Machi 5-9 ni Qatar LDC's summit, Mkutano wa nchi 46 maskini Tanzania ikiwemo

Awamu ya kulamba asali hii baba,ukimnyanyua mwenzako,nawe utanyanyuka 😅😅😅😅haya tunyanyuane sasa😅🏃
Furaha yao nikuendesha maV8 ya million 500.

Kama chakula tu, kina tupiga chenga huo uchumi ndio tutauweza?🤦

Acha tuendelee kukamuliwa maziwa tu, kwa maana viongozi wetu hawajitambui.

So sad kwa kweli🙍
 
Wabangladesh, wafilipino na wanepal ndio competitors wetu wa kazi na vibarua huku nje.
 
Nilichokiona hapo.

1.Hakuna Nchi ya Mzungu hata moja kwenye hiyo list.
 
2 Nchi nyingi kwenye hiyo orodha wanapambana na vita, majanga ya asili. Sisi Tanzania hapa hatuna Vita, wala Majanga ya Asili, tatizo ni CCM.
Hili ndilo Janga letu.
 
Unaposema watanzania tuamke una maana gani.?
 
Acha utani,ujue hii kitu ni serious,inauma sana. Sasa inabidi tufanye mambo tofauti. Tuige Kenya.

Kenya wenyewe wamefilisika, makampuni makubwa mengi yame fungwa
Tafuta hii habari
Na yote hii sababu ya mikopo!
Ehh Rabuka sikia kilio chetu walahi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Acha utani,ujue hii kitu ni serious,inauma sana. Sasa inabidi tufanye mambo tofauti. Tuige Kenya.
Kenya walijitambua mapema wakaitupa KANU kwenye kapu la sahau.
Sisi tunademka na mkongwe wetu.
 
Miaka 60 ya uhuru tupo kwenye orodha ya aibu ya kidunia,
 
Tanzanite, dhahabu, makaa ya mawe, Bandari, ziwa - victoria, Tanganyika, Nyasa,
Mipaka mikubwa karibu 6
Mbuga za wanyama, mikumi, serengeti, ruaha, Gombe,
Makaa ya mawe, gesi ya lindi na mtwara,
Rasilimali za chuma liganga huko
Ardhi yenye rutba nzuri ya kuzalisha kila kitu nchi nzima,
Mazao kama korosho, kahawa
Hayo ni Baadhi ya mambo ambayo serikali imeshindwa kusimamia na tukatoka kwenye umaskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…