Machimbo ya kupata mikopo rahisi kwa njia ya simu

Machimbo ya kupata mikopo rahisi kwa njia ya simu

Kwa sasa pesax nimefikia kiwango cha elfu 54000 ukikopa na kulipa fresh tu tatzo liba alafu ndani ya wiki uwe umelipa
IMG_20230306_224703.jpg
 
Riba yao ni % kwa mwezi?
Ila safari hii napambana nao walinitumia message wameniongezea muda kutoka siku 8 mpaka 30 nimechukua mkopo Jana 54000 bado siku zile zile 8 message nnayo sasa wakianza nipigia simu naawaambia mesag ipo mlisema ntalipa baada ya siku 30 na mmenitumia wenyewe
Screenshot_2023-02-21-08-28-00-50.jpg
 
Pesa x tatizo lake mkopo ni wa muda mfupi mnooo ila wanatoa pesa kwa haraka.Hii ya marejesho kwa siku nane inaweza ikawapotezea wateja wao waaminifu kwa maana mteja anaweza asiwe napesa ya marejesho kwa siku hizo nane ila anayonia ya kulipa huko mbeleni lakini watu wa pesa x recovery and risk wakamuona ni scam.
Screenshot_20230409-093148_PesaX.jpg
 
Pesa x tatizo lake mkopo ni wa muda mfupi mnooo ila wanatoa pesa kwa haraka.Hii ya marejesho kwa siku nane inaweza ikawapotezea wateja wao waaminifu kwa maana mteja anaweza asiwe napesa ya marejesho kwa siku hizo nane ila anayonia ya kulipa huko mbeleni lakini watu wa pesa x recovery and risk wakamuona ni scam.View attachment 2581904
Hii ulinfanyaje kupata mkopo me mpaka Leo not uproved
 
Pesa x tatizo lake mkopo ni wa muda mfupi mnooo ila wanatoa pesa kwa haraka.Hii ya marejesho kwa siku nane inaweza ikawapotezea wateja wao waaminifu kwa maana mteja anaweza asiwe napesa ya marejesho kwa siku hizo nane ila anayonia ya kulipa huko mbeleni lakini watu wa pesa x recovery and risk wakamuona ni scam.View attachment 2581904
Mkuu nimejisajili inagomea sehemu moja inaniambia hati niliyoingiza siyo sahihi, nifanyeje?
 
Nani amewahi kutumia mkopo extra ?
Wanatak niweke Ksh 128 ndio nipate mkopo, je nitapata kiasi gani ?
 
Back
Top Bottom