Machi 5-9 ni Qatar LDC's summit, Mkutano wa nchi 46 maskini Tanzania ikiwemo

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
24,386
Reaction score
57,588
Jamani kama ni kulia leo nimelia, enough is enough, yaani miaka 60 plus ya uhuru bado tupo kwenye ‘Least developed countries?’ Jamani watanzania tuamke, wenzetu Kenya hawapo kwenye hii list



 
Nawashangaa san wazee kama nyie 🤣🤣mnapiga porojo humu lkn nyie wazalendo uchwara mlipiga kelele san mara rostam lifisadi cjui nn lkn nyie mliojinasibu wazalendo uchwara akawa jamaa yenu. Pesa hii!!!
Lowassa akagombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema

Upinzani wa nchi hii ni uchwara!
 
Wakenya wanaheshimiwa, mpaka balozi wa Marekani amesema hawezi kuingilia maoni ya wakenya kuhusu kupinga ushoga, na amesema msimamo wao hauwezi kuwazuia kupewa mikopo na misaada, lakini sisi tupo tupo tu, hatufungamani na upande wowote.

Bila CCM kuondoka madarakani, kamwe hatuwezi kuondoka kwenye hiyo list.
 
Wenzako wanamba asali we unaamka ukilia Kama umefiwa na mtu wa karibu 😅pole sana, nasemajeee tafuta kibuyu chako Cha asali uanze kujilamba vidole taratibuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…