Mzee Kikowapi
Member
- Sep 21, 2024
- 97
- 245
Wanaolamba asali hawapo JF. We na Lucas Mwashambwa ni wapuuzi tu hamna lolote.Ndiyo maisha mzee
Ngoja sisi tulambe asali
Mitano tena kwa Maza
Hata kipind cha mwendazake kuna watu walikuwa wana enjoy life
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaolamba asali hawapo JF. We na Lucas Mwashambwa ni wapuuzi tu hamna lolote.Ndiyo maisha mzee
Ngoja sisi tulambe asali
Mitano tena kwa Maza
Hata kipind cha mwendazake kuna watu walikuwa wana enjoy life
Mbunge akiwa Bungeni anamuomba Rais barabara; Diwani kule Nyamanoro anamuomba Rais barabara; Mwananchi hapo Naberera anamuomba Rais barabara. Sasa viongozi wanashindana kuomba!Yaani hawa Marais wa Awamu ya 5 na 6 wameleta mambo ya AJABU na AIBU kabisa nchini
Sijui nani aliwaambia ukiwa Rais wa nchi hii basi wewe ndio ALPHA na OMEGA..una haki ya kusifiwa na kupambwa asubuhi, mchana na hadi usiku..AIBU
Tutakuwa kwenye kariakoo derby hiyo cku watajua wenyeweWakuu,
Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa?
Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo ofisini kama msumeno wako unakata sehemu moja tu wengine haufiki?
Yaani utafikiri ndio tunasherekea birthday ya Samia, kujaza sura Samia halafu mseme ni Siku ya Wanawake huo ni uzindiki. Yaani mnafosi mtu akubalike mpaka mnaboa. Hata haistui zaidi ya kuonekana wajinga tu.
Halafu ikifika muda wa kutoa tathimi za uchaguzi utaona wale chuchunge wakisema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Unakuaje wa haki wakati rafu zimeanza mapema hivi?
Sasa hiki ni nini?🤦♀️🤮🚮🚮
Hakika ni mambo ya kijinga Sana bunge limesahau wajibu wake CCM ni vipofuMbunge akiwa Bungeni anamuomba Rais barabara; Diwani kule Nyamanoro anamuomba Rais barabara; Mwananchi hapo Naberera anamuomba Rais barabara. Sasa viongozi wanashindana kuomba!
Nadhani sijaelewa, tutakapoanza elimu kwa umma kuhusu malengo ya mkutano wa Beijing mwaka 1995 ambapo pia liko lengo la wanawake na uongozi, hapo ndiyo hata wewe utaelewa zaidi kuhusu mafanikio eneo hilo. Iwapo wewe hapo hutaelewa na wengine wakaelewa, basi tutakubaliana kutofautiana. Haya usiku mwema, ahsante kwa kumbukumbu ya picha 💁Dkt. Gwajima D kila mtu ana mama yake awe hai au amefariki , hii ni siku ya kidunia kila mtu amkumbuke mama yake huyu sio mama wa watanzania huyu ni mama yake Abdul & Wanu.
Diversionary tactics kama hizi wala hatuwezi kuzikubali lengo la hili adhimisho lipotoshwe you're more than that.
Hivyo kila mtu akumbushwe tu kumkumbuka mama yake jinsi atakavyowiwa.
View attachment 3225885
Itapendeza mkitoa elimu hiyo na pia dhima kuu ya siku hiyo ikabaki ilivyo na sio kumpromote Samia.Nadhani sijaelewa, tutakapoanza elimu kwa umma kuhusu malengo ya mkutano wa Beijing mwaka 1995 ambapo pia liko lengo la wanawake na uongozi
Niko tayari kama kuna kipya cha kuelimishwa kuhusu hii siku ila msiitumie kumfanyia Samia promotion na sifa asizostahili., hapo ndiyo hata wewe utaelewa zaidi kuhusu mafanikio eneo hilo. Iwapo wewe hapo hutaelewa na wengine wakaelewa, basi tutakubaliana kutofautiana.
Ahsante usiku mwema kwako, hapa nilipo ni mchana .Haya usiku mwema, ahsante kwa kumbukumbu ya picha 💁
Ndugu yangu kwanza salaam. Halafu ujue ni hivi, kama jambo ni la msingi, na Lina hoja ya msingi kwenye ajenda ya msingi, hata kama hutalipenda, mimi huwa nalifanya kwa uhuru.Nimeamini ukiwa ccm akili zako lazima uzitoe hata huyu Dokta gwajima kawa chawa pro pamoja na elimu yake?
