Mkuu
Mshana Jr naomba kujua kuhusu mambo ya kiroho yanayotokana na nishati ya asili, Nilikua na Biashara mbili zilikjya zinaniingizia pesa lakini hakuna kitu cha Maana unafanya kazi nikufanya biashara ila nilishindwa kununua ata kiwanja japo biashara inanipa faida,Mimi nilikua nafanya biashara X nikapata ushindani na mtu ambaye alizungumza maneno ya kuroga biashara alafu baada ya miezi kadhaa vitu vinaanza kuharibika n.k, hadi biashara ilikufa. Pia kuwa nilikuwa na mali kama kiwanja, biashara alafu zikatokea changamoto zikasababisha kila kitu kufa, hiyo hali imenikuta miaka miwili iliyopita kwasasa sina kitu yani nimeanza moja..
Napambana kurud kwenye mstari hii kiroho nawezaje kuvuka? Kwa namna ivi narudi kwenye mstari?