Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
hiyo ilinikuta tabora aiseeUlikaa siku ngapi? Mimi Tanga kuna nyumba niliwahi kusimuliwa vituko vyake SIKUAMINI KABISA
Shida yake kubwa usilale pekeyako
Likizo moja nikaenda kukaa na wenyeji ambao baada ya Kama siku 4 hivi wakasafiri nikabaki peke yangu
Nilikaa bila shida kwa siku kumi mwisho nikaamini ni story tuu
Bado siku moja warudi wale wenyeji nikakipata usiku mzima ulikuwa mauzauza tupu😂
Kokoto zinamwagwa kwenye paa la nyumba
Mara mwanga unamulika chumba chote
Mara unahisi kabida chumbani huko pekeyako nknk😂