Kwanza nakupongeza kwa kuwa na fikra huru za kukubali kupokea elimu. Kule x tangu jana ilikuwa ni maswali na majibu na huku nitakuja na mwananchi space nitaenda. Mwisho wa siku historia imeshajiandika kuwa, kwenye maazimio ya ulingo wa Beijing, mwaka 1995, Tanzania ilipoahidi mojawapo ya Azimio la Wanawake na Uongozi, tumetekeleza hadi kitaifa. Tumezishinda nchi nyingi. Hili litakuwa swali la historia kwa watoto wetu vizazi na vizazi na litajibiwa. Sasa mwaka wa 5 wa maadhimisho ya kitaifa ya siku ya wanawake duniani kuangukia kwenye mwaka wa uchaguzi, isilete tafsiri kuwa, tuko kiitikadi, hapana, ni kitaifa, tangu mwaka 1995 hizo 5 ndiyo zimetufikisha hapa kwenye 2025.Itapendeza mkitoa elimu hiyo na pia dhima kuu ya siku hiyo ikabaki ilivyo na sio kumpromote Samia.
Kuna wanawake wengi walikuwepo kwenye harakati za uhuru kama kina Bibi Titi Mohamed hii ni siku yao ingepaswa waenziwe sio kuifanya siku ionekane imemezwa na Samia kama mlivyoweka vitenge hivyo.
Kwani Tanzania hamna "Iron ladies"?
Mfanye adhimisho kuna wanawake wamefanya makubwa katika afya ,siasa mazingira, habari, sheria, haki za binadamu na kadhalika.
Niko tayari kama kuna kipya cha kuelimishwa kuhusu hii siku ila msiitumie kumfanyia Samia promotion na sifa asizostahili.
Ahsante usiku mwema kwako, hapa nilipo ni mchana .
Siyo kweli, kama Mkutano wa Wanawake kule Beijing ungefanyika mwaka 1993 basi maadhimisho ya kitaifa ya kila miaka 5 yangeangukia mwaka 2023. Sasa mkutano ulikuwa mwaka 1995. Tuwe tunauliza historia jamani ndiyo Sasa tuje na maoni. Haya usiku mwema tuje tukutane space siku moja kwa elimu zaidi. Maswali na majibu mubashara ✍🏻Ni muendelezo wa kampeni ya urais.
Haina shaka mimi siku space ikiitishwa nitajoin kuchangia mawazo yangu.Kwanza nakupongeza kwa kuwa na fikra huru za kukubali kupokea elimu. Kule x tangu jana ilikuwa ni maswali na majibu na huku nitakuja na mwananchi space nitaenda. Mwisho wa siku historia imeshajiandika kuwa, kwenye maazimio ya ulingo wa Beijing, mwaka 1995, Tanzania ilipoahidi mojawapo ya Azimio la Wanawake na Uongozi, tumetekeleza hadi kitaifa. Tumezishinda nchi nyingi. Hili litakuwa swali la historia kwa watoto wetu vizazi na vizazi na litajibiwa. Sasa mwaka wa 5 wa maadhimisho ya kitaifa ya siku ya wanawake duniani kuangukia kwenye mwaka wa uchaguzi, isilete tafsiri kuwa, tuko kiitikadi, hapana, ni kitaifa, tangu mwaka 1995 hizo 5 ndiyo zimetufikisha hapa kwenye 2025.
Tukutane space siku moja ratiba inakuja. Ukweli uwe ukweli hata kama tutatofautiana...... ✍🏻
Kwanza nipo salama mh.Halafu nashukuru sana kwa kunijibu na kuwajibu wengine. Daima nitakupongeza kwa kuwa na muda huu wa kupitia maoni yetu yawe yawe chanya au hasi wajibu wako kama kiongozi nikuchukua yaliyo mazuri na kuyafanyia kazi,hongera sana.Ndugu yangu kwanza salaam. Halafu ujue ni hivi, kama jambo ni la msingi, na Lina hoja ya msingi kwenye ajenda ya msingi, hata kama hutalipenda, mimi huwa nalifanya kwa uhuru.
