Machimbo ya kupata mikopo rahisi kwa njia ya simu

Mzee Ukiacha l pesa na pesa x izo zingine zote futa Tu
L pesa nadaiwa 24
Branch nadaiwa 24
Pesa x sidaiwi na mpaka sasa na uwezo wa kukopa hawa pesa x mkopo wao ni muda mfupi Sana siku 7 uwe umelipa alafu liba kubwa
L pesa na branch nadaiwa nilikaa muda mrefu siko tz nimerudi sijalipa bado
Hawa L pesa kwa sasa Wana kipengele cha upload mobile money statement ya mwezi mzima mihamala uliofanya kwa mtandao unao tumia iwe tigo au voda hiki kipengele kama auna mihamala ni kigumu
View attachment 2521480
Hii Kwa simu nyingi haina hii feature
 
Pesa x na lipesa mbona nikitu kimoja mtaalam
 
Mkuu hii pesaX ina mlolongo na ubabaishaji katika kujiunga na kukopa?
Ahaa mtani naona umetufokea kule kwenye sports sio mchezo
Mkuu kujiunga unajiunga Tu na inatoa mkopo kuanzia elf 20 Ila unalipa baada ya wiki riba mlima kwenye kujiunga pale kupiga picha kaa sehemu yenye mwanga Safi pia inakwambia u bendi kidogo shingo na usmile inakaa poa wahudumiaji wao wasumbufu Sana kabla aijafika siku washapiga simu naona nao ndio malipo Yao yanatokana na mtu anavyolipa

Hapa chini ni baadhi ya mikopo niliochukua na kulipa mpaka sasa japo saizi sijachukua bado ukishajisajili itakulazim usubiri zaidi kama siku tano au zaidi waki confirm identity zako kwangu ilikua ivyo kila la kheri
Screenshot_2023-02-19-11-27-11-01.jpg
 
View attachment 2522686
Nilichukua 15 nikalipa 18600
Nikachukua 25 nikalipa 31000
Nikachukua 30 nikalipa 37200
Nazani umeona izo riba
 
Ahaa mtani naona umetufokea kule kwenye sports sio mchezo
Mkuu kujiunga unajiunga Tu na inatoa mkopo kuanzia elf 20 Ila unalipa baada ya wiki riba mlima kwenye kujiunga pale kupiga picha kaa sehemu yenye mwanga Safi pia inakwambia u bendi kidogo shingo na usmile inakaa poa wahudumiaji wao wasumbufu Sana kabla aijafika siku washapiga simu naona nao ndio malipo Yao yanatokana na mtu anavyolipa

Hapa chini ni baadhi ya mikopo niliochukua na kulipa mpaka sasa japo saizi sijachukua bado ukishajisajili itakulazim usubiri zaidi kama siku tano au zaidi waki confirm identity zako kwangu ilikua ivyo kila la kheri
View attachment 2522686
Mtani nashukuru ngoja nichukue chap nusu nilipe kiingilio nikawatazame mabingwa pale kwa mkapa nusu nimpe Yanga win & over 2.5 chap pesa inarudi nalipa deni 😀
 
Ahaa mtani naona umetufokea kule kwenye sports sio mchezo
Mkuu kujiunga unajiunga Tu na inatoa mkopo kuanzia elf 20 Ila unalipa baada ya wiki riba mlima kwenye kujiunga pale kupiga picha kaa sehemu yenye mwanga Safi pia inakwambia u bendi kidogo shingo na usmile inakaa poa wahudumiaji wao wasumbufu Sana kabla aijafika siku washapiga simu naona nao ndio malipo Yao yanatokana na mtu anavyolipa

Hapa chini ni baadhi ya mikopo niliochukua na kulipa mpaka sasa japo saizi sijachukua bado ukishajisajili itakulazim usubiri zaidi kama siku tano au zaidi waki confirm identity zako kwangu ilikua ivyo kila la kheri
View attachment 2522686
Hii ni kampuni gani na mkopo wanaprocess baada ya muda gani ukisha jisajili???
 
Habari za Jumapili wakuu!

Napenda tujuzane mahali pa kupata mikopo kwa njia ya simu.

Binafsi nimekuwa mnufaika mzuri wa mifumo hii ya ukopeshaji kwa njia ya simu.

Nimekuwa mteja wa makampuni haya kwa muda sasa na kiukweli yanasaidia sana hasa unapokuwa na emergency.

Miongoni mwa makampuni/mashirika ninayoyatumia ni Branch International, L-pesa microfinance na TALA (hii haipo nchini kwa sasa).

Pia kuna huduma za mikopo kwenye mitandao ya simu kama vile M-Pawa, Songesha (Vodacom), Tigo Nivushe (Tigo)n.k

Huduma hizi ni nzuri na uhakika kikubwa ni uaminifu tu kwani mimi nimeweza kukopa na kufikia viwango vya juu.

Kama kuna anayejua chimbo lingine tujuzane.

Ahsanteni!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe namna ya kukopa
 
Hii nayo niyakitapeli

Hii ipo sawana
L PESA
KOPESHA POA na
MKOPO EXTRA

Imagine hata email na password ni Moja

Na hizi za chini yàke
Kuanzia MKOPO APP Hadi nufaika loan ni kitu kimoja Uhuni wa ajabu kabisa View attachment 2521410
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaan hamna siku nimecheka kama leo ,sasa mkuu hizo Apps zote za mikopo daah
 
Back
Top Bottom