Tawire tawire mkuu1.Usiende moja kwa moja nyumbani unapotoka makaburini.. Simama kidogo mahali zuga kwa muda kidogo then nenda kwako
2. Usiweke alama ya KARIBU nyumbani kwako si kila mtu ni wa kukaribisha na hapo sio eneo la biashara
3. Usilale na kioo kinakutazama.. Ukiwa usingizini utaonwa na wengi
4. Usipige mluzi baada ya saa 12 jioni..kuna mtu atakujibu
5. Usiitikie hodi ya kwanza si kila apigaye hodi ni binadamu.. !
Niwatakie Ijumaa kuu yenye baraka na fanaka tele.
Ijumaa khareem kwa wengine pia!
Hayo manuizi hata yeye yanaweza kumrudia kwakuwa nyumba ni yake.. Mlango anafungua yeyeMshana Jr unaweza kutoa ufafanuzi kidogo kuhusu mlango mtu anapokufungulia au kufunga hasa unapoingia katika nyumba ya mtu.
View attachment 3566634
Nimewahi kuambiwa kuna manuizi hatari mtu anaweza kukufanyia kwa namna hii.
Long time kitambo💪🏿😆Tawire tawire mkuu View attachment 3566810
Hahaha huwa mambo mengi sana nataka nione , kuna nyumba niliambiwa kuna majini yanapiga watu niliishi sikuoana nikipigwa😃Ukiweka dhamira nguvu inapungua ama kutoweka kabisa😀
Ulikaa siku ngapi? Mimi Tanga kuna nyumba niliwahi kusimuliwa vituko vyake SIKUAMINI KABISAHahaha huwa mambo mengi sana nataka nione , kuna nyumba niliambiwa kuna majini yanapiga watu niliishi sikuoana nikipigwa😃
Kuna kiwango cha uoga kikifika akili inakuletea mauza uza😀Ulikaa siku ngapi? Mimi Tanga kuna nyumba niliwahi kusimuliwa vituko vyake SIKUAMINI KABISA
Shida yake kubwa usilale pekeyako
Likizo moja nikaenda kukaa na wenyeji ambao baada ya Kama siku 4 hivi wakasafiri nikabaki peke yangu
Nilikaa bila shida kwa siku kumi mwisho nikaamini ni story tuu
Bado siku moja warudi wale wenyeji nikakipata usiku mzima ulikuwa mauzauza tupu😂
Kokoto zinamwagwa kwenye paa la nyumba
Mara mwanga unamulika chumba chote
Mara unahisi kabida chumbani huko pekeyako nknk😂
Mkuu Mshana Jr ,nakuomba nielezee hii namba 3 vizuri kwa mapana yake.1.Usiende moja kwa moja nyumbani unapotoka makaburini.. Simama kidogo mahali zuga kwa muda kidogo then nenda kwako
2. Usiweke alama ya KARIBU nyumbani kwako si kila mtu ni wa kukaribisha na hapo sio eneo la biashara
3. Usilale na kioo kinakutazama.. Ukiwa usingizini utaonwa na wengi
4. Usipige mluzi baada ya saa 12 jioni..kuna mtu atakujibu
5. Usiitikie hodi ya kwanza si kila apigaye hodi ni binadamu.. !
Niwatakie Ijumaa kuu yenye baraka na fanaka tele.
Ijumaa khareem kwa wengine pia!
Kuna kiwango cha uoga kikifika akili inakuletea mauza uza😀
Usilale na kioo kinakutazama.. Ukiwa usingizini utaonwa na wengiMkuu Mshana Jr ,nakuomba nielezee hii namba 3 vizuri kwa mapana yake.
aiseeUsilale na kioo kinakutazama.. Ukiwa usingizini utaonwa na wengi
Hii ni imani nyingine nzito ya kishirikina au kishirikina-jamii ambayo imekuwepo kwa muda mrefu. Inahusisha kioo na ulimwengu wa roho au "vitu visivyoonekana."
Sababu zinazotolewa kwa imani hii ni pamoja na:
Lango la Kiroho: unajua kioo ni kama "dirisha" au lango. Ukilala kinakutazama, roho yako (ambayo huaminika kuwa safarini unapolala) inaweza "kunaswa" au kuonekana na viumbe wa ulimwengu mwingine.
Wizi wa Nishati: Wengine huamini kioo kinaweza kunyonya nishati yako ukiwa umelala, jambo linaloweza kukufanya uamke ukiwa umechoka sana au mwenye maumivu ya mwili.
Ndoto za Kutisha: Kisaikolojia, ukishtuka usiku na kuona kivuli chako mwenyewe kwenye kioo, unaweza kupata hofu kubwa inayopelekea ndoto mbaya au kiharusi cha usingizi (sleep paralysis).
Nipo hapa Mzee mwenzangu.