Ahahahaha, duuuh! Sasa hizo milioni, na kuna mswahili analipwa na sirikali yake take home ya laki 3, amepanga nyumba iswazi na ana nyumba ndogo uchafuni! Maisha ni kujikaza aisee. Unakaa home ili usave kodi ujenge? Seriously? Kama kigezo ni kuwa na mahala pa kuishi bila kodi wengine tusingehitaji hata kuwaza viwanja. Nyumbani kwa baba kuna makao mengi, lmao!
Aisee mie naamini kwenye independence. Hata kiwanja cha kupewa nyumbani wala nyumba ya mzee ya buree siitaki kuishi. Napenda feeling ya kuota mabawa na ku-fly away kutoka kiotani!