Tetesi: Machache aliyonieleza mfanyakazi wa TPA yana ukweli?

Kwa mjibu wa hawa wenzetu wenye visomo vya vitabuni tu, hilo ni jambo lisilowezekana kabisa.
Uwekezaji ni kutoka nje tu kuja kwetu, kwa sabau sisi hatuna uwezo.
Tunachotakiwa ni kuwategemea tu hao wawekezaji waje hapa.
Mzee Lowassa pale jangwani alitaja neno elimu mara tatu wakati akianza hotuba yake ya kampeni ya mwaka 2015.

Wenzetu hawachezei elimu, hawaingizi siasa hata kidogo kwenye mifumo yao ya elimu. Ninamuelewa sana Profesa Assad anaposema ufanisi wetu ni mdogo kwa sababu watendaji wengi hawana tija inayotakiwa iendane na hizo ofisi wanazoshikilia.
 
Hojq yako ni nini kuhusiana na haya yanayoendelea?
 
Sijaongelea suala la watu wa huku kukubali au kukataa huo mkataba.Mimi nimekueleza ubize wa watu upo kwenye maisha yao binafsi na kwa takwa lako la kuiondoa CCM madarakani,ni sawa na ndoto tu.
Tabora wakulima wa tumbaku wamepata pesa mwaka huu mpaka baadhi wamerimbuka na wingi wa pesa.Sasa usifikiri hawa wakulima wataitosa CCM ya Sa100 eti kwa kigezo cha bandari ambayo wao haiwagusi moja kwa moja katika maisha yao.
 
Kumbe mategemeo yako yapo huko, kufikiri kwamba CCM ndiyo inayofanya hao wakulima wa tumbaku na mpunga kusahau wajibu wao wa msingi?
Hili linakueleza wewe ni mtu wa namna gani. Nikisema hapa kwamba nataka nikununue ubadili kauli uliyoweka hapo juu sina shaka yoyote utanifuata mbio huku ukitembelea magoti!

Watu wa aina yako ndio waliojaa huko ndani ya CCM wakati huu, na kiama chenu kinakuja.
 
Endelea kupayuka ukifikiri kuna kitu utabadilisha katika maisha ya familia yako kupitia hiyo bandari.Tunaojua majukumu yetu tupo katika kuziangaikia familia zetu kwa njia za moja kwa moja.Bandari ni kitegauchumi cha serikali,na ni serikali yenyewe ndiyo inajua hasara na faida inayoipata hapo.Na majukumu ya serikali ni kuleta na kujenga miundo mbinu kwa kutumia pesa zipatikanazo katika vitegauchumi vyake.
 
Nikuulize, wewe umeijuaje familia yangu hadi ulizungumzie hapa.
Hili tu linakufanya uonekane kuwa mpuuzi.

Angalia ujuha wako: Eti "ni serikali yenyewe ndiyo inajua hasarra na faida inayopatikana bandarini"; wewe umezuiwa kujua kama hiyo bandari inafanya kazi kwa ufanisi au la?
Hapo ulipo hujui kwamba matatizo yaliyopo hapo hapo bandarini yanatokana na ubovu wa utendaji unaoanzia serikalini; hata hili hulijui?
 
JPM hakufanikiwa lolote huko bandari, ufisadi haukuwahi kuisha TPA na ufanisi Bado ulikua chini sana.

Sijui why mnamuona JPM alikua perfect, hivi si ndio NIDA alitumbua weee mbona bado vitambulisho havitoki?

Wote Yale Yale tu
Watu hawaangaliii facts.

Wanasikia mikelele na kufuata mihemuko. JPM kuna kitu alikua abaharibu kufanya. Ila hakua smart enough.

Huyu wa sasa ndo sijui hata anafanya nn
 
Mpaka siku akitokea Rais atakae nyonga watu kwenye hzo taasisi nyeti ndo tutaona ufanisi

Bila shaka hatuwez kumpata rais wa namna hyo maana kila rais anaeingia lazima alipe fadhila za waliomuweka kwahyo unakuta taasisi nyeti kama hzo kumejaa watoto wa waliomsaidia kukalia hicho kiti

Kwahyo suruhisho rahisi ni katiba mpya tu
 
Hivi nyie CCM kama kitu kidogo kama Bandari mnasema mmeshindwa kuendesha, Je mnapata wapi uharali wa kuongoza nchi ambayo hiyo bandari ni ka kipande tuu???????.Hiyo ni alarm kwa wananchi kuwa CCM ilishashindwa kuiongoza hii nchi muda mrefu saana.
 
Umeandika kwa uchungu sana nimesoma neno kwa neno line by line
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…