kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
1. Yanga imecheza vizuri mno, hii ni salamu tosha kuelekea mechi yao na Tp mazembe.
2. Nadhani fountain gate ndio timu yenye safu mbovu kabisa ya ulinzi, wamechagua kupishana na Yanga wakaadhibiwa.
3. Pacome zouzou amestahili tuzo ya mchezaji bora wa mchezo, ule uwezo wake uliopotea mechi za nyuma umerudi kwa kasi.
4. Clement mzize, Kibwana shomari, Dickson job, Mudathir Yahya, na Ibrahim Bacca ni watanzania ambao tunatakiwa kujivunia kuwa nao katika soka kwa sasa.
5. Yanga inatakiwa kumlinda iwezavyo kiungo khalid Aucho ili asiumie tena, huyu ndie injini ya timu. Saed Ramovic anatakiwa kuogopwa mno, kamzidi hata Gamondi.
6. Kocha wa Fountain gate aiangalie upya safu yake ya ulinzi pamoja na nafasi ya kiungo mkabaji.
7. Kwa moto huu Mazembe anakufa nyingi taifa
Hongereni watani