Fuatilia elimu kwa umma kuhusu historia ya mkutano wa Wanawake Beijing mwaka 1995 uone maazimio na mafanikio ya Tanzania kwenye wanawake na uongozi. Hatuko kiitikadi, tuko Kitaifa zaidi, tunaongea na Dunia kama Taifa kuwa, Tanzania kwenye eneo la wanawake na uongozi tumefika kitaifa zaidi. Nchi zingine wamekwama.
Sasa hapo unakasirika nini? 😅Katika hili, tukubaliane kutofautiana✍🏻
Safi Sana, huu ndiyo uungwana wa kitaifa.... Hoja inawekwa mezani tunazungumza na kuelimishana.... 💯✅Haina shaka mimi siku space ikiitishwa nitajoin kuchangia mawazo yangu.
Huwa nawadharau sana wapumbavu kama wewe mnaomlaumu mtu ambaye ameshakufa kwa upuuzi unaofanywa na awamu hii ya samia.Magufuri alitumaliza mjinga yule
Sasa mheshimiwa habari ya usiku huu? Haya mbona hiki ulichokiandika hakina uhusiano na kiini cha mada?Ndugu yangu kwanza salaam. Halafu ujue ni hivi, kama jambo ni la msingi, na Lina hoja ya msingi kwenye ajenda ya msingi, hata kama hutalipenda, mimi huwa nalifanya kwa uhuru.
Fuatilia elimu kwa umma kuhusu historia ya mkutano wa Wanawake Beijing mwaka 1995 uone maazimio na mafanikio ya Tanzania kwenye wanawake na uongozi. Hatuko kiitikadi, tuko Kitaifa zaidi, tunaongea na Dunia kama Taifa kuwa, Tanzania kwenye eneo la wanawake na uongozi tumefika kitaifa zaidi. Nchi zingine wamekwama.
Sasa hapo unakasirika nini? 😅Katika hili, tukubaliane kutofautiana✍🏻
Hata mimi huwa naamini kabisa yeye mwenyewe hakutegemea kama majitu ya bara yatakuwa yana msujudia kijinga jinga hivi mpaka yana utweza utu wao.Kuna mda nahisi hata Samia mwenyewe akikaa peke yake anacheka sana na kufurahi kuongoza watu wapuuzi , wajinga wasiojitambua
Na huyu ni bunge wa wapi na anaitwa nani?View attachment 3224927
Wa kufanana na wewe hao, siku mkivalia kitenge sijui itakuaje ?
Swali lako zuri kuhusu Kwa nini picha ya Rais kwenye kitenge; naomba nikuelimishe, ni kwa Sababu kwenye Azimio la Beijing la wanawake na uongozi, tumepata alama ya mwanamke kiongozi ngazi ya kitaifa kuanzia cheo cha Makamu wa Rais na Sasa Rais. Inabidi Dunia ijue kuwa tumetekeleza. Hivyo kwenye eneo hili sasa, ngazi ya juu kabisa ya kiongozi mwanamke ni Rais ambaye anakuwa sasa alama ya mafanikio kwenye Azimio hilo. Ikumbukwe, hata kama tungeadhimisha miaka 30 ya Beijing mfano mwaka 2020, bado alama ingekuwa ya Makamu wa Rais enzi hizo. Tutaendelea kuelimisha zaidi kuna kipindi kimeandaliwa kuhusu safari ya utekelezaji wa maazimio ya Beijing na mafanikio yakeSasa mheshimiwa habari ya usiku huu? Haya mbona hiki ulichokiandika hakina uhusiano na kiini cha mada?
Kuna uhusiano gani hiyo siku ya wanawake na uwepo wa picha ya samia kwenye hivyo vitenge?
Na pia unajaribu kulinganisha mafanikio ya wanawake kiongozi hapa nchini kwetu na wengine kisha una hitimisha eti hao wengine wamekwama una maanisha hasa ikiwa kama huyu wetu tuliyenaye hapa huo uraisi wenyewe aliuokota tu na hakuna aliyemtarajia kama kuna siku atakalia hicho kiti?
Sisi tunatofauti gani na hao unasema wamekwa ikiwa bado kuna ombwe kubwa la uongozi kati ya ke na me hasa kwenye nafasi za kuchaguliwa?