Machache yaliyoonekana Yanga ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Dodoma jiji

Baada ya mechi ya Yanga vs Tp Mazembe inafuata mechi ya Al Hilal. Mc Alger ni mechi ya mwisho
 
Sasa hapo tukiwapa credit tunawapoteza wakutana na team isiyoendekeza makandokando hali inakua ni tete haya maigizo sio mazuri kama tunataka soka likue
Nimeona wakipongezana mwishoni

Ila tusiache kuwapa credit Yanga, wamelitumia vyema kila nafasi waliyoipata
 
"3. Clement mzize ni winga hatari sana kwa sasa, ana kasi, nguvu na uwezo wa kufunga ni kipaji tu ndio amekosa ila vingine vyote anavyo."

KIPAJI GANI AMBACHO MZIZE KAKOSA??
 
Yanga havuki makundi klabu bingwa. Wale kunguru wa Lubumbashi wana mambio sana wanawakimbiza sana Wazee wetu mpaka Utepe wa miguuni unakata.
 
Huyu jamaa na ndoto zake za alinacha ndo kama zile hesabu za kuinvest kwa kulima matikiti 🤣
 
Haya ni maigizo tu mkuu sema soka la bongo usichulkulie serious sana hawa Dodoma juzi wamecheza na simba wakapewa ahadi nzito ili waifunge simba bahati mbaya wakafungwa wakalia hadi wakatoa makamasi ila leo unaona kabsa ni maigizo mwanzo mwisho
Naam, ikishaanza hii milio najua timu imerejea kwenye ubora.

Hapo ukiongezea na Sindano, Gsm anaharibu ligi, uchawi ndio kabisa.
 
We kolo mleta mada niambie MAZEMBE NI timu ngumu au ishajifia tujue mapema.
 
Kitu nimependa ni Yanga kukaba kwa pamoja na kwa nguvu hadi wachukue mpira wao, hiyo ndo Yanga ninayoipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…