Machafuko: Raia Burkina Faso kupatiwa silaha kupambana na wanamgambo wenye uhusiano na makundi ya kigaidi

Machafuko: Raia Burkina Faso kupatiwa silaha kupambana na wanamgambo wenye uhusiano na makundi ya kigaidi

Hapa bongo tafiti zilishasema kati ya watanzania wanne mmoja wapo ana ugonjwa wa akili..
Wakifanya hii kitu hapa bongo basi itakuwa ni mtafutano tu
 
Haya mataifa ya "Francophone" yana tatizo la kuwa na majeshi dhaifu sana. Yanaitegemea Paris kwa karibu kila kitu.

Nashangaa wanasumbuliwa na hayo magaidi uchwara yanayoamini ktk mungu feki na wa kusadikika.

Majinga sana mkuu hayo maji2 yanayoabudu Mungu feki ambae ni Yesu 😔😔😔

Nawahurumia sana sana waafrika wenzangu waliopotea,,maana wafadhili wa hayo makundi wajulikanao ni israel na marekani.,,,mmoja hapo anamwamini yesu kama ndie Mungu wao wakweli, na wapili hapo anamkana yesu.

Ivyo tutegemee maafa makubwa sana kwa weusi wenzetu.
 
Imeandikwa kila raia ni mlinzi wa nchi yake dhidi ya adui.Wameamua kutekeleza kwa vitendo
 
Daah kweli mkuu,na majuzi tu wananchi wa huko West Africa waliandamana hawataki wanajeshi wa France nchini mwao.

dodge
Hayo mataifa yamefanywa kuwa dhaifu kiulinzi kwa makusudi kabisa na aliyekuwa mtawala wao "Ufaransa" ili aendelee kubaki hapo alinde maslahi yake.
Eneo lote la central, west kuna machafuko hatari , kuna article moja kule African confidential , ni vurugu tupu huko
 
Eneo lote la central, west kuna machafuko hatari , kuna article moja kule African confidential , ni vurugu tupu huko
Ila mkuu hilo tatizo huko west Africa hasa ukanda wa Sahel hawa wafaransa na Waingereza wanahusika moja kwa moja.

Kumbuka baada ya wao kumg'oa Ghadaffi huko Libya silaha nyingi zilizagaa eneo hilo na zimeangukia kwenye mikono mibaya.
 
Na ndio tatizo la nchi zilizokuwa chini ya mfaransa , takribani nchi 8 eneo lile in vurugu kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom