Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hapo kuna utata.Awalinde sasa.
Ailinde hiyo serikali dhaifu iliyoshindwa kudumisha usalama?
Alinde maslahi yake?
Alinde raia wa kawaida wanaoshambuliwa na hao magaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kuna utata.Awalinde sasa.
Na ndilo lengo la Ufaransa na Patron wake US. Burkina Faso bado kuna mali nyingi za kuchuma.Hilo nalo neno
Ni kumalizana tu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Na ndilo lengo la Ufaransa na Patron wake US. Burkina Faso bado kuna mali nyingi za kuchuma.
Haya mataifa ya "Francophone" yana tatizo la kuwa na majeshi dhaifu sana. Yanaitegemea Paris kwa karibu kila kitu.
Nashangaa wanasumbuliwa na hayo magaidi uchwara yanayoamini ktk mungu feki na wa kusadikika.
Au na sisi watupe silaha au mnaonaje wajameni
Daah kweli mkuu,na majuzi tu wananchi wa huko West Africa waliandamana hawataki wanajeshi wa France nchini mwao.
dodge
Eneo lote la central, west kuna machafuko hatari , kuna article moja kule African confidential , ni vurugu tupu hukoHayo mataifa yamefanywa kuwa dhaifu kiulinzi kwa makusudi kabisa na aliyekuwa mtawala wao "Ufaransa" ili aendelee kubaki hapo alinde maslahi yake.
Ila mkuu hilo tatizo huko west Africa hasa ukanda wa Sahel hawa wafaransa na Waingereza wanahusika moja kwa moja.Eneo lote la central, west kuna machafuko hatari , kuna article moja kule African confidential , ni vurugu tupu huko
Na ndio tatizo la nchi zilizokuwa chini ya mfaransa , takribani nchi 8 eneo lile in vurugu kwa kwenda mbeleIla mkuu hilo tatizo huko west Africa hasa ukanda wa Sahel hawa wafaransa na Waingereza wanahusika moja kwa moja.
Kumbuka baada ya wao kumg'oa Ghadaffi huko Libya silaha nyingi zilizagaa eneo hilo na zimeangukia kwenye mikono mibaya.
Shida kubwa ni hawa watawala (viongozi) wetu wana njaa(tamaa) mno ya madaraka na utajiri.Baada ya wanamgambo waasi kuisha what next? Yaani ngozi nyeusi sijui tunakwamia wapi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu kama hicho ni upumbafu tuComing soon in Tanzania...viongozi wa Africa kuna kitu walimkosea Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app