifafa chake kina mkataba na promota? Kuwa siku nimesafiri nje ya mji hakimpigi? Muhimu ni kufanya arrangement tu ya kumsaidia. Na kama ni muhimu basi najipanga kuishi karibu na mama.
Ndo hapo chacha, yaani kifafa kinasubiri mtoto yupo home ndo kifanye mambo yake..??! Tena kifafa hakitaki mtoto ajenge nyumba yake. Just imagine, wengine humu ndani kwenu mmezaliwa zaidi ya kumi, sasa wote mkiishi kwa wazizi itakuwaje? Tena wengine mna tabia mbaya mnaleta mademu zetu kwa mama na mnawagegedea hapo.... Ni ujinga tu mtu kutetea mtu mzima kuishi kwa mama/wazazi. Eti na wewe unafunga taulo unapishana wazazi wako na taulo lako hapo kwa mama...
 
Hivi, unafahamu tofauti ya kuishi na mama na kuishi kwa mama? Mnaosema pengine mama zao wana vifafa ni namna ya kujitetea. Kama ni kweli wana vifafa hiyo ni kesi tofauti. Kama mama yako unaishi naye kwako hiyo ni sahihi.... Maana umemtoa huko ambako angekuwa anaishi na unaishi naye wewe. Sasa wewe unaishi kwake na si ajabu anakununulia hadi pafyumu na mavazi ya kufanyia show/maigizo halafu useme ni sawa.... NO SITAKUBALIANA NA HILO...

Kwa hiyo wewe raha yako ni kumuona mama anaondoka kwenye nyumba yake amfuate mtoto nyumba ya kupanga, ili tu iwe anakaa kwa mtoto na sio mtoto anakaa kwa mama?! Kuishi kwa mama na kuishi na mama ni semantics tu, muhimu ni anachokifanya kwa ajili ya mama yake

Wengine nadhani ni kutojiamini tu au ni control freaks kuwa unaona huwezi kuonyesha uwepo wako mpaka uwe kwenye himaya yako. Au ni katika kujionyesha kwa wengine kuwa wewe umekuwa na unaishi kwako

Sioni kosa la mtu kuishi na mamaye iwe kwa mama au kwake yeye mwenyewe.
 
mama yake TID alisema anamtegemea sana kijana, so wengine ndo bread winners so wanawatunza na kutegemewa na family zao! Halafu nani km mama jamani?
 
Wengine mpaka kwenye vyumba vya kulala mama zao wanaingia
 
Woote nimestuka ila huyo anayeishi kwa mamamdogo tena ndo kanipa presha, nikizinduka nitarydi kutia neno
 
Kwa hiyo wewe raha yako ni kumuona mama anaondoka kwenye nyumba yake amfuate mtoto nyumba ya kupanga, ili tu iwe anakaa kwa mtoto na sio mtoto anakaa kwa mama?! Kuishi kwa mama na kuishi na mama ni semantics tu, muhimu ni anachokifanya kwa ajili ya mama yake

Wengine nadhani ni kutojiamini tu au ni control freaks kuwa unaona huwezi kuonyesha uwepo wako mpaka uwe kwenye himaya yako. Au ni katika kujionyesha kwa wengine kuwa wewe umekuwa na unaishi kwako

Sioni kosa la mtu kuishi na mamaye iwe kwa mama au kwake yeye mwenyewe.

Kosa lipo mama anapo kosa uhuru wa kula bata na mababa wa kambo atawaletaje home na wewe atalalaje guest na wewe au mnafikiri mama/baba hana ashiki ya mapenzi
 
Woote nimestuka ila huyo anayeishi kwa mamamdogo tena ndo kanipa presha, nikizinduka nitarydi kutia neno

Anae ishi kwa shemeji je? Yaani kwa mme wa dada ake hapo vp?
 
kuna watu hapa duniani kazi yao ni kutetea ujinga.... Sasa ukute mtu anaishi kwa wazazi halafu wazazi wanatoweka duniani, sasa ndugu waliobaki wakianza kugombea urithi ndo inakuwa balaa kabisa

Mtoto akisha maliza masomo anapaswa kuanza kujitegemea kutafuta maisha
 
Nitamwambia akakae na huyo mama yake kwenye nyumba aliyoijenga huyo mtu..... walio wengi wa wanaoishi kwa wazazi, siku wazazi hao wakitoweka dunia ndo inakuwa balaa.... Na nyie manaodhani mnawatetea mnawadanganya.

