Azam nimeshampiga, utopolo walibebwa, najua hujui mpira ila unaweza kuangalia Kipenga cha Mwisho Azam Tv juu ya ile mechi ya dabi, faulo iliyozaa goli ni batili kwa sababu Musonda aliufuata mpira wa kimo cha mguu uliokuwa kwenye himaya ya Okejepha, kwa kuwa hujui mpira na sheria zake ndio unaweza kuwabishia watu kama Othman Kazi na wachambuzi wengine,Unacheza na Dodoma na kuagiza wachezaji wao wa kikosi cha kwanza watano wasicheze unawafunga magoli ya mchongo unafurahisha nafsi yako. Simba hadi sasa inaongoza kwa magoli, points, pasi na imefungwa magoli machache kuliko timu yoyote, ni chizi tu atabishana na huu ukweli.Kama unabisha njoo na takwimu kuonesha msimu huu utopolo ni bora kuliko Simba, ukinipinga kwa takwimu nawaomba mods wanipige ban ya mwezi