nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Kwenye nchi ambayo Kikwete na Rostam wanaonekana mashujaa, sishangai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakenya wanaheshimiwa, mpaka balozi wa Marekani amesema hawezi kuingilia maoni ya wakenya kuhusu kupinga ushoga, na amesema msimamo wao hauwezi kuwazuia kupewa mikopo na misaada, lakini sisi tupo tupo tu, hatufungamani na upande wowote.
Bila CCM kuondoka madarakani, kamwe hatuwezi kuondoka kwenye hiyo list.
Tatizo ni ujinga mwiingi! Leo tukahamishiwa marekani na wamarekani wapewe Tz na Congo tuu baada yamuda tutawalilia njaa mbayaTanzanite, dhahabu, makaa ya mawe, Bandari, ziwa - victoria, Tanganyika, Nyasa,
Mipaka mikubwa karibu 6
Mbuga za wanyama, mikumi, serengeti, ruaha, Gombe,
Makaa ya mawe, gesi ya lindi na mtwara,
Rasilimali za chuma liganga huko
Ardhi yenye rutba nzuri ya kuzalisha kila kitu nchi nzima,
Mazao kama korosho, kahawa
Hayo ni Baadhi ya mambo ambayo serikali imeshindwa kusimamia na tukatoka kwenye umaskini
Ni kama Tanzania nayo Ina vita yawenyeWe kwa wenyeweJamani kama ni kulia leo nimelia, enough is enough, yaani miaka 60 plus ya uhuru bado tupo kwenye ‘Least developed countries?’ Jamani watanzania tuamke, wenzetu Kenya hawapo kwenye hii list
View attachment 2537853
View attachment 2537856
View attachment 2537857
Waliopewa dhamana ya kuongoza wameshindwa majukumu yao..Tanzanite, dhahabu, makaa ya mawe, Bandari, ziwa - victoria, Tanganyika, Nyasa,
Mipaka mikubwa karibu 6
Mbuga za wanyama, mikumi, serengeti, ruaha, Gombe,
Makaa ya mawe, gesi ya lindi na mtwara,
Rasilimali za chuma liganga huko
Ardhi yenye rutba nzuri ya kuzalisha kila kitu nchi nzima,
Mazao kama korosho, kahawa
Hayo ni Baadhi ya mambo ambayo serikali imeshindwa kusimamia na tukatoka kwenye umaskini
Unajuwa mkuu 'Proved', mtu usipokuwa mwangalifu unaweza kubeba bonge la gonjwa toka kwenye hii mitandao.
NDIYOOOOO.Waliopewa dhamana ya kuongoza wameshindwa majukumu yao..
Alitufikisha huko, baada ya yeye kufariki yakaja makafir yanayokula bila kunawa na kuturudisha huko tena. Sasa hivi tumekwama huko maana maana ufisadi umerudi kwa kasi kuibwa kiasi hela karibu zote za miradi zinaenda kwenye matumbo ya ya watu. Nninayakumbuka maneno ya ya Nyerere akilinganisha ufisadi wa Asia na Afrika. Nyerere alisema hivi: Asia contractor anahonga kupata mradi wa kujenga barabara, akishaupata anajenga barabara. Afrika contractor anahonga kupata mradi wa kujenga barabara, akishaupata anahonga tena na kupata pesa ya mradi bila kujenga barabara. Tumerudi enzi za awamu ya nne ambapo miradi mingi haikumalizika au ilimalizika chini ya kiwango, maana kila mtu alikuwa busy kwenye kuiba. Awamu ya sita imekuja na kubariki ufisadi na angalizo kali. Kila mtumishi ameonywa kula kwa kufuatana na urefu wa kamba yake. Maana yake kama wewe kila mtumishi ufisadi wake ulingane na cheo chake. Mkuu wa wilaya ajue kamba yake ni fupi kuliko ya mkuu wa mkoa na mawaziri kamba zao ni fupi kuliko za waziri mkuu viyo hivyo waziri mkuu/makamu wa raisi na raisi. Ole wako ujaribu kula zaidi ya uefu wa kamba yako.Kwani Shujaa Magufuli hakutufikisha Uchumi wa Kati?
Nacheka kwa uchungu mkubwa sana kuhusu haya yote.Halafu aingie nani?
The like of Chadema na Act?
Mkuu?
Kwa sababu imejaa ujinga ina fika kipindi maumivu yake haya zuiliki inabidi maumivu yako uyatoe tu hata kama yana kera.Msichukie hivyo rangi ya ngozi yenu
Shujaa wa mchongoKwani Shujaa Magufuli hakutufikisha Uchumi wa Kati?
HakikaTatizo ni ujinga mwiingi! Leo tukahamishiwa marekani na wamarekani wapewe Tz na Congo tuu baada yamuda tutawalilia njaa mbaya
Kweli"...... Hapa hatuna akili kabisa...." - naibu wazio wa afya, Dr Godwin Mollel
Wewe,mimi sina chama.Nashangaa pale mwana CCM anaposhangaa kwamba tupo kwenye list ya LDCs badala ya kujishangaa yeye kuendelea kuisupport CCM. Haya ni lini tangu tupate uhuru tuliwahi kutoka nje ya group la LDCs. Tatizo tulipenda kusikiliza propaganda na si ukweli