Utashikiaje bango maisha ya mwenzako?

Kama mtu anakaa nyumba yake au ya mama yake wewe inakuhusu nini? Inakuongezea au kukupunguzia nini?

What's next? Utataka kwenda kwenye ja lao upekue uone wamekula nini?

Do you.

Mambo ya kufuatiliana fulani anakaa kwake au kwa mama yake ni kuonyesha tuna muda mchafu tu.

Maisha hayana formula, usitake kujifanya unaijua formula ya kufuatwa na kila mtu.
 
Mtoto akisha maliza masomo anapaswa kuanza kujitegemea kutafuta maisha

Akikwambia hajamaliza masomo bado?

Kuna watu wanaamini katika kuwa wanafunzi maisha yao yote, hao utawaambiaje nao?

Acheni ku generalize mambo, mlivyo cram ndio iwe hivyo hivyo.

Habari za kutaka kila mtu aishi kama unavyoona wewe ndo zinatuletea gundu la umasikini.

Wabongo wengi hatujui kusema "It is not my place to comment".

Mie mtu simjui, familia yake siijui, udhaifu wake siujui, udhaifu wa familia yake siujui, uwezo wake siujui, uwezo wa familia yake siujui.

Unaniuliza kwa nini anakaa kwa mama yake?

It is not my place to comment. Niulize mimi na maisha yangu kama ninataka kukujibu nitakujibu kwa maisha yangu, maisha ya mtu mwingine sina ujuzi wa kumjibia.
 
Na huyo mama kifafa chake kina mkataba na promota? Kuwa siku nimesafiri nje ya mji hakimpigi? Muhimu ni kufanya arrangement tu ya kumsaidia. Na kama ni muhimu basi najipanga kuishi karibu na mama.

You totally missed the point.

Point si kuzuia kifafa. Point ni kuwa karibu in the chance kifafa kitatokea.

Bottom line, ukivalia njuga maisha ya mwenzako unachoniambia ni kwamba huna yako.

Wabongo acheni ku-cram na kurudia mambo out of habit kama mnaimbishwa nyimbo za mchakamchaka bado.
 
Akikwambia hajamaliza masomo bado?.

akiwa hajamaliza na mm ndiye nae mlipia karo, nampa pesa za matumizi kama kunua nguo, viatu, chupi, mswaki n.k kisha nasimamia show nzima ya matibabu anapaswa kuendelea kuishi kwangu ila akimaliza tu masomo namfukuza aende nae akajitegemee ajifunze maisha.
 
Nafikiri ingawa, ujumbe n mchungu lakn wameuelewa...n vzuri wakachukua haya yote kama changamoto!Tatizo la wasanii wetu wengi n kujali sana starehe na mavazi, wapo tayari avae vitu vya 2M lakn asinunue friji, kitanda au kiwanja...
Watake wasitake, kukaa nyumbani ukiwa mtu mzima inakunyima heshima na hekima, waache kujitetea na waende mtaani!
 
You totally missed the point.

Point si kuzuia kifafa. Point ni kuwa karibu in the chance kifafa kitatokea.

Bottom line, ukivalia njuga maisha ya mwenzako unachoniambia ni kwamba huna yako.

Wabongo acheni ku-cram na kurudia mambo out of habit kama mnaimbishwa nyimbo za mchakamchaka bado.

Mkuu unaishi kwa wazazi nini? namaanisha bado unalelewa?
 
Back
Top Bottom